Nashindwa kuelewa ni kwanini baadhi ya mambo hasa yanayolihusu taifa tunatanguliza ushabiki na hisia zisizokua na msingi wowote kwa taifa.
Nimejaribu kufuatilia kisa hasa cha Naibu...
Naibu Spika mh. Dr. Tulia jana aliitwa mbele ya kamati ya maadili ya bunge kujieleza juu ya madai yaliyotolewa na kambi ya upinzani UKAWA kuwa anatumia vibaya madaraka ya kiti ikiwemo kukiuka...
Hali ya kutafuta maridhiano imezidi kwenda kombo, baada ya asubuhi hii NS kuwakemea wabunge wa upinzani watoke haraka bungeni kwa kuwa wanapoteza muda.
Namnukuu " Tokeni haraka mnapoteza muda...
Naibu Spika wa bunge, Dk Tulia Ackson ameongezewa ulinzi hasa kipindi hiki ambacho wabunge wanajadili Bajeti ya Serikali ya mwaka 2016/17. Tangu Serikali ilipowasilisha bajeti, idadi ya walinzi...
Kutokana na wabunge wengi waCCM kulalamika na kuomba mwongozo wa spika juu ya wabunge wanaotoka nje baaada ya kujisajili, naibu spika amelipitia suala hilo na hatimaye kuja na hitimisho kuwa...
Katibu Mkuu wa CCM Abdurahman Kinana amekutana na wabunge wote wa CCM mjini Dodoma katika kile kinachoelezwa kuwa kujaribu kuweka sawa hali ya mambo baada ya kuwepo kwa hoja kutoka kwa upinzani...
Niseme wazi kuwa kwa mara ya kwanza kumwona Dr.Tulia Ackson kwenye "public domain" ilikuwa ni kupitia kipindi cha "This week in perspective" cha Mzee Adam Simbeye pale TBC. Hakika siku hiyo...
Hapa ni wakati anaomba kuwa naibu spika. Alijikanyaga sana alipoulizwa ni lini alihama kutoka kuwa mtumishi wa serikali hadi kuwa mwanasiasa?
Hata hivyo wabunge hawakukubaliana na majibu yake na...
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini ndugu Freeman Mbowe amemshambulia naibu Spika wa Bunge la Tanzania ndugu Tulia Ackson Mwansau kwa kumuita kuwa ni mtu mwenye kiburi, kujifanya mjuaji na mwenye...
Naibu Spika Dada Dr. Tulia Ackson nakumbuka ni katika Jukwaa hili hili niliwahi kuja na UZI wa kukuelezea na kukushauri kama siyo kukuongoza na nikadhani nilikusaidia na ungeyafanyia Kazi yale...
Akichangia Bungeni kwenye wizara ya mambo ya nje, Joseph Mbilinyi(Sugu) ameongelea kujichanganya kwa Tanzania kuhusu nchi ya Libya ilhali wizara ya mambo ya nje ni nyeti.
Pia Sugu ameongelea...
Wabunge wanawake wa Upinzani wametoka wote nje ya Bunge kwa madai ya kudhalilishwa bungeni na mbunge mmoja wa CCM kuwa wanapewa viti hivyo kwa kuwa na mahusiano na viongozi wao wa juu.
Wabunge...
Naibu spika wa bunge la Tanzania mama Tulia Atson ni msomi mzuri na mbobezi wa sheria lakini tangu mchakato wake wa kugombea kiti hicho na kipindi uongozi wake katika bunge umeendelea kuzua...
[/QUOTE]
UKAWA yatangaza kutokuwa na Imani na spika, Inaandaa mchakato wa kupiga kura ya kumuondoa madarakani.
Yatangaza kususia vikao vyote atakavyo visimamia.
Kiongozi wa upinzani bungeni...
Nakiri wewe ni mwana CCM mwenzangu tena uliyetukuka tu na nakukubali kiutendaji kutokana na sifa zako za kiueledi ulizonazo ila nimekuwa nikikufuatilia kwa jicho langu la tatu la (tai) hasa siku...
Kufuatia Wabunge wa Upinzani kutoka nje ya Bunge mnamo Mwezi Juni 20, 2016, wakiwa wameziba midomo yao kwa vitambaa kumpinga Naibu Spika Tulia Ackson; Mbunge wa Mtama kipindi akiwa Waziri wa...
Serikali imeweka mafao makubwa serikalini, bungeni na mahakamani kwa viongozi wakubwa inakuwaje pamoja na kuwa wana uhakika wa kupaa mapato makubwa sasa na maisha yao yote bado wanakuwa vibaka wa...
Jana iliibuka story mitandaoni ya Jeshi la Polisi kumkamata Mtanzania Halali akikamua Mafuta bila kuwa na "usajili" yaani vibali, Mafuta ya mawese. Kama kawaida Jeshi letu (ambalo kwa mujibu wa...
Katika ushahidi wake leo, aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya ameendelea kudai kuwa Kuna watu walinipanga kuja kumuua. Ikumbukwe hata kesi iliyopita ya unyanganyi kwa kutumia...
"Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilitengeneza Maadui wengi na nchi za Kimataifa kupitia Waziri Kabudi ila Serikali ya Rais wa sasa Samia imerejesha Mahusiano mema na Mataifa mbalimbali kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.