Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni wakati wa sakata la kumpata Meya wa Jiji la Dar es Salaam
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Prof Lipumba amesema kukopa kopa siyo jambo jema lakini hatuna namna kwa sababu fedha zote za ndani zinazokusanywa na serikali zinaishia kulipa mishahara ya watumishi wa umma, wabunge na kulipa...
1 Reactions
0 Replies
677 Views
Aliye na macho haambiwi tazama,zile zama za pesa kununua nafasi ccm zimerudi Kijana kama ulikuwa na ndoto kuwa mbunge au Diwani kupitia ccm na huna pesa sahau,kafanye shughuli zingine au tafuta...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Msifikiri kuwa Waitara Mwita (Naibu Waziri TAMISEMI) kaanza leo kuropoka ropoka (off-course pengine hajaropoka kaongea ukweli), ameanza siku nyingi na ndiyo tabia yake hiyo. Huyu jamaa miaka ya...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna kipindi Magufuli aliwahi kuwaonya hawa mabwana kuwa waachane na mbio za uraisi kwa vile umri umeenda .. Ila inaonekana hawakumuelewa na wakaendeleza mikakati chini kwa chini..sasa Samia...
1 Reactions
0 Replies
414 Views
Je wavijua vigezo vya kuwa waziri bongoland. Twende pamoja sasa; 1.)Uwe mtoto wa kigogo mwenye jina serikalini hata kama sio baba yako basi ukoo. 2.)Uwe mtoto wa kigogo mwenye jina serikalini...
11 Reactions
31 Replies
3K Views
Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima Leo umetangaza bei ya kuunganishiwa umeme...
9 Reactions
54 Replies
4K Views
Jinga Kubwa mbona hatumuelewi !!! Mambo haya sasa yamekuwa dhahiri, mi nashangaa !!!!! Nini kinafuatia hii drama ?
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Zitto Kabwe aliwahi kutuonya tusiwaamini Wanasiasa hata siku moja. Nakumbuka Nape Nnauye alikuwa kipenzi cha hayati Magufuli hata kwenye ile bendi ya chama ilikuwa ukimuona Magufuli anapiga tumba...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii kama sijakosea jina ni "sparmsonow" kama jina nimelipatia hii dawa ilingiia mkoani kagera kwa ajili ya kuuliza magugu Yale yaliyojukukana kwa jina olwumbugu. Sawa hii ilikuwa unapulizia na...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Ninawakumbusha tu kwamba Zanzibar ni nchi kamili na ilijikomboa baada ya kumfurusha Sultani. Wale mnaoleta utani kwamba Zanzibar ni mkoa hamuijui historia. Mkoa ni Kilimanjaro na Kigoma ambayo...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Ilikuwa ni familia yenye amani , upendo na furaha. Lakini watoto wote hawakuwa sawa, baba aliwajua watoto wake vyema . Kabla hajafariki baba wa familia aliwaasa wana familia yake ya kuwa mtoto...
0 Reactions
1 Replies
858 Views
Mambo yasiwe mengi. Massele ana uzoefu na uongozi wa bunge kupitia bunge la Afrika. Kijana aliyekuwa tegemeo la mikakati katika awamu ya Nne Stephen Maselle sasa anapiga jaramba tayari kuungana...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Joyce Ndalichako anapenda kuongea Kiingereza lakini Kiingereza hakimpendi. Hebu aliyemuelewa hapa atuambie alikuwa anataka kusema nini? Hii ni mara ya 2 ndani ya siku 60 kwa Waziri kuongea...
27 Reactions
369 Replies
33K Views
Enzi za mababu zetu , MACHIFU, waliumiza sana watu, waliwapiga MNADA kama vile mbuzi ama nguruwe, na wao kujimilikiaha utajiri mkubwa bila kujali wala kuwa na huruma hata kidogo. Utawala...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Kwa maneno mengine Nape Moses Nauye anataka aliyekuwa waziri wa fedha na ambaye kwa sasa ni makamu wa rais Dk Philip Mpango achunguzwe! Basi kama ni hivyo uchunguzi ufanyike haraka na afikishwe...
9 Reactions
61 Replies
5K Views
Naona Majina yao hajaanza na Dr. Je ni kwamba kuna utata wowote na hizo PhDs?au bado vyeti vyao havijawasilishwa au ni makosa ya kiuandishi tuu. wajuzi wa itifaki mtusaidie hili
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimemsikia Katibu Mkuu Kiongozi akisema Rais pia kateua Makatibu Wakuu lakini hadi sasa sijaona Mkeka wa hao . Mwenye nao auweke hapa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Napenda kutanguliza shukrani zangu kwa mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumteua Ridhwani Kikwete kuwa naibu wa Wazara ya Nyumba na Makazi. Mh.Rais umeonesha uzalendo wa hali ya...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mabadiliko ya kile kinachodaiwa kuwa baraza la mawaziri ni kichekesho naona ni harakati za kuufufua mradi wa kifisadi wa bandari ya Bagamoyo.. Linatafutwa bunge tiifu litalopitisha na kuhalalisha...
5 Reactions
10 Replies
739 Views
Back
Top Bottom