Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tume huru ya uchaguzi ndio itamuinua huyu Rais aliyepatikana kwa Mujibu wa katiba iliyopo, na kama kweli waTanzania wamemkubali basi muamuzi ni Tume huru ya uchaguzi isio na doa, lakini haya...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndugu watanzania mwaka huu ni mwaka mtashuhudia mambo ya ajabu na kushangaza mm nayaeleza ili Kwanza kuwafungua macho wale hawajuwi maana ya Karima na Kuwa Saidia wale Wana wania nafasi za uongoz...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Furaha Dominic ni mpwa wa hayati Magufuli. Jumatatu alikuwa na mjadala katika kipindi cha The Big Agenda kinachorushwa na Star tv. Kutokana na mambo mengi aliyokuwa nayo muda wa kipindi...
6 Reactions
61 Replies
6K Views
Ukisikie serikali imelala ndo hivi sasa. Waziri wa biashara haonekani wakati wafanya biashara wameunguliwa soko lao badara yake anaenda TAMISEMI. Hivi TAMISEMI wao kila sehemu wapo?. Si watakuwa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanabodi, Jukwaa la Siasa: Hapa Jukwaa la Siasa JF, mada nyingi ni mada za politiking, yaani kupiga siasa, lakini sii wengi wanajua kuwa hata mambo ya uchumi mkubwa ni siasa!, hapa tunazungumzia...
10 Reactions
48 Replies
4K Views
Peter Msigwa alipost maoni yake akiamini kuwa Chenge ni mtu ambaye angefaa kuwa Speaker wa Bunge. Pamoja na kuwa anaona Bunge halieleweki ila anaamini Chenge ni mtu mwenye msimamo na msomi wa...
12 Reactions
77 Replies
48K Views
Tangu mwaka jana nimekuwa nikimsikiliza mfanyabiashara Ramadhani Ntunzwe anavyosumbuliwa bila kupata ufumbuzi. Nina imani kabisa rais wa wakati huo kama kweli alikuwa na nia ya kumaliza jambo...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuungua kwa soko la Mitumba Karume limefanya nifikirie mambo mengi mpaka jibu sina, kumbuka huyu bwana alipokuwa Mbeya mwendo wa kuwaka moto masoko, ilikuwa shida sasa naona imehamia DSM. Sasa...
6 Reactions
41 Replies
5K Views
Hotuba ya mkuu wa taifa na yale tunayaona wenye akili tunajuwa Majaliwa ni mzizi mrefu sana chini ya Ardhi. Huenda muda utajibu haya niyasemayo, ila fuatilia uteuzi wa Pinda na kabla ya uteuzi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Historia inatukumbusha Kuwa mauwaji ya Wana harakati hayakuwahi zima mapinduzi ya kisiasa ktk jamii Ila yalichochea mapinduzi makubwa na umwagaji mkubwa wa dam na mwisho ushindi. Mauwaji ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa sheria zetu mbunge anachaguliwa na wananchi lakini lazima adhaminiwe na chama. Chama kikimuondolea udhamini mbunge, hata kama alichaguliwa na 100% ya wananchi wake, anapoteza haki ya...
2 Reactions
0 Replies
761 Views
Tunasifia mafanikio ya ujenzi wa miundombinu mikubwa ila upande wa pili unajua kabisa100% umeharibu na huenda itatuchukua miaka mingi kusimama tena. Naipenda serikali yangu ila kwenye uchumi...
11 Reactions
15 Replies
2K Views
Hisia nikitu hatari sana moyoni mwa kiongozi. Kiongozi akiwa na hisia Fulani au tawaliwa na hisia moyoni wakati wa maamuzi yake basi mara nyingi maamuzi hayo huwa na athari mbeleni. Hisia nikitu...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Pamoja kuwa wewe ndio Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya taifa letu. Huna budi kukumbuka miiko ya kiti chako, nakukumbuka kauli zako iwe ni kwa uzalendo au ni kwa upendo mkubwa kwa watanzania...
55 Reactions
125 Replies
12K Views
Shalom from Jerusalem, Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za...
20 Reactions
147 Replies
10K Views
Naomba nisipingane na asili ambayo inalandana hata mitazamo ya kiimani kwamba ALIYE NACHO HUONGEZEWA! Kuna uwezekano mkubwa mabepari walijifunzia huku. Matukio haya mawili ni ya ma rais wetu...
40 Reactions
136 Replies
11K Views
Salamu wakuu! Niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. Kwa mtazamo wangu mubashara nimeunganisha nukata na kugundua kwamba ripoti ya Nape kuhusu uvamizi wa Makonda Clouds Media haijakamilika...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Trend analysis hazidanganyi kugombea uspika tu watu wanakaribia 200 2025 natabiri wabunge waliopo wajiandae kutakuwa na wachukua fomu zaidi ya 100 kutaka kuteuliwa na CCM kuwa wagombea wa jimbo...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
List of shame ilivyowekwa wazi pale mwembe Yanga na watanzania kutambua kuwa taifa lao linaibiwa, wapinzani tulipata nguvu. Tukapata heshima ya kuwa wakombozi wa taifa hili dhidi ya mafisadi...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Wanajukwaa habari za siku...! Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha. Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu...
19 Reactions
107 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…