Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya kuungua kwa Soko la kariakooo yalisemwa mambo mengi ikiwemo hujuma au kuunguzwa kwa makusudi kwa soko husika. Lakini Waziri Mkuu aliunda Tume ya Uchunguzi na akawapa maagizo ya kumletea...
5 Reactions
53 Replies
47K Views
ACT ndicho chama chenye viongozi wenye akili na uwezo wa kuchanganua mambo kama wanasiasa na wasomi. Mambo haya ndiyo yalifanya manguli kama Maalim Seif (RIP) wakajiunga huko maana walikielewa...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Wizara ambayo ukiiangalia chini ya utendaji madhubuti wa mchengerwa , kero mbalimbali zilikuwa zinapatiwa ufumbuzi bila kuonea wala kukandamiza upande mmoja. Alishaanza kutengeneza mifumo ambayo...
7 Reactions
282 Replies
22K Views
Waziri wa Teknolojia na Habari Nape Nnauye amempongeza Waziri wa zamani wa mawasiliano na teknolojia, mzee Mark Mwandosya kwa kazi nzuri ya kuandika kitabu chenye faida kwa taifa. Mh Nape ametoa...
4 Reactions
36 Replies
6K Views
Aidha ripoti ya maendeleo ya binadamu ya mwaka 2013 iliyozinduliwa na Umoja wa Mataifa, ilibainisha zaidi ya nchi 40 zinazoendelea zilifanya vizuri zaidi ya matarajio katika maendeleo ya binadamu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwaka 2020, JPM alisema , wapinzani wanamkwamisha, hataki kachumbali so anataka Tanzania ya kijani. Na kweli now kila mtaani, kitongoji, Bungeni ni kijani kitupu, je Maendeleo sahivi yakoje kwako...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Huyu hajui kuongea hawezi hata kusema hapa panauma. Huyu bàdo anakunywa maziwa ya Mama tu kulingana na sera ya melezi na lishe ya kitaifa ya wizara ya afya . Huyu anahitaji uangalizi wa wazazi...
14 Reactions
58 Replies
6K Views
Habari zenu jamani?! Naomba nianze kwa kusema ukweli kwamba mimi sikuwepo kipindi cha utawala wa Mwl na hata alipofariki nilikua mdogo sana hivyo sikuwahi kujua kwanini watu wengi walikua...
10 Reactions
348 Replies
33K Views
Kama nchi Hadi kufikia mwaka huu 2022 Waziri anaweza kumzui Naibu Waziri kufanya kazi au Katibu Mkuu kuficha Fedha Waziri asilipwe na ikawa agenda basi tuna safari ndefu. Waziri unapitisha Fedha...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Yalikuwa maneno ya Hayati John Pombe Magufuli akiwa hai na sasa Ikulu ya Dodoma imeanza kunawiri. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
18 Replies
1K Views
TANZANIA imeibuka kinara katika tuzo ya utalii kwa kuonekana ni eneo bora zaidi la utalii duniani kwa mwaka 2018, ‘The Best Destination to the World in the Category of Exotic Destination 2018’...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
SHAKA HAMDU SHAKA ATETA NA NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU. Leo Ijumaa 23 Julai 2021 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Taasisi ya dini ya kiislamu ya Twarika Mkoa wa Arusha imeandaa semina kwa ajili ya kutoa elimu kwa wakazi wa jiji la Arusha juu ya kushiriki sensa ya makazi na watu inayotarajiwa kufanyika mapema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tangu kesi dhidi ya Mbowe, inayojulikana kama kesi ya mchongo au kesi kubambikia ianze, imedhihirika wazi pasipo shaka namna baadhi ya makampuni ya simu za mkononi yanavyoshirikiana na Polisi...
12 Reactions
40 Replies
3K Views
Katika majina yanayotajwa mpaka muda huu kwamba yamechukua fomu ya kuomba Uspika, limo jina la Naibu Spika Tulia Ackson, kwa maana hiyo ni kwamba huyu mama hautaki unaibu Spika, na ndio maana...
10 Reactions
82 Replies
10K Views
Ni muda muafaka kama Taifa tuwe na pesa yetu ya kidijitali yaani electronic currency yenye tabia na mifumo ya blockchain technology ambayo Itakuwa chini ya usimamizi wa Benk kuu ya Tanzania (...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Katibu msaidizi wa CCM komredi Solomoni amesema chama chake kimesitisha zoezi la kutoa fomu za kugombea nafasi ya Spika wa bunge la JMT baada ya muda wa mwisho kufika. Jumla ya wanaccm 71...
2 Reactions
4 Replies
984 Views
Ni suala ambalo watanzania bado linawaumiza kichwa maana kwa tozo tunazokamuliwa alafu tukaambiwa na Ummy Mwalimu kuwa tozo zinatumika kujenga madarasa, zahanati vituo vya afya na kununua vifaa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Tangu mjadala wa wapinzani wengine kudai tume huru ya uchaguzi na wengine katiba mpya kuingia katika taswira mpya baadhi yetu tumeingiwa na mashaka. Je, kwa nini wasimamie kitu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Bila shaka mnafanya vyema katika ujenzi wa taifa. Tuwe wazalendo, tupendane. Haya moja kwa moja kwenye mada. Kuhusiana na machinga. Hapo mwanzoni mwa utawala wa Samia sakata la...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom