Tunasifia mafanikio ya ujenzi wa miundombinu mikubwa ila upande wa pili unajua kabisa100% umeharibu na huenda itatuchukua miaka mingi kusimama tena.
Naipenda serikali yangu ila kwenye uchumi ndugu zangu figure hazitubebi na kama tungeweka data wazi, walahi huenda mkuu asingekaa kwenye kiti.
Sector ya ndege nina uhakika baada ya huyu, ajaye atazipiga mnada. Niaminini mimi; na hii ndio tafasiri ya "je, nikiondoka mimi wataweza?" Akimanisha kuna siri anaijua moyoni.
Mradi wa umeme huenda tukautafutia wafadhili, yani tuta-hire some of area kupinguza cost nje ya hapo Kwa umeme tuliosambaza kwa ilani za kisiasa bila kuangalia tathimini, walahi nawaambia Tanesco itakosa pesa ya kujiendesha ikizingatiwa tangu mwanzo ilishindwa kujiendesha kwa faida.
Tetesi zinasema Wakati tunapigiwa Debe ya umeme kutokatika ila tusijuwe nini kipo nyuma ya haya yote ndipo mtasikia kuna mgodi wa umeme umezimwa kwa matengenezo makubwa yatakayoigharimu serikali billion of Dollars. Haya yatatokea kwenye utawala huu mwishoni au mwanzo mwa utawala mpya, yaani 2025.
Zaeni mkaongezeke mkaijaze nchi. What next? Wekeni akiba, ada itarudi ni siku chungu na za huzuni, weka akiba ya haya maneno. Hivi sasa hospi na watu havilingani. Dr vs Wahudumiwa havilingani Jiulize why. Ila zaeni, serikali ipo.
Kwanini kuna Tetesi eti miradi ya awamu ya 5 ni white elephant? Umewahi jiuliza why? Basi mimi sijui, embu tuombe uzima wachumi watatujuza, ila weka akiba.
Ajira kwa Jakaya tuliambiwa ni Boom linatesa nchi ila amini hii ajira kwa mwendo huu itatikisa taifa. Sijuwi kama unajua wahitimu ni wengi kuliko nafasi, na ilidhaniwa wakipunguza vyeti fake basi wangeajiri, wapi! Wewe, hesabu hazidanganyi.
Pray for Tz