Ripoti ya Nape yachambuliwa kama karanga

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
23,541
21,569
Salamu wakuu!

Niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. Kwa mtazamo wangu mubashara nimeunganisha nukata na kugundua kwamba ripoti ya Nape kuhusu uvamizi wa Makonda Clouds Media haijakamilika kwa 100%. Kuna mambo kadha wa kadha yanayoweza kutiliwa shaka juu ya usahihi wa ripoti hii. Nimejaribu kuunganisha nukta na kugundua kwamba kikosikazi kilichotumwa kuchunguza hili tukio ama waliacha kufukua mambo kwa ufasaha zaidi au wahojiwaji waliamua kuficha baadhi ya mambo kwa sababu wanazozijua au kwa maslahi yao binafsi. Nimeunganisha nukta kama ifuatavyo:

NUKTA YA KWANZA
Ukifuatilia mahojiano ya Ruge na watangazaji wa Clouds alipokuwa anakiri studio zao kuvamiwa na Paul Makonda (sio jina halisi) kwa kutumia mitutu ya bunduki, alidai kwamba siku chache kabala ya tukio la uvamizi Makonda alikutwa yupo chemba na vijana wanaorekodi kipindi cha SHILAWADU. Hii inaashiria kwamba there was something FISHY going on. Inaonesha Makonda alikuwa “akiwashawishi” vijana waandae na kurusha “kipindi chake”. Sasa tujiulize: huo USHWISHI ulikuwa ni wa namna gani? Mazingira yanaonyesha alikuwa anapenyeza rupia kuwalainisha vijana wafanye kazi aliyowatuma. Hapa TAKUKURU ilipaswa waingilie kati ili kuleta balance.

Kwa bahati mbaya, katika ripoti ya Nape hakuna mahali ambapo TAKUKURU wameombwa kufanya uchunguzi juu ya tukio hili. Kuna nini hapa? Inawezekana vijana waliohojiwa na kamati ya Nape walichelea kusema ukweli kwamba Makonda “aliwashawishi” kwa namna fulani kufanya kazi hii, ili kukwepa mkono wa TAKUKURU kuwaandama wao pamoja na Makonda. Hii sintofahamu inapaswa ifanyiwe kazi na TAKUKURU kwa maslahi ya umma hata kama hawajaelekezwa kufanya hivyo na kamati ya uchunguzi.

NUKTA YA PILI
Kwa mujibu wa Ruge, makonda alipovamia ofisi yao alikuwa akishinikiza “kipindi chake” kiruke hewani na alikuwa na hasira kubwa dhidi ya vijana wa SHILAWADU. Tujiulize: hasira zile za Makonda zilisababishwa na nini? Bila shaka ni baada ya kuwa ameingia gharama kubwa kuandaa kipindi halafu vijana wakavunja makubaliano yao wakati wakiwa tayari wamechukua “ushawishi” mkubwa. Ndio maana baada ya kipindi chake kugonga mwamba akakichota kwenye flashi na kuondoka nacho. Katika mazingira ya kawaida, mtu huwezi kushinikiza upewe kipindi ambacho hujashiriki wala kuingia gharama za kukiandaa. Haiwezekani katu! Ni wazi kwamba Makonda aliingia gharama kadha wa kadha katika mchakato mzima wa kuandaa hiki kipindi hadi kufikia hatua ya kujiaminisha kwamba kilikuwa ni “kipindi chake”.

NUKTA YA TATU
Yule mwanamke chizi aliyelipwa kuigiza kuzaa na Gwajima alitafutwa na nani na alilipwa na nani kufanya igizo lile? Ripoti ya kamati haijataja mahali popote jinsi yule mwanamke alivyopatikana na jinsi alivyolipwa. Ukiangalia vizuri, utagundua kwamba Makonda anahusika kwa kiasi kikubwa katika jitihada za kumpata na kumfix yule mwanamke ili amsaidie kutengeneza kipindi chake. Katika hili, TAKUKURU pia wanapaswa kuingilia kati kuwahoji Makonda na mwanamke wake juu ya tuhuma za hongo (rushwa). Na kwa mujibu wa sheria ya TAKUKURU, mtoa rushwa na mpokea rushwa, wote wana makosa ya kujibu. Hata kama Makonda alikwepa kuhojiwa na kamati, katika hali ya kawaida hili kamati ilipaswa kuligundua hili na kulisemea kwenye ripoti yao.

