Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi sasa nchi inapitia wakati mgumu kwa watumiaji wa umeme na mafuta. Kwa mtazamo wangu naona hizi changamoto zitakuwa zinamkosesha usingizi waziri husika. Lakini kuna kitu kinaniambia kwamba...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje. Uganda na Egypt ni nchi...
23 Reactions
95 Replies
8K Views
Mamlaka ya maji inajitapa kuwa baada ya kuwakamata waliokuwa wanachepusha maji imewasha mtambo wa Ubungo baada ya kina cha maji kuongezeka! Sijui ni utaalamu gani huu au ni siasa. Kina cha maji...
13 Reactions
51 Replies
4K Views
Kila sekunde ndani ya mitaandao ya kijamii , magazeti ,vyombo ya habari na maeneo mbali mbali ya nchi watu hulitamka neno hili "CHADEMA" ama kuliandika si ajabu wengine huliota ama kulitamka...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Waziri January Makamba ulipoingia wizarani baada ya kuunda bodi ya wakurugenzi haikupita muda mkaingia mkataba wa dola million 30 na kampuni ya kihindi ya Mahendra kwa ajili ya setelite. Huu ni...
20 Reactions
52 Replies
4K Views
Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira Hongera mama, Charity begins at home. Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu...
43 Reactions
144 Replies
14K Views
Waziri wa maji Juma Awesu amesema mgao wa maji utapungua sana kama siyo kumalizika kabisa baada ya mitambo ya maji ya Makongo juu kuwashwa na maji kuingia kwa wateja. Pia, mabwawa ya kufugia...
15 Reactions
150 Replies
12K Views
Umoja wa Wanawake Tanzania leo wanafanya kongamano kubwa la kumpongeza Rais Samia katika viwanja vya Maisara Zanzibar. Vigogo karibia wote wa CCM wamehudhuria wakiongozwa na Rais wa Zanzibar Dr...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza. Wakuu naomba tusaidiane, hii sentensi inamaana gani? Yaani nikiwa naama kwamba wewe umeilewaje...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
February 2018, Kampuni za umeme, Australia zilitakiwa kulipa fidia kwa wakazi wa Victoria, nchini Australia waliothirika kwa kukosa umeme, malipo ya $180 kutegemeana na muda ambao 'nyumba ilikosa...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi!.. Tunafahamu kinachoendelea juu ya ujenzi wa madarasa kote nchini chini ya ufadhili wa IMF lakini kinachofanyika kimenisukuma kuandika haya. Mosi, wakuu wa shule wamejikuta...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Toka tupate Uhuru 1961 Tanzania imetawaliwa na Tanu na baadaye CCM lakini cha kusikitisha ni jinsi ya uchumi wa Tanzania unavyoendeshwa kwa njia tofauti katika utawala wote wa awamu sita. Awamu...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Mungu alitupa vitu kisha akatupa akili ya kuvitumia vile vitu. Nchi hii tuna mito mikubwa sana tuna Mto Ruvuma Mto Kagera, mto Mara mto Maragarasi nk. Sanjari na hayo tuna Ziwa Eyasi, ziwa Rukwa...
14 Reactions
32 Replies
3K Views
Iramba, Singida. Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda amefanikisha askari 85 wa Jeshi la akiba waliohitimu mafunzo yao kupata ajira SUMAJKT. Mhe Mwenda ameeleza hayo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu nauliza enzi zile zetu tukijipanga na kumpokea raisi tokea aiport hadi anapofikia hatukuona haya ya leo Rais anapokwenda huwaga na mambo ya kutisha . Sina haja ya kuwachosha sana lakini...
7 Reactions
46 Replies
4K Views
Mimi ni mtu naependa consistency, mtu akishakua unpredictable siwezi kumuelewa. Leo Zitto anashinda mitandaoni anamsema Marehemu Magufuli kwamba aliharibu uchumi, hakuna kitu alichofanya na...
11 Reactions
41 Replies
4K Views
EWE HAI! SIKIA SAUTI YA ASKOFU! Kuna nini huko Hai ya Kilimanjaro? Mbona sauti za wana wa Hai zenye huzuni zinapiga kelele? Je, watawala wako ee Hai wanafurahia hali hiyo?! Ewe Hai! Usifurahie...
8 Reactions
17 Replies
3K Views
Profesa huyu aliyezunguka nchi nzima kuwaambia watanzania wanahitaji katiba mpya na leo hii anaigeuka jamaa kusemba kwa haruhitaji katiba mpya? Huyu huyu Profesa aliyesema tuogope sana watu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais. (Source: TBC1) Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe...
16 Reactions
139 Replies
10K Views
Salaam Wakuu, Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman...
18 Reactions
260 Replies
38K Views
Back
Top Bottom