Rais Museveni ametumia gari lake kwenye ziara yake Tanzania?

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,488
86,005
Jana asubuhi hapa Manyoni-Singida ilipita convoy ya Uganda ikiwa escorted na Polisi Tanzania.

Miongoni mwa magari hayo, kuna moja lilikua limebeba gari, iliyokuwa imefunikwa gubi gubi, nilivyojaribu kufuatilia nikagundua kuwa Museveni alitakiwa kuwepo Tanzania leo.

Swali, je ni sahihi Rais kutumia gari yake kwenye ziara kama hizi?

Ni sababu za kiusalama tu au kuna la zaidi?
 
Sijajua ..ni vema kuchukua tahadhari..labda ameamua kuchukua tahadhari
 
Back
Top Bottom