Kuna habari imenifikia mida hii kuwa kuna mtu anaesadikiwa akiwanga kwenye eneo kunapofanyika mkutano wa bunge lakatiba ,mwenyewe anadai ameanguka akitokea Zaire Congo akielekea Msumbiji ,amedai...
Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana:
Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine:
"Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
Kwenye kitabu chake ukurusa wa 157-158 Mkapa anaandika:-
Development dignity requires self- worth, that take on responsibility for your own development as much as possible. Yet during my second...
Marais waliowahi kuitembelea Chato ni pamoja na yule wa Ethiopia, Uganda, Rwanda, Kenya, Msumbiji, Sudan kusini, Burundi na Zanzibar.
Viongozi wengine wa kidunia ni pamoja na Waziri wa mambo ya...
Habarini ndugu,
Hivi sasa bei za bidhaa kuanzia bidhaa za majumbani kama sabuni, mafuta na vinginevyo mpaka mbolea ,vifaa vya ujenzi n.k vimepanda bei.
Bei zimekua kubwa sana kiasi mtu wa...
The second colonization of Africa:
CHINA'S EVIL PLAN FOR AFRICA
By the year 2050, according to the metrics of continental geopolitical ethnography, Africa will become a Chinese continent...
Kwanini matukio haya ya udhalilishaji wa madaktari yanaendelea kutokea?? Taarifa zinazotrend mitandaoni ni kuwa DC alilazimisha mgonjwa atibiwe wakati rufaa ilishatolewa kutokana na hali ya...
Waziri wa Afya, Dkt Dorothy Gwajima amesema takwimu za Tanzania zinaonyesha hadi kufikia Novemba 28, 2021 jumla ya watu waliothibitika kuwa na maambukizi ya #Uviko-19 ni watu 26,273 na vifo 731...
Eng Mbura Chiragwile ametangaza nia ya kugombea ubunge musoma vijijini 2015 kupitia Chadema jimbo analotoka Nimrod Mkono.Mbura amekuwa mstari wa mbele kuhakisha Chadema inatambulika Musoma...
Leo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa tamko la kuruhusu Uagizaji wa Sukari kutoka Uganda, nampa pongezi sana.
Mheshimiwa Rais ujue pia Cement huku kanda ya ziwa imefika bei ya shilingi...
Suala la hotuba zisizo na mvuto limekuwa ni tatizo sugu kwa awamu zote nne zilizopita na sasa hii ya tano zimeendelea kusikika, nimeondoa awamu ya Nyerere.
Wakati wa Magufuli hazikujitokeza...
Nipo senkenke machimboni, Kuna wachina wamefungua mgodi wa kuchimba dhahabu, sasa wanawandanganya watendaji wa serikali kuwa, hawajaanza uzalishaji.
Wachina wanasema bado wanakusanya mchanga...
TUHARAKISHE KUWACHANGIA CHADEMA ILI TURUDI KWENYE SUALA LA SUMU NDANI YA MWILI WA MZEE MANGULA.
Taarifa ya Kamanda Mambosasa bado inakera kwenye vichwa vya wengi! Tunataka taarifa ya Madaktari wa...
Katika vitu ambavyo serikali yetu imeonyesha determination, ni suala la kununua ndege. Katika suala hili, serikali imeweka pamba masikioni na kuignore kila sauti inayohoji suala hili la kununua...
MENEJA Ulinzi na Ushirika wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Kampuni ya Vodacom (T) Makao Makuu Dar es Salaam, James Wawenje (39), ameieleza mahakama jijini hapa kuwa Taasisi ya Kuzuia na...
Amos Makalla karibu sana katika mkoa wetu wa Dar es Salaam na ikikupendeza tusaidie pale Magufuli Bus Terminal ujenzi ukamilike kwa eneo la abiria kadhalika sehemu ya kuservice mabasi.
Mengine...
Ni mshangao mkubwa haya kutokea kwa upande wa serikali yenye kupaswa kuupata uhalali wake kutokea kwa wananchi wanaoilipa kodi.
Ni mshangao mkubwa zaidi kuwa walioko huko serikalini tunaowalipa...
Msingi wa Ling’wenya na wakili wake kuandika barua kwa RPC Ilala kuomba nyaraka za uthibitisho dhidi ya shahidhi wa pili wa upande wa mashtaka katika kesi hiyo ndogo ni kwamba shahidi huyo...
Hapo vip!
Kwanza kwa heshima kubwa nawiwa kumtia moyo mama yetu mpendwa na Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania dhidi ya majukumu mazito alionayo katika maisha yake.
Ninaamini kazi ya Urais...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imelazimika kuahirisha kuendelea kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya shahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.