Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wasalaam na jpili njema wadau ! Kuna wengine wataanza kuhoji kwanini tunaongea vitu vya imani imani hapa, lakini kabla hujahoji jiulize jambo moja muhimu hapa, *Kwanini viongozi wenyewe wanaapa...
1 Reactions
0 Replies
830 Views
Serikali kufanya tathimini ya wahitimu wanaomaliza katika Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) ili kuona namna wanavyoweza kujiajiri ama kujiajiriwa baada ya kumaliza mafunzo. Kauli hiyo imetolewa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na...
73 Reactions
142 Replies
13K Views
Salaam Wakuu, Hivi Karibuni rais Samia alitembelea Soko la Kariakoo. Akakuta watendaji hawafanyi kazi ipaswavyo(Viongozi wa Soko) akawasimamisha kazi. Katika kufanya Uchunguzi, nashauri Polisi...
5 Reactions
79 Replies
11K Views
Leo bunge limetengua kanuni kuruhusu wageni wasioruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa hotuba ya Rais Samia Suluhu, miongoni mwao ni Makamu wa Rais, Philip Mpango na Rais wa...
4 Reactions
120 Replies
17K Views
Mtaamua kula kwa urefu wa kambae yenu au mtaamua kwa masilai ya Taifa chagueni nyinyi.ila Balozi katoa TIPU.
1 Reactions
3 Replies
994 Views
Katiba ni mwongozo au msahafu wa nchi uliotungwa na wananchi, ambayo ni sheria mama yenye msingi madhubuti wa kutoa mamlaka za kisheria zinazo akisi matakwa ya wananchi. Katiba ya Jamhuri ya...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii nchi ya Cuba ambayo ina vikwazo kiasi kwamba magari yao mengi ni yale ya kabla ya vikwazo miaka ya 1950’s mpaka sasa wana dose mbili ambazo karibu zitapata uhakiki wa WHO na tayari zina kinga...
11 Reactions
60 Replies
6K Views
Naam. Tangu mwaka 2018 pale spika Ndugai alipolipiwa kila kitu na wachina kwenda kuonyeshwa presentation ya namna bandari ya Bagamoyo itakavyokuwa ikijengwa, basi amegeuka mpiga debe wao! Ndugai...
18 Reactions
42 Replies
4K Views
Bila shaka yeyote, sote tunafahamu kuwa sekta ya habari iliuawa wakati wa awamu ya 5, awamu ya uongozi wa marehemu Magufuli. Tulibakia na media bandia, ambayo kazi yake haikuwa kuhabarisha na...
4 Reactions
5 Replies
659 Views
Tunaposema ZITTO na CHAMA chake Sio WAPINZANI ni pamoja na Kuamua Kudai TUME ya UCHAGUZI badala ya KATIBA MPYA. KATIBA ndio kila Kitu hiyo TUME ya Uchaguzi Waitakayo kina ZITTO lazima IONGOZWE na...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
MNAOVIMBIWA MNAYO MBINGU YENU? Na Elius Ndabila 0768239284 Leo Mhe Rais akizungumza na Mawaziri amesema kuwa wapo wanaokula zaidi ya kile walichopaswa kula. Hii ni kwamba baadhi ya Mawaziri...
4 Reactions
6 Replies
961 Views
Wanabodi, Naomba kuanza uzi huu kwa declaration of interest. Mimi ni mdau mkubwa sana wa TCRA, nawakubali sana, na hadi vipindi vyao nafanya Ila TCRA ilichomfanyia Humphrey Polepole na shule...
16 Reactions
32 Replies
3K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI CCM WAMEDHIHIRISHA FIKRA ZA KIKABURU Katika hali isiyokuwa ya kawaida ambayo kwa namna yoyote haiwezi isingeachwa imee...
15 Reactions
144 Replies
21K Views
Taarifa kutoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na baadhi ya marafiki wa karibu na mbunge huyo, pamoja na Waitara mwenyewe zinasema, tayari mwanasiasa huyo ameamua kugombea ubunge katika jimbo...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile...
14 Reactions
112 Replies
7K Views
"Unapokopa mkopo hukopi kwa ajili ya kula unakopa kwa ajili ya kufanya project ambazo zitaendelea kuzalisha na kwasababu unaendelea kuzalisha uhimilivu wako wa deni unaendelea kuwa mzuri sio...
10 Reactions
64 Replies
5K Views
Ni mtu aliyevimbiwa tu anayeweza kuanza kudai Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Katiba Mpya. Katiba tuliyonayo hata irekebishwe vipi haitaweza kutoa mwanya wa kupata Tume Huru ya Uchaguzi kutokana...
6 Reactions
13 Replies
960 Views
Awamu ya Magufuli aliwaambia wateule wake nikikuteua usifanye sherehe maana umetwishwa mzigo. Yaani kama ukishindwa kuubeba anakutua wakati wowote. Tena alikua 0 tolerance vitendo vya ufisadi...
13 Reactions
27 Replies
2K Views
Sasa ni dhahiri kwamba hali ni tete kwenye kinyang'anyiro hicho Promota wa Kwaya Alex Msama kutokea Msama Promotion leo amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea Uspika wa bunge la Tanzania Sisi...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom