Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ikikupendeza Mh. Ndalichako tafadhali sana hebu kairejeshe sheria iliyoanzisha kikokotoo kwa wastaafu bungeni ili ifutiliwe mbali kwani ipo kinyume na haki za binadamu na ni kinyume cha katiba ya...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Leo tarehe 19/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. ======= Kufahamu ilipoishia, soma...
26 Reactions
273 Replies
38K Views
Mange kimambi sijui anajiskiaje Alidandia treni kwa mbele :D:D:D
2 Reactions
124 Replies
16K Views
Furaha Dominic ambaye ni mpwa wa hayati Magufuli aliyegombea ubunge jimbo la Kawe na kushika nafasi ya kwanza huku Pascal Mayalla akiwa wa 162 amesema siku atakayokutana na Rais Samia atampa...
31 Reactions
122 Replies
11K Views
Hivi huyu naibu spika wa bunge, ambaye sijui ni dokta wa sheria [PhD], huo udokta wake ni halali kweli? Huyu naye inabidi vyeti vyake vihakikiwe, haki ya nani! Akina nani hao waliompa hiyo PhD...
62 Reactions
217 Replies
26K Views
CCM wanaweza kuushangaza umma kama enzi za 2015GE, watu wakapigana mapembe na kambi zao then JPM akawapita katikati yao kama maandiko ya Jesus alivyowapita wanafunzi wake kati kati yao. Mi naona...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilifanya Maombi kwa kupiga magoti na kufunga ili Mungu awaadhibu vikali wote waliodhamiliakumuuwa Mhe Tundu Lisu, ninaamini maombi yalipokelewa na yaliitikiwa kwa imani yangu. Huyu Mungu muumba...
12 Reactions
35 Replies
2K Views
#KUMBUKUMBU Januari 20, 1968, alizaliwa Mbunge wa Singida Mashariki na mwanasheria maarufu nchini Tanzania, Tundu Lissu huko Ikungi Mungu ampe maisha marefu, miaka 50 mingine ya kuendelea kutetea...
25 Reactions
103 Replies
10K Views
Kwanza nakishukuru chama changu, CCM kwa kumteua kijana wetu, Dr Tulia katika kinyang'anyiro cha Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nina sababu kuu mbili: Sababu ya kwanza ni...
2 Reactions
12 Replies
919 Views
Katiba ya Nchi na Katiba ya CCM hazimzuii Naibu Spika Kugombea Uspika Ibara ya 85(2) inawakataza Mawaziri na Naibu Waziri Kuwa wagombea wa Uspika. Ibara hiyohiyo inawakataza viongozi wengine...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Aina ya uongozi kama ule wa Awamu ya Tano ulikuwa balaa kwa mustakabali wa umoja wa nchi yetu. Sina haja ya kurudia madhambi mabaya ya Awamu ya Tano maana kila mtu yalimgusa. Kiini cha hayo...
14 Reactions
204 Replies
10K Views
Kuna taarifa zakupotea vijana watano zinasambaa mitandaoni Lakini hakuna kiuongozi wa serikali aliyetia Beno, wote wapo kimya kama vile waliopotea siyo watu. Viongozi wa dini nao wapo kimya...
10 Reactions
46 Replies
3K Views
Hakika huyu mzee wetu ndiye mtumishi wa kweli wa Mungu. Amewashauri watawala kufuata misingi ya katiba na siyo kutawala kwa mazoea.
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi hakuna kitu mtz anaweza kuniambia,,,kama vile baba levo alisema itawachukua tz miaka kama 25 kutufikia kenya ....Yaani in todays world 2022 nchi nzima inaogopa 1. east african community 2...
0 Reactions
1 Replies
556 Views
Kipimo changu Kikubwa cha Umakini, Akili na Utendaji wa Rais Samia pamoja na CCM iliyo chini yake ulikuwa ni hapa katika Kuteua Jina Moja na nashukuru jina lile lile ambalo GENTAMYCINE nililitaka...
8 Reactions
62 Replies
4K Views
Wasalaam. Nitafafanua kwa ufupi Uongozi ni mamlaka au karama ya kuwaonyesha watu njia kwa vitendo na kipaumbele chake huwa watu, lakini mtawala(CCM) huangalia vitu na si watu, hugusa maslahi yake...
0 Reactions
2 Replies
725 Views
Nikiri wazi kuwa nami, nikiwa mtanzania wa kawaida na mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kisiasa na kijamii, nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sakata lililopelekea Spika Job Yustino Ndugai kuandika...
25 Reactions
82 Replies
8K Views
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI MHE. KABWE ZUBERI ZITTO (MB) KUHUSU MPANGO NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA BAJETI WIZARA YA MIUNDOMBINU , KWA MWAKA WA FEDHA 2008/2009...
0 Reactions
49 Replies
10K Views
Unaweza ukajiuliza uwepo wa wapinzani kiduchu bungeni una faida gani iwapo maamuzi yote muhimu yanafanywa na kamati kuu ya CCM? Kiukweli Tanzania hatuna mfumo wa vyama vingi tuna kiini macho tu...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
"Sio kwamba wote walioingia kwenye mchakato wa Uspika walitaka kushinda hapana, wengine walitaka tu kufahamika, walitaka kujulikana kwenye TV kuwa nao waligombea Uspika na hivyo walitaka...
1 Reactions
5 Replies
617 Views
Back
Top Bottom