Waziri Nape Nnauye ampongeza waziri wa zamani Prof. Mark Mwandosya kwa kazi nzuri ya kuandika Kitabu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,761
Waziri wa Teknolojia na Habari Nape Nnauye amempongeza Waziri wa zamani wa mawasiliano na teknolojia, mzee Mark Mwandosya kwa kazi nzuri ya kuandika kitabu chenye faida kwa taifa.

Mh Nape ametoa pongezi hizo za shukrani kupitia page yake ya twitter!

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Ukifuga ndevu na vywele Nape utakuja kugundua nafanana Sana na Mark Mwandosya! Kwa hiyo akili mukichwa!
 
Kulikuwepo na tangazo la kumbu kumbu ya miaka 10 ya mzee Nauye tokea kufariki kwake na katika kumbumbukumbu hiyo yalitajwa majina ya watoto wote wa Mzee huyo, wajukuu na wakwe zake lakini jina la Nape halikuonekana.
Huo ubini wa mzee Nnauye ameutoa wap ss?
 
Back
Top Bottom