Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo yuko katika ziara ya nchi nzima kuimarisha chama mwenzake J J Mnyika wa Chadema katulia tuli mtaa Ufipa halafu 2025 watalia kuibiwa kura. Sijui CHADEMA...
7 Reactions
111 Replies
5K Views
MWALIMU JULIUS NYERERE FOLLOWERS;WAFUASI WA MWALIMU JULIUS NYERERE. Leo 14:15hrs 09/12/2020 Niwatakie Watanzania wote bara na visiwani heri na baraka tunaposherehekea kumbukumbu ya siku ya Uhuru...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kina Mbowe wakwama mahakamani MONDAY NOVEMBER 29 2021 Summary; Dar es Salaam. Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imekubali pingamizi la mawakili wa Serikali la...
6 Reactions
50 Replies
9K Views
Hadi mwaka 2010 Chama cha Mapinduzi kilikuwa na wanachama takribani milioni tano kwa mujibu wa alkiyejuwa katibu mkuu wakati ule Bw Yusuph Makamba. Idadi hii ni ongezeko kutoka wanachama milioni...
9 Reactions
308 Replies
34K Views
Kitendo cha kukamatwa kwa Mh. Nyalandu na viongozi wa CHADEMA Jimbo la Singida Kaskazini ni sehemu ya mkakati wa kuvuruga a zoezi la CHADEMA ni Msingi linaloendelea Mkoa wa Singida na mikoa ya...
40 Reactions
47 Replies
7K Views
Wazo la kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma ni zuri sana kwa sababu linafanya usafirishaji kwenda maeneno ya nchi yetu kuwa rahisi na hivyo kurahisisha upatikanaji wa mapato mengi. Nimekuja...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Taarifa ambazo zimeandikwa katika gazeti hilo zimedai kuwa Dr. Olimboka amesema uzushi na uongo wa kupikwa na jeshi la polisi juu ya utekeaji na mupigwa kwake kuwa ni Mkenya ni kupindisha hali ya...
13 Reactions
96 Replies
11K Views
Kesho ni kesho asiye na mwana na akaeleke jiwe. Kesho Mh. Jaji Tiganga atatoa hukumu yake kuihusu barua ya Mohammed Ling'wenya. Kama ilivyokuwa kwa DR na shahidi Jumanne, ilipingwa mahakamani...
16 Reactions
60 Replies
7K Views
Niko hapa naangalia convo iliyoenda kuzindua shule ya msingi Chato iliyojengwa na Rais Museveni, aisee ni kubwa. Nimemuona Rais Samia kashuka kwenye lile dege kubwa akiwa ameambatana na jopo la...
25 Reactions
52 Replies
6K Views
Upendeleo Siku zote ufarakanisha watu, walipoanza kujenga uwanja wa ndege na majumba makubwa Chato tulitahadharishwa kwamba Hawa watu wanaelekea kujitenga na kujitengenezea Mamlaka yao...
14 Reactions
202 Replies
12K Views
Leo tarehe 22/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku siku ya Ijumaa, tarehe 18 Novemba, 2021. Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi...
14 Reactions
158 Replies
27K Views
Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe...
17 Reactions
56 Replies
4K Views
Rais wa Uganda, Yoweri Mseveni leo Jumatatu amemkabidhi Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan shule ya awali na ya msingi Mseveni iliyojengwa kwa fedha za serikali ya Uganda, eneo la Nyabirezi...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu, Awamu ya 5 ilikuwa na viongozi wengi wa hovyo waliobebwa na Rais Magufuli Makonda alikuwa akimtumia Kamanda Lazaro Mambosasa kukamilisha missions zake binafsi zisizo halali na ziko...
16 Reactions
39 Replies
4K Views
Kiwanda cha Kagera Sugar ni kiwanda cha kisasa chenye mitambo ya kisasa ya umwagiliaji na ikizingatiwa mkoa Kagera umebalikiwa kuwa na vyanzo vya kuaminika vya maji mwaka mzima kuanzia mto Kagera...
2 Reactions
33 Replies
7K Views
Kesi ya ugaidi ( kesi ndogo katika kesi kubwa) inayoendeshwa divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa inaendelea leo ambapo upande wa Jamhuri utaleta shahidi mwingine. Leo upande wa Mashtaka...
25 Reactions
210 Replies
36K Views
Binafsi napata wasiwasi na huyu Waziri ambae elimu yake ni Professor, namuuliza kweli ameshindwa ku handle tatizo la bei ya mbolea nchini? Na msaidizi wake Bashe ambaye kimsingi ni mkulima...
8 Reactions
70 Replies
6K Views
Ni hoja ya swali. Kesi dhidi ya Paul Makonda sasa imeiva, ni kuhusu kinachoitwa madaraka ya kulevya. Moja ya msingi inajengwa juu ya uvamizi wa kituo cha Runinga, Clouds Media. Japo CMG...
23 Reactions
118 Replies
13K Views
Nani asiye na habari ya mizunguko ya akina Chongolo au Shaka nchi nzima, wakikusanyika na kufanya siasa bila kubughudhiwa? Vipi hii kuwahusu hawa wengine? Bado Rais Samia na serikali nzima...
10 Reactions
83 Replies
6K Views
========= Ofisi ya Makamu wa Rais yakana shutuma zilizoibuliwa na Mange Kimambi.... Nafkiri huyu dada bado anafikiri hii ni awamu iliyopita... Anachokitafuta atakipata. Rais Magufuli hajaribiwi...
11 Reactions
544 Replies
88K Views
Back
Top Bottom