Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,728
- 2,259
Waziri Mkuu asante kwa kuwa mgeni wetu, Mbeya.
Mgeni akikutembelea lazima watoto watapona.
Mara ya mwisho Kassim Majaliwa kuja Tukuyu tunakumbuka sana, ilikuwa kuiwakilisha serikali wakati ule alipouwawa John Mwankenja, Mwenyekiti wa CCM Rungwe.
Kassim Majaliwa wakati huo alikuwa Waziri Mdogo TAMISEMI.
Hatutaisahsu faraja aliyoitoa wakati ule.
Lakini zito zaidi ni Waziri Mkuu kuvunja "taboo" ya viongozi wa serikali kutoitembelea Mbeya kwa muda mrefu.
Sisi wananchi tunapata faraja katika hili la kuanza kutembelewa na viongozi wa juu kiserikali.
Mungu awabariki.