Prof. Mkenda, mtoto wa mwaka mmoja anakwenda shule kutafuta nini?

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
Huyu hajui kuongea hawezi hata kusema hapa panauma.

Huyu bàdo anakunywa maziwa ya Mama tu kulingana na sera ya melezi na lishe ya kitaifa ya wizara ya afya .

Huyu anahitaji uangalizi wa wazazi na upendo pia

Nani ameruhusu HILI lenye kutia hofu jamii

Wizara mara mojamoja muwe na weledi na hofu ya Mungu pia

USSR

IMG-20220116-WA0024.jpg
 
Mkuu USSR day care center sio shule kamili. Ni kituo Cha kulelea watoto wa wazazi ambao wako busy kutafuta hela. Kama wazazi hawana muda wakulea mfano ni waajiriwa wanaacha watoto wao kwenye center Kisha wanaendelea na majukumu ya kutafuta shillings.

Utakumbuka mwajiriwa akijifungua anapewa likizo ya miezi 3 tu. Baada ya hapo ni ama amwachie mtoto housegirl ama ampeleke daycare center. Na Hilo limechangiwa pia na ma house girls kuwa na roho mbaya mpaka kuwadhuru watoto wanaoachiwa nyumbani.

Ni fursa kwako pia Kama una uwezo waweza kuanzisha daycare center, ili mradi iwe na mazingira rafiki kwa watoto wadogo na magodoro ya kuwalaza na Lishe poa ya watoto. Maana kulingana na mwenendo wa uchumi, inampasa hata Mama aliyejifungua aingie mzigoni.
 
Huyu hajui kuongea hawezi hata kusema hapa panauma.

Huyu bàdo anakunywa maziwa ya Mama tu kulingana na sera ya melezi na lishe ya kitaifa ya wizara ya afya .

Huyu anahitaji uangalizi wa wazazi na upendo pia

Nani ameruhusu HILI lenye kutia hofu jamii

Wizara mara mojamoja muwe na weledi na hofu ya Mungu pia

USSR

View attachment 2083151

Haya ni maoni yako au ni maoni ya Profesa?
Hivi kweli Prifesa ashindwe kutofautisha kati ya shule na kituo cha malezi ya watoto?
 
Huyu hajui kuongea hawezi hata kusema hapa panauma.

Huyu bàdo anakunywa maziwa ya Mama tu kulingana na sera ya melezi na lishe ya kitaifa ya wizara ya afya .

Huyu anahitaji uangalizi wa wazazi na upendo pia

Nani ameruhusu HILI lenye kutia hofu jamii

Wizara mara mojamoja muwe na weledi na hofu ya Mungu pia

USSR

View attachment 2083151

Wee wa kwako kaa naye akishafika miaka 10 au 15 mpeleke chekechea atakuwa ameshajitambua vzr,

Hao wanaopeleka mwaka 01 achana nao kabisa,ni wajinga hawajitambui kabisa, wanatesa tu watoto wao!!
 
Huyu hajui kuongea hawezi hata kusema hapa panauma.

Huyu bàdo anakunywa maziwa ya Mama tu kulingana na sera ya melezi na lishe ya kitaifa ya wizara ya afya .

Huyu anahitaji uangalizi wa wazazi na upendo pia

Nani ameruhusu HILI lenye kutia hofu jamii

Wizara mara mojamoja muwe na weledi na hofu ya Mungu pia

USSR

View attachment 2083151
Day care centres siyo shule,ata ivyo hizi centres hazifai kwa malezi
 
Huyu hajui kuongea hawezi hata kusema hapa panauma.

Huyu bàdo anakunywa maziwa ya Mama tu kulingana na sera ya melezi na lishe ya kitaifa ya wizara ya afya .

Huyu anahitaji uangalizi wa wazazi na upendo pia

Nani ameruhusu HILI lenye kutia hofu jamii

Wizara mara mojamoja muwe na weledi na hofu ya Mungu pia

USSR

View attachment 2083151
Mtu kama wewe kuandika haya ni sawa kabisa maana ufahamu wako umeishia hapa
 
Back
Top Bottom