Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Koleo liitwe koleo na sio kijiko, kwa mfumo wa siasa na madaraka Tanzania hawa wanasiasa hawa, wakishakuwa wabunge, wengine ama kwa juhudi binafsi ama kwa kubebwa na mfumo au aliyepo madarakani...
2 Reactions
3 Replies
513 Views
Sifa kuwa Spika, Ni uwe na sifa za kugombea ubunge tu. Wenzetu wanawapima elderly senior statesmen ambao wana track record nzuri kiutawala na kisiasa. Hapa kwetu wagombea watauana, wengine...
2 Reactions
10 Replies
892 Views
Yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Nguzo pekee ya Watanzania iliyoshikilia amani ya Nchi , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar , ametimiza siku...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu Kuna Mabadiliko Ya Nafasi kule Ikulu Zanzibar. Charles Hilary ameteuliwa na Rais Mwinyi Kuwa DG mpya Wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar.. Kulikoni Wa Kwetu Huyu Van Mohammed Tena Kuliwa...
14 Reactions
310 Replies
43K Views
Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Chuo Kikuu Huria, leo tarehe 15 Januari 2022 Jijini Dar Es Salaam, imefanya Uzinduzi wa Utafiti wa Utalii wa ndani na Mchango wa Sekta ya Utalii...
1 Reactions
4 Replies
899 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri wasiwe na ugomvi na Manaibu Waziri kwa kuwa kila mmoja ameteuliwa kwa vigezo tofauti. Ametaka kila mtu ajue nafasi yake. Amesema mara nyingi watu...
4 Reactions
32 Replies
5K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewakuta na kesi ya kujibu watuhumiwa saba wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi akiwAmo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya. Leo Januari 14...
13 Reactions
69 Replies
8K Views
"Natambua kuwa Binadamu tuna Kasoro zetu na hakuna aliyekamilika 100% ila jitahidi sana Kuishi Kimaadili na kutunza Kutunza Siri za Serikali na Heshimuni Taasisi hii ya Rais hata kama hamumpendi...
15 Reactions
109 Replies
11K Views
Ipo siku serikali itakubali tu katiba mpya inahitaji kuandikwa, siku hiyo ikifika tutahiji timu ya watu kuandika. Katiba nzuri lazima iandikwe na watu makini, wazalendo, wenye utaalamu na uzoefu...
11 Reactions
53 Replies
3K Views
Kwa Heri John Magufuli, Buriani Tingatinga Zitto Kabwe Imenichukua karibu wiki nzima kuandika, japo kidogo, kukuaga Rais Magufuli. Unajua kwanini ninapata ugumu kuandika japo napenda sana...
146 Reactions
205 Replies
24K Views
Wilaya nyingi Tanzania kwasasa hazina Makatibu Tawala ( DAS ) Hii ni kutokana na Makatibu Tawala wa Wilaya wengi kuteuliwa nafasi za Ukurugenzi na Ukuu wa Wilaya na Wengine Makatibu Tawala wa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
ACT Wazalendo na Bajeti za Serikali ya CCM Awamu ya Tano 1. Mwaka 2016 kukiwa na shamra shamra kubwa za Serikali mpya makisio ya Bajeti yaliongezwa kwa 31%, Chama chetu kilipofanya Uchambuzi wa...
14 Reactions
22 Replies
2K Views
Picha hapa chini inaonyesha jinsi watanzania ni ndumila kuwili isipokuwa Kikwete Yeye alisimama na barakoa yake tena ile Babu kubwa N95 Hakuna Waziri wala wasaidizi wa hayati Magufuli walijaribu...
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Rais Magufuli anasema Kangi Lugola na wenzake wamesaini Mkataba bila ruhusa ya Bunge. Hii ndio standard? Mkataba Gani? Mbona kama hiyo ndio standard wengi hawapaswi kuwepo ofisini hata yeye...
200 Reactions
340 Replies
44K Views
MSIMAMO WA ACT-WAZALENDO; “HAKUNA TUME HURU, HAKUNA UCHAGUZI UTAKAOKUBALIKA NCHINI” WAZIRI SELEMANI JAFO AWAJIBIKE KWA KUHARIBU UCHAGUZI. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Imetolewa leo Tarehe...
23 Reactions
63 Replies
9K Views
Tumejaza kwenye chama wafuasi na wanachama wahuni wahuni ambao wanamatusi na hawana uwezo wa kujenga hoja. Tuwekeze kama ilivyokuwa Nccr mageuzi. Tuwe na wasomi na watu wenye vision kubwa. Maana...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
“ Hii ni rufaa mojawapo sijawahi kuiona Katika kazi yangu ya Ujaji. Maofisa wa mahakama kama mahakimu wanapaswa kutumia utashi wao kuamua haki za watu kwa kuzingatia HAKI “- Jaji Sam Rumanyika...
144 Reactions
225 Replies
31K Views
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetengua uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wa kuwafutia dhamana Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Mbunge wa...
17 Reactions
45 Replies
8K Views
Tumeshuhudia moja ya uamuzi wa kihistoria katika mahakama zetu, baada ya Jaji Sam Rumanyika wa Mahakama Kuu kutoa uamuzi kuwa akina Mbowe waliendekea kusota rumande kwa sababu binafsi na wala si...
11 Reactions
52 Replies
7K Views
Huwa najiuliza kama watu ambao ni wazima kabisa wa afya tena vijana; kuna muda maisha yanawapiga hadi wanashinda na njaa, hivi tunawafikiriaje ndugu zetu walemavu ambao hawana mikono, miguu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom