Haiwezekani wale viongozi ambao sisi wananchi tunaona ndio wachapakazi waondolewe kinyemela tu au kwa sbb za kimichongo afu wanateuliwa wanafamilia.
Hii nchi siyo mali ya rais au familia fulani...
Umofia kwenu.
Nimesoma makala moja imenisikitisha kidogo Kuhusu ukwepaji kodi unafanyika kwenye biashara za minada huku TRA ikiambulia hasara.
Haiingii akilini mfanyabiashara akadhamilia...
Abuu Kauthar
Siku hizi kila jambo linalotokea ni hoja ya kudai katiba mpya. Ni hivyo hivyo imekuwa katika kashfa ya Job Ndugai ya kuipinga serikali na chama chake hadharani, jambo lililopelekea...
Mwaka 2021 unamalizika kwa kada ya utumishi wa umma kuwa na tabasamu bora la "Muongo". Hii ni kutokana na kero zilizofanyiwa kazi na Rais Samia tangu alipoingia madarakani mapema mwezi March...
Kuna kitu hakipo sawa baina ya Rais na Waziri wake Mkuu.
Kupitia hotuba yake ya tarehe 04January 2022 alionekana kutumia diplomasia kuelezea kutoridhishwa kwake na kinachoendelea Bungeni...
Wakuu wa ukumbi huu hemu tujielekeze hapa pia., Mkuu alitwambia wale wenye Stress za 2025 atawapa nafasi zaidi akimaanisha atawaweka pembeni ili wakajiandae zaidi., nataka kufahamu hakuna Mawaziri...
Ni kesho tarehe 10/01/2022 , Kama kawaida ni vema tukahudhuria kwa wingi ili kumtakia Mwamba heri ya Mwaka mpya
Muhimu : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .
"...Huyo jamaa wewe wala usihangaike naye nenda naye hadi 2025 kwa tahadhari kubwa!
Ukimtoa pale kwa panga hili italeta maneno mengi sana mtaani kwa sababu ana wengi waaminio ni mchapakazi...
Hadi dakika za mwisho za kujiuzulu kwa Ndugai wana CCM wengi hawakujua wawe upande upi wa Spika au wa Rais. Ndio maana hadi sasa wabunge wengi wa CCM bado wapo kimya. Kwa upande wa upinzani hasa...
Kutokana na uzalendo, uadilifu, unyenyekevu, ucha Mungu na mapenzi yake kwa Watanzania basi mtoto huyu wa Rais anafaa kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano.
Rais Samia naomba mkumbuke hata kwa kumpa...
CHADEMA mnashangaza sana mnaposhindwa kabisa kuitumia kila golden opportunity inayojitokeza kumdhoofisha adui yenu mkuu!
Mmeshaiokoa CCM kwa juhudi zenu wenyewe mara kadhaa sasa. Latest ni hili...
HAYA NDIYO MASLAHI YA NCHI NA HAKI ZA WANANCHI ALIZOSIMAMIA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI
Leo 15:15hrs 06/12/2021
Rais John Magufuli katika Awamu ya tano,kwa kutekeleza usimamizi wa maslahi ya nchi...
Ni kweli Katiba inatamka kwamba Spika atajiuzulu mbele ya Bunge, na nikweli kabisa kwamba Spika alipaswa kujiuzulu mbele ya Bunge. Lakini ukweli uliowazi kwamba yeye kiu ya kuongoza Bunge imeisha...
Huu ni wito maalumu kwa kijana mwenzangu Nape.
Namshauri atulie sana na kutafakari katika safari yake ya kisiasa.
Nape ameshapitia maswahiba mengi hapo kabla ndani ya CCM na baadaye aliweza...
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo Ikulu Dar es Salaam wakati akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19
Amesema "Nataka...
Watendaji wengi ambao hayati Magufuli alikuwa akiamka ama usiku wa manane akiwafurumusha hatimaye wengi wanarejeshwa kwa kasi tena wakipanda vyeo maradufu. Kwa uchache
1. Lawrence Mafuru...
MHE UMMY MWALIMU AKAGUA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI ILIYOPO SARUJI, KATA YA MAWENI
Awapongeza Mkuu wa Wilaya na Viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga kwa kazi nzuri
Viongozi waomba iwe...
Jamani kuna hii wizara mpya aliyopewa Dorothy Gwajima, inaitwa wizara ya wanawake, jinsia na MAKUNDI MAALU MU.
Je, hayo makundi maalumu yanayowekwa pamoja na wanawake na jinsia ni yapi hayo...
Kitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM.
Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi...
PROF. MKUMBO, MWAMBE, POKEENI LAWAMA HIZI KISHA MJIPIME
Na Bollen Ngetti
SIJUI kama kuna ukweli katika usemi huu. Kwamba "kenge hasikii hadi umtoe damu au aone kwa macho". Eti hata kama anaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.