Hii ndio Karma katika Siasa za Tanzania

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Ndugu watanzania mwaka huu ni mwaka mtashuhudia mambo ya ajabu na kushangaza mm nayaeleza ili Kwanza kuwafungua macho wale hawajuwi maana ya Karima na Kuwa Saidia wale Wana wania nafasi za uongoz Kuwa makini na midomo Yao ili Karima isiwakumbe.

Karma ni Ile hali ya unamtendea MTU Jambo Baya na Kwa bahati mbaya yeye anakuwa Hana uwezo wakukurudishia au kujitetea Kwa lile umemtendea hapo ndipo Karima hufanya KAZI.

Karma inaogopwa hata na wafalme maana kama sio Karima falme katili zingekuwa mpaka leo Ila Karima alizifuta kabisa mpaka leo imebaki Historia. Dola kama ya Rumi ilishitisha Sana Ila nayo umepotea. Serikali katili zilizo mwaga dam kama Serikal ya Adolf Hitler Leo zipo wapi hiyo ndio Karima.

Nimeandika hivi Kwa sababu na juwa uko mbeleni yapo mambo yatawashangaza wa Tanzania wengi Sana na hili uwenda litakuwa fundisho Kwa vijana na watawala Kuwa ukipewa madaraka jaribu Kuwa MTU wa watu na sio kiti au nafasi uliyo nayo kuitumia vibaya Kisa Tu wewe ndio kiongozi. Wale tupo vijana nibora tukajifunza nakukumbuka haya maana niukweli usio pingika hata maandiko yanasema ukiuwa Kwa upanga unaleta upanga ndani ya familia yako japo sio Rahisi kuona ktk hali ya kawaida. Upanga unaweza Kuwa mambo mengi mabaya usio yajuwa, upanga unaweza Kuwa kukosa Amani au furaha pamoja na yote Mungu amekubariki.

Tanzania ni Taifa ambalo Kwa uwelewa wangu mdogo hili ni Taifa la maajabu Sana Yani sijuwi ulaya Ila watanzania masikini Kwa matajiri hawapendi kusimangwa wala hawapendi kujuwa Sana wewe ni Nani wengi wetu hapa tuna chemka tunajisahau na kujipalilia Karima isi na sababu.

Mzee Mmoja akamwambia mkuu wake alie Kuwa ktk dimbwi la mawazo yakudhulumiwa Kwa kusema hakuna marefu yasio na nchi wapo watu wanadhani eti watakuwa viongoz milele na hakuna wakuwagusa na wapo wengine wanadhani eti ukisha Kuwa kiongoz basi utawafanya watu vile unataka na hakuna wakukugusa. Ukweli ni kwamba ukiona hakuna wakukugusa basi kumbuka Karima. Neno Karima linatisha kwao wasio amini.

Yule Mzee wa watu amefungiwa asifanye siasa siku kadhaa ili tu Sisi tufanye siasa siku tumepanga mvuwa kubwa inanyesha nakuleta mafuriko makubwa hiyo ndio Karma Yani Mungu anamsemea mnjonge Kwa njia sote tunapumbazwa.
 
Hichi ndio kilichomkumba Ayubu, Karma
images (1).jpg
 
Duh!!! Watawala waamke wazingatie kuwa kuna Mungu
Mungu huwa anatushangaza kila wakati.
Tusimung'unye maneno, Magufuli alitenda maovu mengi ati kwa ajili ya eti wanyonge.
Hata akishauriwa, kwa mdomo wake akasema hashauriki, yeye ana akili anajua anafanya nini.

Mwishoni mwa miaka yake mitano na ile miezi yake mitano akawa ametambua kuwa yuko peke yake kule juu, hana rafiki, hana mshauri wa maana na kiujumla mambo yanaenda vibaya, biashara nyingi zinafungwa na serikali sasa inanyang'anya watu amana zao.

