Zanzibar Wanapopaa ijue Siri ya Mafanikio yao

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,822
35,817
Tofautisha au hata fananisha pande mbili hizi za Muungano.

Yanayojiri Zanzibar ni kama hivi:

Yanayojiri Bara ni haya hapa:

Si hayo tu bali hata yale ya 21% ya ajira JMT ni mahsusi kwa Zanzibar. Ama kweli Zanzibar kumewiva:

Zanzibar Kumenoga - Serikali Kugharimia Ujenzi wa Hoteli zilizoungua Moto

Zaidi sana Zanzibar wamefikia maridhiano ya kisiasa na wana katiba mpya inayowahusu wote. Si Pemba, ACT, Jussa au Zitto ni vicheko tu hadi magego nje.

Kwetu bara maridhiano ya kisiasa ni "taboo." Kuongea katiba mpya ni ugaidi. Upinzani kukusanyika ni haramu.

Kubambikiziana kesi na hukumu mahakamani ndiyo kwetu. Ndivyo sivyo za dola dhidi ya watu wake, ndiko tulikowekeza.

Ama kwa hakika Zanzibar wanapopaa kwetu sisi mambo mpera mpera.
 
Bibi ushungi anatumika kuhakikisha bara inarudi nyuma ili Zanzibar ipae maana yeye bara hana uchungu nayo hata kidogo, akimaliza muda wake atarudi Zenji.
 
Si kuwa nabii kuona kuwa Zenji wamedhamiria kweri kweri:

1. 2025 - 2030 rais JMT ni Chifu Hangaya mwenyewe.
2. 2030 - 2040 rais JMT ni Mwinyi
3. 2040 --> rais JMT mzanzibari

Hiyo #3 siku hamtaki kata kata, Muungano kwishney. Kila mtu anabaki na m*vi yake.

Wao wakati huo watakuwa dunia nyingine - ya pili juu kama si ya kwanza.
 
Back
Top Bottom