Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Alisikika Jaji Mkuu kwenye hafla ya kuapishwa Jaji Siyani: "Hukumu zenu zizingatie mitizamo ya mihimili mingine." Tulipo sasa tumemalizana na shahidi ambaye ushahidi wake umepokelewa kama...
12 Reactions
32 Replies
3K Views
Baadhi ya Halmashauri zimedaiwa 'kuwapiga' cha juu wasimamizi wa mitihani ya kidato cha nne inayoendelea hivi sasa. Kwa utafiti wangu usio rasmi wa kuwapigia watumishi wa Halmashauri tofauti...
1 Reactions
59 Replies
6K Views
Habari ya jpili jamani ni hivi mnamo 2015 nilikua kijana wa miaka18 nilipinga huu utawala huu wa kijani. Lakini mwendazake akasaidia kidogo kunishawishi kuona kwamba kunaweza kuwa na tija...
12 Reactions
50 Replies
3K Views
Goerge Sanga aliyekuwa diwani huko Njombe alipewa kesi ya uongo ya Mauaji wakati wa Uchaguzi wa 2020 ili ashindwe kugombea tena kwa lengo la kumpitisha Mgombea wa ccm bila kupingwa , Hivi ndivyo...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Semina ya uelewa kwa Wanafunzi na Wakufunzi kutoka Vyuo Vikuu 12 vinavyotambuliwa na TCU vilivyopo Jijini Dar es Salaam; kuhusu majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), mwongozo kwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana katika ziara ya Makamba alipotembelea mabwawa ya kuzalisha umeme alitoa taarifa akitaka kuaminisha umma kuwa tatizo la upungufu wa umeme nchini na kwa sababu ya ukame! Hii si kweli hata...
25 Reactions
53 Replies
4K Views
Utalii ni kati ya sekta muhimu kwenye uchumi wa nchi yetu. Sisi hapa Arusha ukiathiri utalii ni kama kuchafua vyombo vyetui vya vyakula, hii sekta ndio inatulisha kwa kiasi kikubwa. lakini pia...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Huu ndio wakati ambao CCM tunapaswa kuwa wamoja chini ya Nahodha wetu Rais Samia ili aweze kutuvusha. Hayati Magufuli ameumaliza mwendo na ameingia kwenye historia yatupasa tumuache apumzike kwa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Jukwaa Huru ! Binafsi siamini kabisa kwamba Mbowe ana kesi yoyote ile, hii yote kwa maoni yangu ni geresha tu na siajabu hata Mbowe analala kwake na siyo Mahabusu. Kwa nini nasema hivi ? Iweje...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Niendelee kumpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar kwa kusimamia maamuzi mbalimbali ya kuhakikisha Dar inasimama katika usafi na mpangilio wa biashara katika maeneo mengi. Katika hili kuna haja ya...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Naumia na napata mashaka haswa kwa wale nilowaamini kwamba watakapopewa uongozi haliitabadilika ila mambo yamekuwa ndivyo sivyo. Mara nyingi uteuzi unapofanyika tunaona sura mpya na ñyingine za...
1 Reactions
3 Replies
757 Views
Hii nchi imejaa usanii sana ,nakumbuka hawa mafisadi na wauza dawa za kulevya waliweza kupenya mpaka kwenye mamlaka ya hali ya hewa na kutangaza kimbuga JOB, kwa lengo la kuwatisha wavuvi na...
2 Reactions
4 Replies
865 Views
Ajabu na kweli tunaposhuhudia utendaji mbovu kabisa wa jeshi la polisi kupata kutokea, kumbe wao pia wamejipa mamlaka zaidi na kujipongeza juu, kwa kupora haki za watu kuishi! Eti kumbe Jan - Sep...
1 Reactions
2 Replies
746 Views
Nataka niongee kwa hasira kali na leo Mod naomba mnivumilie lugha yangu. Hapa bongo kuna mambo ya kikhanithi yanaendelea sana na matokeo yake wananchi tunapata shida kwa sababu ya ukhanithi wa...
33 Reactions
85 Replies
8K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutumia mitandao ya kijamii kutoa elimu ya usalama barabarani na kushirikiana na vyuo vya usafirishaji kufanya tafiti ili kusaidia kupata...
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Nakusalimu mama! Kwanza nakukumbusha methali isemayo "Ushikwapo Shikamana" Tangu lilipotokea janga la msiba wa Magufuli, katiba ilikutaka wewe ndo uwe Rais wetu lkn mazingira ya wewe kuwa rais...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake...
19 Reactions
319 Replies
30K Views
Hapo vipi!! Nimekuwa nafuatilia hii kesi ya Mbowe kwa ukaribu sana. Na nimeshuhudia mapingamizi mengi ya kikosa nguvu ya kisheria hivyo kutupiliwa mbali mahakama. Hii ni ishara inayoonyesha...
9 Reactions
98 Replies
8K Views
"Tunamshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wetu wa Chama chetu, nimekuwa Mbunge miaka 11 ila amefanya mambo sijawahi kuona, tumepokea fedha nyingi Halmashauri hii haijawahi kutokea kwa...
9 Reactions
43 Replies
4K Views
Back
Top Bottom