Taarifa zilipo leo kupitia watu wambea ambao hawalipwi lakini hawakubali wapitwe wamedokeza kuwa upande wote wa kaskazi ya nchi na pwani na baadhi ya maeneo mengine hapa nchi leo ofisi za Chama...
hii wizara inaitaji MTU mzoefu na mfuatiliaji kwelikweli..kumpa ndugu Bashungwa ni kama kumtega kwa Bomu dizaini ya lile la Hiroshima na Nagasaki...
MTU aliyekuwa wizara ya burudani umuweke...
Kama tunahitaji Maspika goigoi wa kuburuza wako wengi sana. Lakini kama tunahitaji Spika imara wa kuisimamia serikali kwa kumsaidia Rais kukamilisha kazi basi hawa walazimishwe kuchukuwa fomu kwa...
Haya maneno mnayatoa wapi? Kuwa baraza limepangwa na Kikwete na ameona amweke na mwanaye ndani? Acheni hizo...
Rais samia naye ana weza chagua awatakao mwacheni jamani.
Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu , hili ni bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , iliyotokana na Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar , Nchi mbili halali zenye haki sawa , wabunge wa bunge...
Mwigulu Nchemba(Kushoto) akizungumza na Nape Nnauye katika ukumbi wa NEC kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma 10/15/2014(Maktaba)
Mh. Nape Moses Nnauye...
Tuna nchi ambayo viongozi hawawajibiki kwa wananchi wala hata kwa kauli zao.
Tafsiri halisi ya kuwa uongozi kwao ni fursa wala si dhamana.
Kama fursa viongozi hawa wamejihakikishia marupurupu ya...
Aisee kama ni kipele kimempata mkunaji, Bachungwa najua kwa uweza wa Mwenyezi Mungu utaimudu, uko serious sana mzee hasa pale unapokabidhiwa jukumu na mkuu wako, ni mtu unayeongozeka mzee baba...
Ukweli ni kwamba, Ndugai amekua mbabe kwa muda mrefu sana kwa wabunge kule mjengoni lakini alikua mtiifu namba moja wa Rais John Magufuli (R.I.P).
pamoja na mapungufu yote ya serikali ya JPM...
Wasalaam
Ni wazi kila Mtanzania anajua kabisa hali iliyokuwa nayo shirika la nyumba la Taifa kabla ya ujio wa awamu ya tano ya Hayati John Magufuli... ni wazi kila mmoja wetu atakubaliana nami...
Napenda kutanguliza shukrani zangu kwa mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumteua Ridhwani Kikwete kuwa naibu wa Wazara ya Nyumba na Makazi.
Mh.Rais umeonesha uzalendo wa hali ya...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan naomba nikukumbushe tu kwamba kama si kwa mujibu na matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliyoapa kuihifadhi, kuilinda na kuitetea, kuna mashaka...
Waziri machachari wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda mara baada ya kukemewa na Rais Samia Suluhu kwa kitendo chake cha kukataa kutoa kibali cha kuagiza sukari nje ya nchi kuwa ni nonsense haonekani...
Hotuba yake hii ya kanisani aliingiza siasa ambazo ziliibua mjadala wa ubaguzi kwa kusema "ikiwa Zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya Kiislam".
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Kongamano la tatu...
Waungwana habari zenu.
Hapo mwishoni mwa mwaka 2021 na mwanzo wa 2022 nchi yetu imepita kwenye sekeseke la mvurugano wa mihimili mikuu miwili ya nchi yetu ambapo Bunge kwa kupitia Spika...
Kauli ya Nape kwamba CCM ina wenyewe ni kweli kabisa.. CCM ni special kwa Kizazi fulani hivi cha Babu mpaka Mjukuu na kitukuu..
Outsider ni wasindikizaji tu.. Ukiona umepewa cheo fulani na wewe...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Chancellor) kwa kipindi kingine cha miaka sita.
Uteuzi huo utaanza Januari 17, 2022...
Nchi hii kuna viongozi wa ajabu ajabu sana, hivi waziri anapata wapi mamlaka ya kuzuia uhamisho wa mtumishi wa umma ambaye mkataba wake unamruhusu kuhamia eneo lolote kisheria?
Utakuta mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.