HITIMISHO
Nionavyo mimi, ripoti ya Nape imekamilika kwa 80%. Asilimia 20% zilizobaki zitajibiwa na ripoti ya pili itakayoandaliwa baada ya uchunguzi wa kina utakaofanywa na TAKUKURU. Nashauri chombo hiki kiingilie kati sakata hili ili kuleta balance.

Nawasilisha.
 
Mada yako siyo sahihi. kamati iliundwa kuchunguza tukio la kuchunguza uvamizi wa kitua cha habari cha clauds siyo contents za kipindi kilichotakiwa kurushwa. wala siyo kazi ya waziri ama kamati kuifanya. Ripoti ingeongelea issues za rushwa ili vijana wa clouds warecord kipindi na kukirusha ingekuwa imetoka nje ya mandate.
 
Mkuu kazi ya Tume na Nape ilikuwa ni kuchunguza kama kweli Mhe. Makonda alivamia Ofisi za Clouds, hayo ya kwa nini alivamia haikuwa kazi yao. Wao lengo lao ni kubaini kama kweli aliingia kwenye hilo jengo kwa nguvu.
 
Unasahau kuwa presenters wa ripoti na nape walisema hiyo ripoti iliyotolewa ni sio ripoti yote ina ni sehemu tu ya ripoti ikimmanisha hawakutaka kuanika kila kitu hadharani.
 
Mkuu kazi ya Tume na Nape ilikuwa ni kuchunguza kama kweli Mhe. Makonda alivamia Ofisi za Clouds, hayo ya kwa nini alivamia haikuwa kazi yao. Wao lengo lao ni kubaini kama kweli aliingia kwenye hilo jengo kwa nguvu.
Vipi kuhusu kile kipindi alichoondoka nacho kwenye flashi? Ilikuwa haki kupora kipindi cha watu na kuondoka nacho huku akijinasibu kwamba ni "kipindi chake"?
 
Hujachambua ripoti vizuri mkuu!! Makonda hakuhojiwa na tume alitoroka mlango wa nyuma kwa hiyo hakupatikana kujib tuhuma zinazomkabili
 
Mada yako siyo sahihi. kamati iliundwa kuchunguza tukio la kuchunguza uvamizi wa kitua cha habari cha clauds siyo contents za kipindi kilichotakiwa kurushwa. wala siyo kazi ya waziri ama kamati kuifanya. Ripoti ingeongelea issues za rushwa ili vijana wa clouds warecord kipindi na kukirusha ingekuwa imetoka nje ya mandate.
Kwanini repoti haiku kava kila nyanja?
 
Salamu wakuu!

Niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. Kwa mtazamo wangu mubashara nimeunganisha nukata na kugundua kwamba ripoti ya Nape kuhusu uvamizi wa Makonda Clouds Media haijakamilika kwa 100%. Kuna mambo kadha wa kadha yanayoweza kutiliwa shaka juu ya usahihi wa ripoti hii. Nimejaribu kuunganisha nukta na kugundua kwamba kikosikazi kilichotumwa kuchunguza hili tukio ama waliacha kufukua mambo kwa ufasaha zaidi au wahojiwaji waliamua kuficha baadhi ya mambo kwa sababu wanazozijua au kwa maslahi yao binafsi. Nimeunganisha nukta kama ifuatavyo:

NUKTA YA KWANZA
Ukifuatilia mahojiano ya Ruge na watangazaji wa Clouds alipokuwa anakiri studio zao kuvamiwa na Paul Makonda (sio jina halisi) kwa kutumia mitutu ya bunduki, alidai kwamba siku chache kabala ya tukio la uvamizi Makonda alikutwa yupo chemba na vijana wanaorekodi kipindi cha SHILAWADU. Hii inaashiria kwamba there was something FISHY going on. Inaonesha Makonda alikuwa “akiwashawishi” vijana waandae na kurusha “kipindi chake”. Sasa tujiulize: huo USHWISHI ulikuwa ni wa namna gani? Mazingira yanaonyesha alikuwa anapenyeza rupia kuwalainisha vijana wafanye kazi aliyowatuma. Hapa TAKUKURU ilipaswa waingilie kati ili kuleta balance.

Kwa bahati mbaya, katika ripoti ya Nape hakuna mahali ambapo TAKUKURU wameombwa kufanya uchunguzi juu ya tukio hili. Kuna nini hapa? Inawezekana vijana waliohojiwa na kamati ya Nape walichelea kusema ukweli kwamba Makonda “aliwashawishi” kwa namna fulani kufanya kazi hii, ili kukwepa mkono wa TAKUKURU kuwaandama wao pamoja na Makonda. Hii sintofahamu inapaswa ifanyiwe kazi na TAKUKURU kwa maslahi ya umma hata kama hawajaelekezwa kufanya hivyo na kamati ya uchunguzi.

NUKTA YA PILI
Kwa mujibu wa Ruge, makonda alipovamia ofisi yao alikuwa akishinikiza “kipindi chake” kiruke hewani na alikuwa na hasira kubwa dhidi ya vijana wa SHILAWADU. Tujiulize: hasira zile za Makonda zilisababishwa na nini? Bila shaka ni baada ya kuwa ameingia gharama kubwa kuandaa kipindi halafu vijana wakavunja makubaliano yao wakati wakiwa tayari wamechukua “ushawishi” mkubwa. Ndio maana baada ya kipindi chake kugonga mwamba akakichota kwenye flashi na kuondoka nacho. Katika mazingira ya kawaida, mtu huwezi kushinikiza upewe kipindi ambacho hujashiriki wala kuingia gharama za kukiandaa. Haiwezekani katu! Ni wazi kwamba Makonda aliingia gharama kadha wa kadha katika mchakato mzima wa kuandaa hiki kipindi hadi kufikia hatua ya kujiaminisha kwamba kilikuwa ni “kipindi chake”.

NUKTA YA TATU
Yule mwanamke chizi aliyelipwa kuigiza kuzaa na Gwajima alitafutwa na nani na alilipwa na nani kufanya igizo lile? Ripoti ya kamati haijataja mahali popote jinsi yule mwanamke alivyopatikana na jinsi alivyolipwa. Ukiangalia vizuri, utagundua kwamba Makonda anahusika kwa kiasi kikubwa katika jitihada za kumpata na kumfix yule mwanamke ili amsaidie kutengeneza kipindi chake. Katika hili, TAKUKURU pia wanapaswa kuingilia kati kuwahoji Makonda na mwanamke wake juu ya tuhuma za hongo (rushwa). Na kwa mujibu wa sheria ya TAKUKURU, mtoa rushwa na mpokea rushwa, wote wana makosa ya kujibu. Hata kama Makonda alikwepa kuhojiwa na kamati, katika hali ya kawaida hili kamati ilipaswa kuligundua hili na kulisemea kwenye ripoti yao.

HITIMISHO
Nionavyo mimi, ripoti ya Nape imekamilika kwa 80%. Asilimia 20% zilizobaki zitajibiwa na ripoti ya pili itakayoandaliwa baada ya uchunguzi wa kina utakaofanywa na TAKUKURU. Nashauri chombo hiki kiingilie kati sakata hili ili kuleta balance.

Nawasilisha.
Hiyo ripoti niliisikiliza hata mimi ambaya sikuwa kwenye tukio ningeiandika as yote yaliyokuwa yanasemwa kwenye social media ndio yamo ndani ya ripoti. Shame!
 
Vipi kuhusu kile kipindi alichoondoka nacho kwenye flashi? Ilikuwa haki kupora kipindi cha watu na kuondoka nacho huku akijinasibu kwamba ni "kipindi chake"?
Haikuwa halali, lakini hiyo haikuwa kazi ya Tume kuangalia kama aliiba kitu. Hadidu za Rejea (ToR) zilikuwa ni kuthibitisha kama aliingia kwa nguvu/kuvamia jengo hayo meingine ni ziada. Unajua kituo cha TV sio eneo la kuruhusu watu kuingia ovyo, ni eneo ambalo hata Waasi hulitumia kutoa matangazo na propaganda kuwa nchi imetekwa, kawa hiyo sio eneo la kuingia bila utaratibu.
 
Salamu wakuu!

Niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. Kwa mtazamo wangu mubashara nimeunganisha nukata na kugundua kwamba ripoti ya Nape kuhusu uvamizi wa Makonda Clouds Media haijakamilika kwa 100%. Kuna mambo kadha wa kadha yanayoweza kutiliwa shaka juu ya usahihi wa ripoti hii. Nimejaribu kuunganisha nukta na kugundua kwamba kikosikazi kilichotumwa kuchunguza hili tukio ama waliacha kufukua mambo kwa ufasaha zaidi au wahojiwaji waliamua kuficha baadhi ya mambo kwa sababu wanazozijua au kwa maslahi yao binafsi. Nimeunganisha nukta kama ifuatavyo:

NUKTA YA KWANZA
Ukifuatilia mahojiano ya Ruge na watangazaji wa Clouds alipokuwa anakiri studio zao kuvamiwa na Paul Makonda (sio jina halisi) kwa kutumia mitutu ya bunduki, alidai kwamba siku chache kabala ya tukio la uvamizi Makonda alikutwa yupo chemba na vijana wanaorekodi kipindi cha SHILAWADU. Hii inaashiria kwamba there was something FISHY going on. Inaonesha Makonda alikuwa “akiwashawishi” vijana waandae na kurusha “kipindi chake”. Sasa tujiulize: huo USHWISHI ulikuwa ni wa namna gani? Mazingira yanaonyesha alikuwa anapenyeza rupia kuwalainisha vijana wafanye kazi aliyowatuma. Hapa TAKUKURU ilipaswa waingilie kati ili kuleta balance.

Kwa bahati mbaya, katika ripoti ya Nape hakuna mahali ambapo TAKUKURU wameombwa kufanya uchunguzi juu ya tukio hili. Kuna nini hapa? Inawezekana vijana waliohojiwa na kamati ya Nape walichelea kusema ukweli kwamba Makonda “aliwashawishi” kwa namna fulani kufanya kazi hii, ili kukwepa mkono wa TAKUKURU kuwaandama wao pamoja na Makonda. Hii sintofahamu inapaswa ifanyiwe kazi na TAKUKURU kwa maslahi ya umma hata kama hawajaelekezwa kufanya hivyo na kamati ya uchunguzi.

NUKTA YA PILI
Kwa mujibu wa Ruge, makonda alipovamia ofisi yao alikuwa akishinikiza “kipindi chake” kiruke hewani na alikuwa na hasira kubwa dhidi ya vijana wa SHILAWADU. Tujiulize: hasira zile za Makonda zilisababishwa na nini? Bila shaka ni baada ya kuwa ameingia gharama kubwa kuandaa kipindi halafu vijana wakavunja makubaliano yao wakati wakiwa tayari wamechukua “ushawishi” mkubwa. Ndio maana baada ya kipindi chake kugonga mwamba akakichota kwenye flashi na kuondoka nacho. Katika mazingira ya kawaida, mtu huwezi kushinikiza upewe kipindi ambacho hujashiriki wala kuingia gharama za kukiandaa. Haiwezekani katu! Ni wazi kwamba Makonda aliingia gharama kadha wa kadha katika mchakato mzima wa kuandaa hiki kipindi hadi kufikia hatua ya kujiaminisha kwamba kilikuwa ni “kipindi chake”.

NUKTA YA TATU
Yule mwanamke chizi aliyelipwa kuigiza kuzaa na Gwajima alitafutwa na nani na alilipwa na nani kufanya igizo lile? Ripoti ya kamati haijataja mahali popote jinsi yule mwanamke alivyopatikana na jinsi alivyolipwa. Ukiangalia vizuri, utagundua kwamba Makonda anahusika kwa kiasi kikubwa katika jitihada za kumpata na kumfix yule mwanamke ili amsaidie kutengeneza kipindi chake. Katika hili, TAKUKURU pia wanapaswa kuingilia kati kuwahoji Makonda na mwanamke wake juu ya tuhuma za hongo (rushwa). Na kwa mujibu wa sheria ya TAKUKURU, mtoa rushwa na mpokea rushwa, wote wana makosa ya kujibu. Hata kama Makonda alikwepa kuhojiwa na kamati, katika hali ya kawaida hili kamati ilipaswa kuligundua hili na kulisemea kwenye ripoti yao.

HITIMISHO
Nionavyo mimi, ripoti ya Nape imekamilika kwa 80%. Asilimia 20% zilizobaki zitajibiwa na ripoti ya pili itakayoandaliwa baada ya uchunguzi wa kina utakaofanywa na TAKUKURU. Nashauri chombo hiki kiingilie kati sakata hili ili kuleta balance.

Nawasilisha.
Baada ya Nape kurejeshwa kwenye kiti cha enzi na Rais Samia naomba aanzishe huu mchakato upya ili Makonda avune alichopanda. Inauma kumuona Paul Makonda akila bata mtaani bila kuchukuliwa hatua zozote za kisheria kwa uvamizi huu wa kihuni. Ole Sabaya amekula mvua 30 Makonda ni nani yeye asile hata mvua 10 tu?
 
Haya yalishapita kumbuka '......ya kale hayanuki'.
 
Back
Top Bottom