POLEPOLE ANAKOSA SIFA HII MUHIMU NDIO MAANA HAZINGATIWI NA WATU
Kwa Mkono wa Robert Heriel
Kwenye suala la uongozi na utawala ukitaka usizingatiwe Sana yaani upoteze mvuto licha ya watu...
Amesikika waziri Angelina Mabula akidai kodi kwa wananchi choka mbaya:
Bila shaka hii ni juu ya kodi za pango la nyumba na tozo za Dr. Mwigulu zinazokusanywa juu kwa juu kupitia miamala ya...
Inaonekana watu wa mipango miji wamelala na viongozi wetu akili zimeganda. Nimeona leo kwamba soko la k'koo litajengwa upya kwa Billion 34, leo siyo mwaka 1970 jamani kwanini pesa zote zitumike...
Nyie wanasiasa waoneeni huruma hao walimu mnao wakabidhi watoto wa aina hiyo.
Wazo la kwanza kuwawekea mfumo wao lilikuwa zuri sana lakini hili la kuwachanganya na wanafunzi wengine katika mfumo...
Tangu Tanzania ilipopata uhuru mwaka 1961, Rais wa Awamu ya Sita Mhe. Samia suluhu Hassan ameweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza kuwafanyia jambo kubwa wafanyabiashara wadogo maarufu kama Machinga...
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:
1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.
2)...
Kati ya tabia mbaya kabisa za mwanadamu ni unafiki. Mnafiki ni mtu hatari maana anaweza kukusifia ukiwa naye, ukigeuka anaweza kuwa kiongozi wa kukuwekea mitego ya kukuangusha.
Nchi yetu imejaa...
Hivi ni kwanini nchi za Magharibi hupenda kukopesha zaidi nchi Maskini kwenye miradi ya huduma za jamiii badala ya Uzalishaji?
Mikopo italipika vipi wakati pesa nyingi wanatukopesha kwa ajili ya...
Upatikanaji wa umeme na gharama za kuupata, vina mchango mkubwa katika upatikanaji wa maendeleo.
Mataifa mengi yanajitahidi sana kuweza kuweza kuwapa umeme watu wao kwa gharama nafuu kadiri...
Ndugu zangu habari,
Kila awamu ya uongozi ina mtu mmoja maarufu ambaye anakuwa haendani kabisa na Mtawala aliyopo au waliendana badaye wakegeukana kisha kuathiliwa na matendo ya Mtawala huyo.
1...
UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA NGORONGORO
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka Leo Ijumaa 26 Novemba 2021, amezindua rasmi...
Wizara ya Afya imesema hivi karibuni kumekuwa na tishio la kutokea Wimbi la Nne kutokana na taarifa za ongezeko la visa vipya na kuwepo kwa wasafiri wengi ndani na nje ya Nchi katika kipindi cha...
Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi.
Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe...
By Special Correspondent
ON 22 October 1959, the founding father of our nation, then a young African leader, Mwalimu Julius Nyerere made a commitment on behalf of his people, who had not yet...
Habari ndio kama mnavyoisoma, huyu alishakuwa mbunge huko kusini kwa miaka isiyo na idadi , alishakuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi , akahujumiwa kwenye kura zao za maoni huko CCM, ni mtu...
Rais Samia sikupangii ila inapaswa kumuwajibisha Msemaji mkuu wa serikali na Felchesim Mramba ambae sasa ni kamishna wa umeme na nishati Tanesco.
Kwanini uwawajibishe
Tarehe 10 mwezi huu wa 11...
Juzi nilikutana na mwanafunzi wangu ambaye kwa Sasa ni Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Tulijadili mambo tofauti Ila Moja ya kilichomfurahisha ni namna alivyoaminishwa ni vigumu kwake kuwa...
Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof. Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni...
Ndugu zangu kuna wakati nilikuwa naongea na mwalimu wangu wa it akaniambia ili taifa liendelee linahitaji sana kutunza siri ili liweze kupiga hatua.
Maana adui zako wakijua unafanya mambo mazuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.