Awaye yote atake au asitake Mola anayo namna yake ya kusema na waja wake:
Ikumbukwe kuwa imeandikwa, (Mathayo 7:15-16) "manabii wa uongo mtawajua kwa matunda yao."
Izingatiwe kuwa utabiri wa...
Naanza kujiuliza ilikuwaje Hotuba za Nyerere na Magufuli zinasikiluzwa sana? Sijawahi ona mtu anachukua hotuba ya Mwinyi nakuisemea jambo? Hotuba za Mkapa nazo sioni wakiangaikanazo pia za JK...
Katika Kipindi cha mahojiano cha clouds fm, nimesikiliza kwa makini jinsi Mr Mafuru akijieleza nimemukubali kama mwanauchumi mzuri na kiongozi asiyekuwa na kinyongo.
Ni wakati wa mwafaka kwa...
Kwa sisi tuliokuwa karibu na mzee kwenye siku zake za mwisho ,kati ya watu alioongea nao kwa muda mrefu ukiwatoa viongozi wa dini na familia yake ni CDF Mabeyo, nadhani alikuwa mtu wa karibu sana...
Mafuru ni yule aliyetumbuliwa na JPM akiwa mweka hazina wa taifa kwa sababu ya kusema ukweli clouds 360 juu ya noti kupotea!
-Alisema noti imepotea kwa maamuzi ya serikali kubana matumizi...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amewaagiza waajiri wote nchini kuchukua hatua kuwaondoa katika nafasi zao baadhi ya maofisa utumishi...
Ijumaa khareem,
Kwaunyenyekevu mkubwa naomba kuwarejesha awamu ya nne Pale tulipoambiwa kuwa Mtoto wa Rais wa Tanzania wakati huo Mhe Jakaya Mrisho Kikwete, Ridhiwani Kikwete amekamatwa huko...
Hili ni bandiko la kumkumbusha tu Nape Nnauye kuwa si kweli kwamba CCM ina wenyewe kama alivyosema kwenye bandiko lake la jana huko twita akimjibu kiroboto.
Bwana Nape akiwa kiongozi wa juu...
Ndugu zangu,
Huu ni wito kwa "mwanaharakati" na "mtetezi wa haki za binadamu" kupaza sauti na kumuomba radhi Prof. Abdirazak Gurnar na wengine ambao waligeuka wakimbizi kutokana na siasa za Mzee...
Aliposema anaenda kugombea jimbo la Tarime vijijini wanachama na wafuasi wa Chadema walimbeza, wengi walisema ni mlevi na anakwenda kupoteza ubunge.
Lakini hii yote ilikuwa ni sababu Mwita...
TUMEPOTEZA JABARI NA MWAMBA WA UCHUMI KATIKA SIASA ZA AFRIKA
NA ELIUS NDABILA
0768239284
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli amemaliza kazi yake aliyoandaliwa kufanya hapa duniani. Kifo si...
Wakuu habari
Nipo hapa natafakari huu muungano wetu ambao binafsi nauona umekosa usawa kabisa
Kuna hili suala la urais na umiliki wa mali katika Muungano huu.
N rahis kwa mzanzibar kumiliki...
Kwenye tukio la leo amenza mkuu wa mkoa kumshambulia Lissu kuhusu alilosema la Rais kukaa miezi 9 na kukopa trillion 10.
Akaenda mbali na kusema kwanza hana mbunge hata mmoja Bungeni.
Lakini kwa...
Wakati wa Medard Kalemani iliwezekana watu kuingiziwa Umeme kwa sh.27,000/- lakini kwa January Makamba haiwezekani.
Wakati wa Medard Kalemani iliwezekana maji kujazwa kwenye Bwawa la Mwl Nyerere...
Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Sada Mkuya amesema wamepokea dola milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha...
Katiba yetu inasema wazi kuwa Rais atakoma kuwa Rais mara anapofariki. Dakika ile anapofariki tu, Urais wake umeishia pale. Hafi, akiwa umeubakiza Urais nyuma kiasi cha kuweza kukasimisha kwa mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.