Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ameanza Juma Awesu......waziri Leo January Makamba........waziri Atafuata Suleiman Jafo.......waziri Hizi gharama za ukaguzi unaweza kujenga bwawa jipya Maendeleo hayana vyama!
16 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wakuu Kusema kweli mimi naona swala la elimu bure ni mihemko ya kisiasa na ndio inasababisha mpaka sasa kutelekeza vijana wetu wahitimu kwa kushindwa kuajiri. Serikali inauhaba na...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
Serikali lazima sasa itambue kuwa kna Bodi ilizoziunda ni kero na mzigo tu kwa Taifa. Kuna NEMC, Bodi za Mabonde siujui ya mito Ruvu, Rufiji, Bodi la Ziwa Tanganyika, Bodi la Ziwa Victoria, Bodi...
1 Reactions
6 Replies
758 Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Maendeleo ya Nchi huletwa na Wananchi wake. Amesema hayo akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Zanzibar. Amesema Sheria za...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Tuna akiba kubwa sana ya fedha za kigeni nchini ,badala ya pesa hiyo kulisaidia taifa kujikwamua kiuchumi wajanja wanabuni projects kuzikamua na sisi tunapiga makofi, Mara matengenezo ,mara ukame...
0 Reactions
0 Replies
486 Views
Naomba kuuliza! Mh. Spika anapomuita mtu kwenye ile kamati yake "Maadili na Hadhi Bunge", huwa ni adhabu gani inaweza tolewa kwa mtu ambaye siye mbunge?
0 Reactions
1 Replies
909 Views
Nilikuwa clubhouse na nimevutiwa sana na jinsi Sixtus Mapunda alivyoweza kujibu maswali mbalimbali kuhusu siasa na CCM. Very composed, well informed na hata akitetea uongo anautetea kisayansi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na...
36 Reactions
131 Replies
11K Views
Chadema mkoani Geita wameadhimisha kumbukizi la miaka 6 tokea mwenyekiti wao wa mkoa kamanda Alphonce Mawazo auawe. Naibu Katibu mkuu mh Kigaila ndio alikuwa mgeni rasmi na amesema Chadema...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Amesema hakuna mtu yeyote anayeweza kupambana na Jeshi hilo na kwamba wote wanaovunja sheria za nchi watashughulikiwa. Nimeona viongozi wa Chadema wanakaripia askari, Tundu Lissu anakaripia watu...
25 Reactions
401 Replies
50K Views
Siku zote, wananchi wamehamasishwa kufanya kilimo cha umwagiliaji. Ilani za uchaguzi za vyama vyote vya siasa za miaka yote, zinaeleza kama vyama hivyo vikipewa dola jinsi vitakavyoendeleza au...
53 Reactions
106 Replies
9K Views
Kuna watu wanadhani na kuamini kwamba Zitto Kabwe ni kiongozi asiyependa ubabe, wanakosea sana. Zitto Kabwe ni mbabe kupita hayati Magufuli. Zitto Kabwe aliwahi kumsweka ndani mkurugenzi wa TPDC...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri wa Afya Dr Gwajima Katika hotuba yake aliyoitoa kwa watumishi ambapo aliwaonya kuhusu kununua damu au kwa watumishi kuuza damu na kudsi ni kosa hivyo anatoa eti mwezi kwa yoyote...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Rais Samia anawatunuku kamisheni maafisa wapya wa JWTZ, tukio liko mubashara TBC, ITV na Channel ten. Updates; === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan...
5 Reactions
14 Replies
4K Views
Mbowe alisema wamepanga kumpa kesi isiyodhaminika mapema kabisa. Yani mchongo aliujua. Na msimamo wake NI kuwa wakifikishwa mahakamani hataongea chochote wakitaka wamfunge. Sasa sijui wanasheria...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Miezi michache iliyopita dai la katiba mpya lilipamba moto. CCM wakaja na hoja kwamba wananchi wanataka maji na umeme na sio katiba mpya. Baada ya kuona hoja ya hitaji la maji na umeme haieleweki...
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Mkurugenzi wa shirika la maendeleo ya petroli Tanzania amesema Tanzania haina uhaba wa mafuta nchi ikiwa ni tofauti na kauli iliyonukuliwa na gazeti la Nipashe wakati akiongea na wanahabari...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wana jamvi, Nasikitika kusema watanzania walio wengi japo sio wote watakuwa wamelogwa na wala sio bure. Sasa naona hakuna cha wasomi wala wasio wasomi wenyekufikiri wapi tulipo na wapi...
0 Reactions
75 Replies
8K Views
Jana Samia Suluhu ambaye nadhani ndie Rais wa Tanzania japo hakidhi vigezo vya kuwa Rais wa nchi yoyote ile alisema kuwa kwasasa dunia inakabiliwa na tatizo jipya la ugaidi. Yeye kwa maoni yake...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom