Kassim Majaliwa ni mzizi mrefu chini ya ardhi

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,611
2,000
Hotuba ya mkuu wa taifa na yale tunayaona wenye akili tunajuwa Majaliwa ni mzizi mrefu sana chini ya Ardhi.

Huenda muda utajibu haya niyasemayo, ila fuatilia uteuzi wa Pinda na kabla ya uteuzi wake.

Kwa wale wazee wakusoma msg zinazojifuta mtakumbuka kabla ya uteuzi wa Lowassa Jina la Pinda lilikuwa katika list ya watu wakuwa waziri mkuu na hata baada ya Lowassa Jina lake likarudi na akawa Waziri mkuu Hadi mwisho.

Inaonekana Mh. Majaliwa ni Pinda wa sasa na huenda si rahisi kama vile tunavyofikiri. Hizi ni salama Kwa wale naona mnadhani Majaliwa hatoshi au mnafikiri itakuwa Rahisi kumng'oa pasipo sababu za msingi.

Nimalizie kwa kusema huu ni mzizi mrefu chini ya Ardhi na huenda kutaka kuung'oa mtachimba shimo refu sana linalowezafukia wengi.

Tuzidi pongeza Rais na Bunge kwa kuturudishia Majaliwa.

Asante
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom