Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hotuba ya mkuu wa taifa na yale tunayaona wenye akili tunajuwa Majaliwa ni mzizi mrefu sana chini ya Ardhi. Huenda muda utajibu haya niyasemayo, ila fuatilia uteuzi wa Pinda na kabla ya uteuzi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Historia inatukumbusha Kuwa mauwaji ya Wana harakati hayakuwahi zima mapinduzi ya kisiasa ktk jamii Ila yalichochea mapinduzi makubwa na umwagaji mkubwa wa dam na mwisho ushindi. Mauwaji ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa sheria zetu mbunge anachaguliwa na wananchi lakini lazima adhaminiwe na chama. Chama kikimuondolea udhamini mbunge, hata kama alichaguliwa na 100% ya wananchi wake, anapoteza haki ya...
2 Reactions
0 Replies
757 Views
Tunasifia mafanikio ya ujenzi wa miundombinu mikubwa ila upande wa pili unajua kabisa100% umeharibu na huenda itatuchukua miaka mingi kusimama tena. Naipenda serikali yangu ila kwenye uchumi...
11 Reactions
15 Replies
2K Views
Hisia nikitu hatari sana moyoni mwa kiongozi. Kiongozi akiwa na hisia Fulani au tawaliwa na hisia moyoni wakati wa maamuzi yake basi mara nyingi maamuzi hayo huwa na athari mbeleni. Hisia nikitu...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Pamoja kuwa wewe ndio Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya taifa letu. Huna budi kukumbuka miiko ya kiti chako, nakukumbuka kauli zako iwe ni kwa uzalendo au ni kwa upendo mkubwa kwa watanzania...
55 Reactions
125 Replies
12K Views
Shalom from Jerusalem, Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za...
20 Reactions
147 Replies
10K Views
Naomba nisipingane na asili ambayo inalandana hata mitazamo ya kiimani kwamba ALIYE NACHO HUONGEZEWA! Kuna uwezekano mkubwa mabepari walijifunzia huku. Matukio haya mawili ni ya ma rais wetu...
40 Reactions
136 Replies
11K Views
Salamu wakuu! Niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. Kwa mtazamo wangu mubashara nimeunganisha nukata na kugundua kwamba ripoti ya Nape kuhusu uvamizi wa Makonda Clouds Media haijakamilika...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Trend analysis hazidanganyi kugombea uspika tu watu wanakaribia 200 2025 natabiri wabunge waliopo wajiandae kutakuwa na wachukua fomu zaidi ya 100 kutaka kuteuliwa na CCM kuwa wagombea wa jimbo...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
List of shame ilivyowekwa wazi pale mwembe Yanga na watanzania kutambua kuwa taifa lao linaibiwa, wapinzani tulipata nguvu. Tukapata heshima ya kuwa wakombozi wa taifa hili dhidi ya mafisadi...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Wanajukwaa habari za siku...! Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha. Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu...
19 Reactions
107 Replies
6K Views
Amepost tweet hii dakika chache zilizopita, je huo ukimya ni nini? Tusubiri saa 1:00 usiku ==== Update, Joseph Mbilinyi (Sugu) avunja ukimya kwa kuongelea Covid-19 Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Tumesikia malalamiko memgi juu ya baraza jipya la mawaziri la Rais Samia. Kuna malalamiko ya kukosekana usawa wa jinsia, mawazir wanawake ni 36% na manaibu ni 20 tu Kuna malalamiko ya kanda...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mpaka dakika hii mwenzenu sielewi dhana ya form za kugombea nafasi ya uspika kutolewa kwenye ofisi ya CCM. Mimi dhana yangu ni kwamba ukishakuwa mbunge wa chama fulani nafasi yeyote ile ya...
8 Reactions
39 Replies
4K Views
Tulia Ackson unaamini Raisi wa nchi yetu hastahili kunyooshwa kidole, ona hii clip ya kilichotokea huko Uingereza kwenye Jumba la Waziri Mkuu uone jinsi dola ilivyojitenga na siasa na wanasiasa...
11 Reactions
35 Replies
3K Views
11 January 2022 EXCLUSIVE THE BIG AJENDA USIKU WA LEO NA ALIYEKUWA MGOMBEA WA JIMBO LA KAWE, FURAHA DOMINICK. Baada ya ukimya wa kipindi kirefu ajitokeza kwa mahojiano ya kina. Furaha...
6 Reactions
54 Replies
9K Views
GENTAMYCINE nawaomba tu hao 'Team Mikakati Awamu ya 6' wajitahidi kwa sasa kubadili Mbinu za Kuungua 'Kimkakati' kwa 'Masoko Makubwa' nchini kwani kwa sasa hata Mtoto Mdogo ameshajua kuwa nia ni...
14 Reactions
42 Replies
4K Views
Ilianza soko la K/Koo, likawaka moto na kuleta hasara kubwa kwa wafanyabuashara na Taifa kwa ujumla, pamoja na serikali kuingilia kati na kuundwa kwa kamati ya uchunguzi wa sakata hilo (Ingawa...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom