Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,348
- 217,391
Uugwana ni vitendo, kitendo cha Serikali ya Magufuli kuchoma moto vifaranga kutoka Kenya lilikuwa jambo la kinyama lililobeba aibu ya kuifedhehesha serikali ya Tanzania kwa fedheha ya kutia aibu ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi.
Sitaki kurudia kusimulia unyama ule wa kishamba, ambao haukuwa na tija yoyote ile kwa Taifa, bali nimemuomba Mh Rais Samia Suluhu kufanya uungwana kwa kuiomba radhi serikali ya Watu wa Kenya kwa unyama ule wa kishamba uliofanyika kutokana na chuki zisizoeleweka hata chanzo chake, zilizopelekea vifaranga kutoka Kenya kuteketezwa kinyama.