Alipo Rais, ipo KUU (Kamati ya Ulinzi na Usalama)...

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Rais ni mtu mkubwa sana, ni lazima aheshimiwe na kulindwa kwa gharama yoyote, ndani na nje ya nchi...masaa 24!

Kwa kuwa ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, muda wote (kasoro akiwa kwenye makazi yake IKULU) ni lazima awe na:

1. CDF ( Mwamba)

2. IGP

3. DG - TISS

4. Kamishna wa Uhamiaji

5. Kamishna wa Magereza

6. Mkurugenzi wa TAKUKURU

7. Kamishna wa Madawa ya Kulevya

Hapo hapo kuna kikosi kazi maalumu ya Ulinzi wa Rais, na wale jamaa (snipers) wanaovaa mabaka- mabaka.

Nchi yetu ipo vizuri sana kiulinzi na kiusalama na ndiyo maana tunalala fofofo na kutembea usiku wa manane tukijiachia bila hofu yoyote.

Asante sana Mhe. Rais.

MUNGU akubariki.
 
Rais ni mtu mkubwa sana, ni lazima aheshimiwe na kulindwa kwa gharama yoyote, ndani na nje ya nchi...masaa 24!

Kwa kuwa ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, muda wote (kasoro akiwa kwenye makazi yake IKULU) ni lazima awe na...
Lakini hawa wote hawawezi kuzuia chochote mbele ya kifo. Ndiyo maana wakaitwa wanadamu.
 
Rais ni mtu mkubwa sana, ni lazima aheshimiwe na kulindwa kwa gharama yoyote, ndani na nje ya nchi...masaa 24!

Kwa kuwa ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, muda wote (kasoro akiwa kwenye makazi yake IKULU) ni lazima awe na...
Bado sijaelewa nini lengo la huu Uzi wako. Maana upo kama unamjibu mtu.
 
Rais ni mtu mkubwa sana, ni lazima aheshimiwe na kulindwa kwa gharama yoyote, ndani na nje ya nchi...masaa 24!

Kwa kuwa ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, muda wote (kasoro akiwa kwenye makazi yake IKULU) ni lazima awe na...
Nchi zingine mambo yakoje? Ni Sisi tuu ndo tupo vizuri ktk eneo hilo?Mbona Marais wao wanatoboa Salama mihula yote? Mbege ya Rau madukani ni mbaya sana.
 
Rais ni mtu mkubwa sana, ni lazima aheshimiwe na kulindwa kwa gharama yoyote, ndani na nje ya nchi...masaa 24!

Kwa kuwa ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, muda wote (kasoro akiwa kwenye makazi yake IKULU) ni lazima awe na...
Hiyo kamati Wangezuia kifo cha mwendazake
 
Hao mabakamabaka wenye siraha kali si mlisema ni wanyarwanda..had na mbowe kasema siyo watanzania..Je hiyo ni ukweli au uwongo..kwani hadi sasa ninawaona ndo wanamlinda samia
Ukawaamini mabavicha?
 
Back
Top Bottom