Baada ya Tulia Ackson kuchukua fomu ya kuomba Uspika, kwanini nafasi ya Naibu Spika nayo isitangazwe kuwa wazi?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,674
218,183
Katika majina yanayotajwa mpaka muda huu kwamba yamechukua fomu ya kuomba Uspika, limo jina la Naibu Spika Tulia Ackson, kwa maana hiyo ni kwamba huyu mama hautaki unaibu Spika, na ndio maana anauomba Uspika kamili, na bila shaka ameondoka kwenye ofisi ya Naibu Spika kwa lengo la kuepusha Conflict of Interest.

Natoa wito kwa Wahusika kutangaza pia Nafasi ya Naibu Spika Kuwa wazi.

Naomba kuwasilisha.
 
Navohisi hii ananafasi kubwa ya kushinda . Ukiona amejitoa kwa ujasiri mkubwa ujue tayari ameshaandaliwa kwa kupewa kiti cha uspika kwa kigezo cha uzoefu. Itunze hii tutakuja kuitumia baadae
Ngoja tuone , basi kama ni hivyo ni bora nafasi yake itangazwe kuwa wazi
 
Kuchukua form, kurudisha form, kuteukiwa na kuchagukiwa ni vitu vinne tofauti.

Mtu kachukua form tu unaanza kubweka, je atarudisha, je atateuliwa, je, atachaguliwa!?
 
Katika majina yanayotajwa mpaka muda huu kwamba yamechukua fomu ya kuomba Uspika, limo jina la Naibu Spika Tulia Ackson, kwa maana hiyo ni kwamba huyu mama hautaki unaibu Spika...
Naibu Spika anauchu wa madaraka ana 2025 fever akatwe asubiri 2025.
 
Navohisi hii ananafasi kubwa ya kushinda . Ukiona amejitoa kwa ujasiri mkubwa ujue tayari ameshaandaliwa kwa kupewa kiti cha uspika kwa kigezo cha uzoefu. Itunze hii tutakuja kuitumia baadae
Leo amepewa nafasi ya kuhutubia dunia kutokea Chamwino wataalamubwa Diplomasia tumeng'amua Jambo. Dr Nchimbi Naibu.
 
Back
Top Bottom