2025 wabunge mjiandae majimbo yenu yatakuwa na wachukua fomu zaidi ya 100

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,909
51,904
Trend analysis hazidanganyi kugombea uspika tu watu wanakaribia 200

2025 natabiri wabunge waliopo wajiandae kutakuwa na wachukua fomu zaidi ya 100 kutaka kuteuliwa na CCM kuwa wagombea wa jimbo na viti maalum

Ugombea urais kupitia CCM Mama Samia naye ajiandae kutakuwa na watia nia zaidi ya 500 tunarudi enzi za Kikwete za uspika,uraisi au ubunge na udiwani hausomewi!!! Watu hawaogopi kabisa kuchukua fomu
 
Trend analysis hazidanganyi kugombea uspika tu watu wanakaribia 200

2025 natabiri wabunge waliopo wajiandae kutakuwa na wachukua fomu zaidi ya 100 kutaka kuteuliwa ba CCM kuwa wagombea wa jimbo na viti maalum


Ugombea uraisi kupitia CCM Mama Samia naye ajiandae kutakuwa na watia nia zaidi ya 500 tunarudi enzi za Kikwete za uspika,uraisi au ubunge na udiwani hausomewi!!! Watu hawaogopi kabisa kuchukua fomu
Paragraph ya mwisho inaonesha jinsi gani wafuasi wa jiwe msivyo na kumbukumbu

Mwaka 2020 wagombea wa ubunge walikuwa wangapi??


Jiwe amekufa kwa Covid19 tukubali tu kuchanja
 
2025 kifupi kama wewe in mbunge umekaa vipindi vitatu mfululizo au vitatu kwa kuruka iwe ubunge wa kuteuliwa au viti maalum ruka jitoe mapema utaiabika au una miaka 65 kwenda mbele ondoka usisubiri aibu
 
2025 wabunge kama kibaji na Msukuma darasa LA saba na form four au six failure au diploma wasichukue form kabisa
 
Watu wanalia njaa tu,siasa ndo nafasi pekee iliyobaki kwa watanzania kutoboa kwenye maisha yao...daah,Yan tumefika huku aisee siamini.
 
Back
Top Bottom