Magufuli akawa kila jumapili , naye yuko madhahabuni St Peters akitoa maneno ambayo bado ni kufuru kuyasema madhahabuni.

Mara kwa mara alisikika akisema niombeeni, kazi hii ni ngumu!

Kwa wengine tukajua Mungu yuko kazini, jamaa hatadumu sana.

Mwisho akawa anakimbilia kukaa Chato, kina Mwigulu wameapishwa huko huko.

Ni kama mtu anakikimbia kivuli chake, maovu aliyofanya akawa anayakimbia.
Hata alipofariki kuna waliosikitika, waliofaidika na utawala wake, lakini kuna waliofurahia kwa kuona ni kama jipu lililouma miaka mingi sasa limetumbuka lenyewe.
Mungu kafanya maajabu yake kupitia Karma.
 
Ndugu watanzania mwaka huu ni mwaka mtashuhudia mambo ya ajabu na kushangaza mm nayaeleza ili Kwanza kuwafungua macho wale hawajuwi maana ya Karima na Kuwa Saidia wale Wana wania nafasi za uongoz Kuwa makini na midomo Yao ili Karima isiwakumbe.

Karma ni Ile hali ya unamtendea MTU Jambo Baya na Kwa bahati mbaya yeye anakuwa Hana uwezo wakukurudishia au kujitetea Kwa lile umemtendea hapo ndipo Karima hufanya KAZI.

Karma inaogopwa hata na wafalme maana kama sio Karima falme katili zingekuwa mpaka leo Ila Karima alizifuta kabisa mpaka leo imebaki Historia. Dola kama ya Rumi ilishitisha Sana Ila nayo umepotea. Serikali katili zilizo mwaga dam kama Serikal ya Adolf Hitler Leo zipo wapi hiyo ndio Karima.

Nimeandika hivi Kwa sababu na juwa uko mbeleni yapo mambo yatawashangaza wa Tanzania wengi Sana na hili uwenda litakuwa fundisho Kwa vijana na watawala Kuwa ukipewa madaraka jaribu Kuwa MTU wa watu na sio kiti au nafasi uliyo nayo kuitumia vibaya Kisa Tu wewe ndio kiongozi. Wale tupo vijana nibora tukajifunza nakukumbuka haya maana niukweli usio pingika hata maandiko yanasema ukiuwa Kwa upanga unaleta upanga ndani ya familia yako japo sio Rahisi kuona ktk hali ya kawaida. Upanga unaweza Kuwa mambo mengi mabaya usio yajuwa, upanga unaweza Kuwa kukosa Amani au furaha pamoja na yote Mungu amekubariki.

Tanzania ni Taifa ambalo Kwa uwelewa wangu mdogo hili ni Taifa la maajabu Sana Yani sijuwi ulaya Ila watanzania masikini Kwa matajiri hawapendi kusimangwa wala hawapendi kujuwa Sana wewe ni Nani wengi wetu hapa tuna chemka tunajisahau na kujipalilia Karima isi na sababu.

Mzee Mmoja akamwambia mkuu wake alie Kuwa ktk dimbwi la mawazo yakudhulumiwa Kwa kusema hakuna marefu yasio na nchi wapo watu wanadhani eti watakuwa viongoz milele na hakuna wakuwagusa na wapo wengine wanadhani eti ukisha Kuwa kiongoz basi utawafanya watu vile unataka na hakuna wakukugusa. Ukweli ni kwamba ukiona hakuna wakukugusa basi kumbuka Karima. Neno Karima linatisha kwao wasio amini.

Yule Mzee wa watu amefungiwa asifanye siasa siku kadhaa ili tu Sisi tufanye siasa siku tumepanga mvuwa kubwa inanyesha nakuleta mafuriko makubwa hiyo ndio Karma Yani Mungu anamsemea mnjonge Kwa njia sote tunapumbazwa.
Huyu jamaa namuheshimu sana humu jamvini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom