Cathelin
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,071
- 3,998
Mwaka 2020, JPM alisema , wapinzani wanamkwamisha, hataki kachumbali so anataka Tanzania ya kijani.
Na kweli now kila mtaani, kitongoji, Bungeni ni kijani kitupu, je Maendeleo sahivi yakoje kwako uko ulipo we mwana jf.
Je 2025 tuendelee kuwa na kijani tu Tanzania nzima.
Zipi faida na hasara za kuwa na kijani tu, Bungeni
Welcome