Jana asubuhi hapa Manyoni-Singida ilipita convoy ya Uganda ikiwa escorted na Polisi Tanzania.
Miongoni mwa magari hayo, kuna moja lilikua limebeba gari, iliyokuwa imefunikwa gubi gubi...
Rais ni mtu mkubwa sana, ni lazima aheshimiwe na kulindwa kwa gharama yoyote, ndani na nje ya nchi...masaa 24!
Kwa kuwa ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, muda wote (kasoro akiwa...
Ni ushauri tu,
Sipendi ujuaji sana wa kusoma kwenye makaratasi ila huwa napenda kuchakachua ubongo wangu,
Kama kweli mnaipenda bandari ya Bagamoyo ni bora tungejenga kwa hela zetu tunazoingiza...
Unyama wa serikali ya awamu ya 5 ulijumuisha hadi wizi wa mifugo ya nchi jirani kwa kisingizio cha kuvuka mpaka.
Mifugo kutoka Rwanda na Uganda ilitaifishwa baada ya kuvuka mpaka na kuingia...
Uugwana ni vitendo, kitendo cha Serikali ya Magufuli kuchoma moto vifaranga kutoka Kenya lilikuwa jambo la kinyama lililobeba aibu ya kuifedhehesha serikali ya Tanzania kwa fedheha ya kutia aibu...
Waziri Mkuu asante kwa kuwa mgeni wetu, Mbeya.
Mgeni akikutembelea lazima watoto watapona.
Mara ya mwisho Kassim Majaliwa kuja Tukuyu tunakumbuka sana, ilikuwa kuiwakilisha serikali wakati ule...
Ndugu watanzania wenzangu urefu wa pwani kutoka Tanga mpaka Mtwara ni 591.12km, kutoka Tanga mpaka Dar es salaam ni 195.07 na Dar es salaam kwenda Mtwara 397.39 km.
Kwa kuwa umbali kutoka Tanga...
Leo nchi yetu tumepata mkopo wa 1.3 trilioni kutoka IMF (International Monetary Fund) tumefurahia sana watanzania na kupongeza sana kwa hatua hii
Lakini ukifuatilia sana mikopo hii, ambayo...
Gazeti la The Guardian, lina taarifa inayoeleza kuwa, Mkopo wa China kwa Tanzania, ambao mpaka sasa ni Tsh. Trilioni 5.3 (U$ 2.347 Billion), unaweza kuongezeka maradufu hadi zaidi ya Trilioni 23...
Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la JMT
Kazi iendelee!
Kwa jinsi awamu ya sita toka imeingia madarakani takribani miezi nane sasa.
Rais SSH amedhihirisha utendaji wake wa kazi ni awamu ya pili...
Habari zenu wadau wa jukwaa hili adhimu sana,
Sasa nadhani imefika wakati wananchi tuamke na kukataa huu uzombi unaotutesa; Taifa letu limekuwa halieleweki, mpaka sasa hakuna anaejua kesho...
Inasemekana kuwa huyu mwamba hakuwahi kuwa mpinzani wa kweli, huwa yuko kule kwa kazi maalum.
Baada ya mlezi wake kufariki (Samuel Sitta) mwamba akawa Msoga Gang (Wakojani) rasmi.
Baada ya Magu...
Tofautisha au hata fananisha pande mbili hizi za Muungano.
Yanayojiri Zanzibar ni kama hivi:
Yanayojiri Bara ni haya hapa:
Si hayo tu bali hata yale ya 21% ya ajira JMT ni mahsusi kwa...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado Askari wanalalamikiwa kwa masuala kadhaa ikiwemo kushikilia Leseni za Madereva kwa muda mrefu au kuwalazimisha kulipa faini papo hapo ilihali Sheria inampa...
"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole
My...
Wana Jf
Kwa mara nyingi Marehemu JPM alisistiza na kukataa utitiri wa Mikoa, akadai wakati wananchi wanateseka na kodi kuzalisha, wao wanazunguka zunguka tu na matumbo.
Ona wenyewe
Rais Yoweri Museveni leo ametembelea kituo cha reli ya kisasa ( SGR) jijini Dar es salaam na kuwamwagia sifa Rais Magufuli na mrithi wake mh Samia kwa ujasiri mkubwa wa kubuni mradi huo.
Soma...
Mama samia tuaomba uwe unasikiliza kauli za mawazili unazitafakari, unapata a maoni ya wale wanao athiriwa na matamko hayo ili kubalance.
Mheshimiwa Rais uhamisho ni haki ya kiutumishi kwa...
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , Rose Mayemba ndiye aliyeendesha zoezi hilo
Pichani ni mzee aliyezaliwa mwaka 1934 akifurahia usajili wa Chadema Digital bila kujali " TISHIO LA UGAIDI "
POLEPOLE ANAKOSA SIFA HII MUHIMU NDIO MAANA HAZINGATIWI NA WATU
Kwa Mkono wa Robert Heriel
Kwenye suala la uongozi na utawala ukitaka usizingatiwe Sana yaani upoteze mvuto licha ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.