Inawezekana Samia si katika hao na ndio ikawa shida kwa viongozi wa serikali ambao wameota mizizi ndani ya serikali tokea tupate Uhuru na hata marais wastaafu wanaonekana wakijichomeka...
Mchakato huo unaendelea pia kwenye Chama cha ADC ambacho ni kati ya vyama vya upinzani chenye mgombea, Maimuna Kassim, aliyejitokeza kuchukua fomu ya kuwania kiti hicho kilichoachwa wazi.
Wateule...
Tunapiga vita rushwa hadi tumeiundia taasisi. Na wengine wanasema nchi za Africa haziendelei sababu ya rushwa. Hili suala limefanyiwa utafiti na limeonekana halina ukweli. Imeonekana kuwa mtu...
"Siko tayari kukubali niangushiwe Mzigo wa lawama wakati Madhambi yalifanyika katika Awamu zilizopita" Rais Samia jana alipokuwa Bandarini ambapo pia kwa Hasira zake Kali alizokuwa nazo...
Wanabodi,
Kitendo kilichofanywa na Naibu Spika, hakiwezi kuachwa hivi hivi, hivyo natoa wito kwa wabunge wetu, wenye mapenzi mema na taifa hili, kuanzisha vuguvugu la kuzifumua kanuni zote...
Hivi karibuni na hata siku za nyuma tumeshuhudia malumbano kati ya wamiliki wa mabasi ya abiria kwa upande mmoja na serikali (Polisi, Sumatra) kwa upande mwingine juu ya ulazima wa kufunga...
Mbunge alieteuliwa na Rais Magufuli mapema leo tayari amekula kiapo mbele ya Spika Ndugai kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Prof. Manya anatarajia kuapa tena baadae leo kuwa...
Tunaendelea.....
Katika awamu ya 5 mambo mengi ya hovyo yalifichwa kupitia propaganda mfu za uzalendo. Watu wengi waliumizwa na kudhulumiwa. Kesi za uongo na kubambikiza zilikuwa za kufikia tu...
Kwanza inabidi tukubali kuwa CCM walifanya kosa kubwa saana la kuiba uchaguzi kishamba last year. Kupitia wizi ule ndo maana wazo la katiba liliibuka na kwa hali ilivyo sioni wa kuuzima huu Moto ...
Naandika makala hii fupi sio kwa nia mbaya hapana! Ila kuonesha sura ya taifa letu pendwa la Tanzania niko tayari kukosolewa au kusahihishwa sehemu yoyote ntakayokosea. Ukiangalia kwa makini sana...
Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa Bunge. Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi...
Huyu mama nilivyokuwa ninamwona ni kama Mwanasiasa sana sana. Ukiangalia level ya elimu yake kwenye web ya Bunge unaelewa kuwa huyu ni Mwanasiasa na ndiyo maana aliwekwa kuongoza Ofisi ambayo ina...
Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake 3 inaendelea leo 18, Jan 2022 katika mahakama ya Uhujumu Uchumi na Rushwa.
Kufahamu ilipoishia, soma hapa:Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi...
Mshitakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na machozi mahakamani wakati akitoa ushahidi wake kama sehemu ya utetezi wake...
No one is above the law, kwenye kesi ya Mbowe Jamuhuri walibainisha wataleta mashaidi 24, mpaka Sasa wameleta mashaidi 10 Tena kwa kusua sua.
Upande wa utetezi ulibainisha utaleta mashaidi...
Ndugu watanzania!
Leo naandika hili na leo ndio mwisho wangu kuandika hapa JF, sio kwa ubaya bali kwa ridhaa yangu mwenyewe.
Kuna mambo matatu makubwa:
1. Ukiona matatizo yoyote yaliyopo...
Nikiri tu kuwa namfahamu huyu shahidi vizuri, nimesoma nae shule ya msingi na nikafanya nae kazi sehemu.
Akihojiwa jana kwenye cross examination na wakili Kibatala alidai ana miaka 36, Tulianza...
Kule Kenya kulikuwa na chama imara na kilicho tikisa taifa kilichoitwa Kanu.
Hakuna asie juwa vile Kanu chini ya Kenyata na Mzee Moi kilivyo watoa kamasi wakenya.
Kilikuwa na power full makachero...
Majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kikao baina yake na Mawaziri na Manaibu wa Serikali ya awamu ya Sita aliowateua siku chache zilizopita,
Katika hotuba yake miongoni mwakauli...
Bado sijaelewa CHADEMA ina nguvu kiasi gani jimboni Hai hadi iweze "Kutengeneza" kesi kwa wabaya wake.
Pili, sijapata uhakika yule Mrosso yuko chama gani?
DC ana nafasi gani NEC hadi amnyime mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.