Kamati ya maadili= chui
Naibu spika= fisi
Kambi ya upinzani= swala
Ushindi atapewa Nani?
Ushindi atapewa swala ili chui amtafune baadae na kisha fisi ajilie mifupaKamati ya maadili= chui
Naibu spika= fisi
Kambi ya upinzani= swala
Ushindi atapewa Nani?
Nae atawauliza kanuni gani? Nilizo kiuka?
Hakuna atakaye toa majibu
Kamati ya maadili= chui
Naibu spika= fisi
Kambi ya upinzani= swala
Ushindi atapewa Nani?
Nakubaliana na wewe 100%. Kwenye politics kuna kitu kinaitwa "compromise'. Kung'ang'ania kwa upande mmoja hakujafanikisha lo lote katika historia ya nchi yo yote ile ulimwenguni. In fact nchi zote ambazo zimeendelea sana zina vyama viwili vikubwa vya upinzani ambavyo bungeni havipishani sana kwa uwingi wa viti. Obama asingeifikisha USA hapo ilipo bila "compromise". Absolute majority in the parliament ni short cut kwenda kwenye umaskini na ufukara. (Ref. USA, Japan, Germany). China pamoja na kwamba hawana vyama vingi lakini wamejiwekea utaratibu wa kuwa na "fresh ideas" after every ten years, ambao kidogo unasaidia.Tuache Ushabiki she is too rigid. Politics is give and take. She should overcome bias and be more flexible na asiwaogope ccm.
Unapenda fujo? Kamati imshauri ajirekebishe.wanaosema maigizo hapa ni walewale waliosifia kitendo cha ukawa kuandika barua kwa spika ya kutokuwa na imani na NS,hivi hamkujua kama lazima apitie kwenye hiyo kamati au mnajifanya hamjui kanuni??
wengine tulishasema hilo jambo,kitendo cha kupita kamati ya haki,maadili na madaraka tayari mshafail,hamna kitu hapo.tusubiri na tuone...
Fisi hapo hakuna shaka ana ondoka na fupa la ushindi.Kamati ya maadili= chui
Naibu spika= fisi
Kambi ya upinzani= swala
Ushindi atapewa Nani?
hoja yako ni uongo. hakujatokea jambo kama hilo. uwe unasoma post zinazowekwahapa jf au magazeti na kuelewa.Ngoja tusubiri,maana kuna lile lwa kuwaondoa wapinzani kwenye safari waliyoalikwa na kuweka wabunge wa CCM.Kwa sasa bila kumung'unya maneno viongozi wabunge wanalea ubaguzi na wasipoangalia unachofanya usiku mchana kitakuchoma.