Taarifa za awali zinaonyesha kwamba Mzalendo aliyechukua Jukumu la kumfungulia kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka Paulo Makonda kwa niaba ya WANANCHI WOTE , anaitwa SAED KUBENEA , ambaye ni...
Kama ambavyo wadau mbalimbali wamekuwa wakisema mara kadhaa, Mkakati wa Taifa kuhusu uzalishaji wa umeme ulikuwa:-
Yaani, malengo hadi kufikia June 2020, tulitakiwa tuwe tumezalisha 4,915 MW...
Nasema hivo kwa sababu zifatazo:
Kwanza mara tu baada ya Rais Samia kuingia alifanya mabadiliko bandarini akidaiwa kuwa Kakoko ni fisadi na akawekwa chini ya uchunguzi ambao mpaka leo...
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amesema uhamisho wa watumishi wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa utafanyika mara nne kwa mwaka...
Waziri siku ya Jumatatu ulitoa tamko na kutuahidi watanzania kuwa baada ya siku mbili utakuja na suluhu ya tatizo la umeme na ukame unaoikabili nchi yetu kwa sasa.
Waziri leo ni Jumamosi lakini...
BAADHI YA TUHUMA ZINAZODAIWA KUMPELEKEA DR. AYUBU RYOBA KUJIUZULU
Yeye binafsi hana tuhuma za moja kwa moja, anawajibika kwa matumizi mabaya ya ofisi yaliyofanywa na wasaidizi wake.
Wasaidizi hao...
WAPI ALIPO RAIS WETU?
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimeitaka serikali ya nchi hiyo kujitokeza na kueleza alipo rais John Magufuli na hali magufuli na yuko katika hali gani...
Hili jambo kuna watu wanalielewa vizuri sana na wanaweza kusaidia jamii kujua ukweli ila Watanzania tumekuwa waoga na hivyo wenye kujua wamechagua kukaa kimya.
Upotoshaji unapata nafasi kwasababu...
Nchi nyingi zilizoendelea duniani zote zilipitia katika mfumo wa mapinduzi ya kilimo kwanza kabla ya viwanda.
Katika karne ya 18 huko uingereza na marekani mapinduzi ya kilimo ndio yaliyoleta...
Wanabodi,
Leo ndio leo, asemaye kesho muongo. Leo ndio siku ya mwisho ya deadline ya PUSU ya Barrick kwa Acacia, PUSU ni "Put Up or Shut Up", yaani kubali ufe, kataa ufe!.
Kati ya vifo vyote vya...
Nawapenda ndugu zangu wahaya wa Bukoba , wana akili sana!
Wanasema hii kadhia ya makelele ya kutaka mkoa wa Chato, kumaliza udhia, mkoa wa Geita uitwe mkoa wa Chato, kesi kwisha!
Baada ya kusikiliza na kusoma hoja za viongozi wanaotetea na kuunga mkono ujenzi wa bandari ya bagamoyo kuwa ujenzi huo una maslahi na faida kwa watanzania naona ni wakati muafaka viongozi hao...
Wana JF
Kama ulikuwa hujui watu waliokuwa wanaaminika kwa misimamo dhabiti ni watu wa kigoma, hawa jamaa huko nyuma walikuwa vyuma sana kupinga uthalimu wowote ule uliokuwa unafanywa na...
Mwanzoni (wakati Magufuli akiwa bado hai) ilikuwa kama tetesi lakini sasa kila kitu kiko wazi kuwa Chato imejipanga kuhakikisha inakuwa mkoa, tena mkoa mkuu na imara kwa gharama za kuimega Kagera...
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya...
Awali nilifurahi sana hasa ile march seventeenth na furaha ilikamilika zaidi baada ya Samia kuapishwa na kuwa rais wa Tanzania.
Nilimpenda kwa sababu kwanza ni mwanamke hivyo niliamini...
Balozi Ombeni Sefue anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dr Stergomena Tax aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi . Sefue aliwahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi
Mytake: Vijana endeleeni kula Mtori nyama...
Wafuasi wa Lumumba ama kwa ile kukosa uelewa, au kwa makusudi tu, since Day 1 wamekuwa wakipotosha ambacho Tundu Lissu aliongea kuhusu MIGA! Au wakati mwingine inawezekana ni kutokana na tabia...
Hakika Nchi yangu Ngumu sana
CCM Wanafanya Mikutano bila hata Kibali cha Polisi
Vyama vya Upinzani pamoja na kutii Sheria bila Shuruti lakini Wanakatazwa kufanya Mikutano.
Nchi yangu kweli...
Naomba wachumi mje mtujuze athari za Bajeti ya 2020/21 kwenye sector ya nishati elekezwa kwenye mradi mmoja wa Nyerere Hydro Electric Power huko Rufiji. Kama siyo mchumi soma na upite.
Angalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.