Video ya Aliyekuwa Rais awamu ya Tano hakikataa utitiri wa Mikoa, Awamu ya Sita anaweza kuipitia kama Funzo

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
8,540
2,000
Wana Jf

Kwa mara nyingi Marehemu JPM alisistiza na kukataa utitiri wa Mikoa, akadai wakati wananchi wanateseka na kodi kuzalisha, wao wanazunguka zunguka tu na matumbo.

Ona wenyewe

Tuseme ni roho mbaya au roho mbaya? Yaani kaondoka tu wameanza kupanga wizi na ufisadi.
 
mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,466
2,000
Tuseme ni roho mbaya au roho mbaya? Yaani kaondoka tu wameanza kupanga wizi na ufisadi.
Yaani unaambiwa gharama za kutunza mkuu wa mkoa, katibu tawala, pamoja na magari yao ya millioni 350, bado mafuta, unaweza jenga shule za primary 7
 
Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
2,666
2,000
Mie nashangaa viongozi wa serikali na Dini kumshambulia magufuri suala la mkoa wa chato..kama viel yeye alilifanya wakati sikweli..Shida iliyopo ni kwamba watu wamezoea eti hopsital nzuri na taasifis za elimu kama veta zinajenhwa palipo na makao makuu ya mkoa wakati yeye anaamini kuwa hata makao makuu ya wilaya unaweza kuweka kiwanja cha ndege..ukajenga hata hospal ya rufaa na ukaweka staend na Rami za kisasa.Sasa kwa kuwa kapeleka hayo amendeleo kwakwe basi watu wanamtumuhu kuwa alipeleka hivyo kwa kuwa aliamino kuanzisha mkoa..na wanaomtuhumu hivyo ni kwa sbb ya elimu ndogo ya kufikilia kuwa bila kuwa na makaomakuu ya moka basi huwezi kupeleka maendeleo sehemu husika...fikra za kijinga kabisa
 
Dialysis

JF-Expert Member
Sep 22, 2021
272
1,000
Kule walimsingizia, hakutaka kabisa, sikiliza video mwanzo mwisho
Are you serious!!

Kwenye msiba wake kule Chato,Askofu wa kanisa katoliki Jimbo la Rulenge -Ngara ,Mhashamu Baba Askofu Severine NiweMugizi katikati Misa ya kumuombea Marehemu JPM alisema "Marehemu alikuwa anataka Chato iwe mkoa"Mwisho wa kunukuu.
Unataka kusoma kuwa Askofu alisingizia?
 
mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,466
2,000
Are you serious!!

Kwenye msiba wake kule Chato,Askofu wa kanisa katoliki Jimbo la Rulenge -Ngara ,Mhashamu Baba Askofu Severine NiweMugizi katikati Misa ya kumuombea Marehemu JPM alisema "Marehemu alikuwa anataka Chato iwe mkoa"Mwisho wa kunukuu.
Unataka kusoma kuwa Askofu alisingizia?
Unakunywa mini bwashee aliyesema ni mwombolezaji sio maaskofu over
 
Lucas philipo

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
1,787
2,000
Mie nashangaa viongozi wa serikali na Dini kumshambulia magufuri suala la mkoa wa chato..kama viel yeye alilifanya wakati sikweli..Shida iliyopo ni kwamba watu wamezoea eti hopsital nzuri na taasifis za elimu kama veta zinajenhwa palipo na makao makuu ya mkoa wakati yeye anaamini kuwa hata makao makuu ya wilaya unaweza kuweka kiwanja cha ndege..ukajenga hata hospal ya rufaa na ukaweka staend na Rami za kisasa.Sasa kwa kuwa kapeleka hayo amendeleo kwakwe basi watu wanamtumuhu kuwa alipeleka hivyo kwa kuwa aliamino kuanzisha mkoa..na wanaomtuhumu hivyo ni kwa sbb ya elimu ndogo ya kufikilia kuwa bila kuwa na makaomakuu ya moka basi huwezi kupeleka maendeleo sehemu husika...fikra za kijinga kabisa
Ila kiswahili chako cha"hovyo" saana.

Zingatia kanuni za uandishi.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kv100

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
252
500
Wana Jf

Kwa mara nyingi Marehemu JPM alisistiza na kukataa utitiri wa Mikoa, akadai wakati wananchi wanateseka na kodi kuzalisha, wao wanazunguka zunguka tu na matumbo.

Ona wenyewe

Hoja ya msingi ni je, wingi wa mikoa ndio muarobaini wa maendeleo? Au ndio kuongeza mzigo wa gharama kwa serikali ? Hii dhana ya kila siku kuvunja mikoa kutengeneza mipya kwa muktadha wa kuharakisha maendeleo tumeitoa wapi? Imekaa kinadharia zaidi. Je, nchi gani iliyoendelea imefanikiwa kupitia kumega mikoa au states?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom