Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM iliwaambia Watanzania ukweli ufuatao kuhusu tatizo la nishati na Watanzania wakakubali na kumpatia mgombea wa CCM asilimia 80 ya Kura zao. 43. Pamoja na hatua nyingi zilizochukuliwa kipindi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo maji yamewafika shingoni wanakosa jinsi ya kukutoa madarakani wanaanza kujipitisha huku wakisema katiba mpya inahitajika, walidhani mfumo dume utadumu milele hawakujua mungu ndiye apangae...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Mlipotaka muwe na Bunge la WanaCCM kwa asilimia tisini na nane hamkujua umuhimu wa wabunge wa upinzani? Hili bunge lingekuwa hata na wabunge wa upinzani 40% hii dharau ya WanaCCM kulifanya bunge...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Kumbe hawa wanaCCM wana makundi maana sasa kundi linalotamalaki kwa ubabe wa kugawana nyadhifa ni kundi la wahuni au wenye chama chao. Waliowekwa kando wamechukia na watalipa kisasi japokuwa sio...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mara nyingine mungu wetu ametupa nafasi hadimu na hadhimu katika hii Dunia, hatuna budi kumshukuru. Nikienda moja Kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi. Kiukweli nimetafakari vya kutosha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli wakimfariji mjane wa Marehemu Iddi Ubwa Mazongera aliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani...
1 Reactions
81 Replies
18K Views
RAIS Kikwete AFUNGUA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA YENYE UREFU WA KILOMETA 60 MKOANI LINDI...
2 Reactions
67 Replies
53K Views
Wanaukumbi, Rais wetu Jakaya Kikwete, hongera sana kwa kuhakikisha Tanzania nzima tunapata barabara za kiwango, kuna changamoto nyingi kutoka kwa wapinzani ambao wanapinga utendaji wa serikali...
7 Reactions
106 Replies
14K Views
Nimesikia mwenyekiti wa chama na serikali akisema kuwa majimbo yanayo ongozwa na ccm yana piga hatua kimaendeleo swali langu misungwi Mwanza lina ongozwa na chama gani kwa sababu wananchi wa jimbo...
14 Reactions
40 Replies
8K Views
Nakumbuka enzi za Pius Msekwa, Sita na hata Makinda kidogo kulikuwa na mjadala mkali na mpambano wa fikra kuhusu qualities za mtu wa kushika Nafasi hii nyeti. Ila Kwa miaka ya hivi Karibuni kiti...
13 Reactions
21 Replies
2K Views
Sasa naanza kuiona Tanzania ikiwa na wakuu wote waihili wakiwa wanaake. Yale maazimio ya Beijing yameanza kuzaa matunda kwa Tanzania. Sasa ule wasiwasi wa wanawake hawawezi katika kushika...
0 Reactions
8 Replies
838 Views
http://news.google.com/news?hl=en&ned=us&q=tanzania&ie=UTF-8&scoring=n Three people *** it up for 11,000 :-( Goba water team disbanded over fraud MASEMBE TAMBWE Daily News...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Pesa za covid19 zilizopelekwa LUANGA kwa ajili ya ujenzi wa madarasa zimehamiashwa kutoka shule zilikokuwa zimepangiwa na kupelekwa kwingine na wataalamu wa alimashauri. Kwa taarifa zaidi mcheck...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Soko huria, hasa hili soko huria la kulazimishana ni hatari sana kwa maendeleo ya nchi maskini. Kanuni ya soko huria ni kuondoa vikwazo vya biashara kati ya nchi na nchi. Watetezi wake wanadai...
12 Reactions
52 Replies
4K Views
Naandika waraka huu KUTOKEA huku mashariki mwa nchi, nikiwa na Imani kwamba maoni haya ndio maoni ya wengi. Kwanza "I declare my interests" Mimi ni CCM pure na nilijiunga mwaka 1990...
0 Reactions
2 Replies
735 Views
Naibu Spika wa Bunge, Dk Ackson Tulia, amesema alishafanya kazi ya kuuza chai na maandazi wakati wa ujenzi wa barabara ya Mlandazi Dar es Salaam. Tulia ameyasema hayo leo Aprili 28, 2018 kwenye...
5 Reactions
98 Replies
15K Views
Habarini za Asubuhi Watanzania wenzangu, BBC wameripoti kupatikanika kwa kiongozi wa waasi ambaye ni raia wa Tanzania. Vikosi vya jeshi la Msumbiji vinasema kuwa vimemkamata kiongozi wa kijihadi...
14 Reactions
110 Replies
10K Views
Habari ndio hizo kwenye vikao vya Bunge rasmi na visivyo rasmi,kuwa Naibu Spika ananung'unikiwa kumzunguka Spika katika mambo mengi yanayohusu Bunge na utendaji wake.Hii inatokana na ukweli kuwa...
17 Reactions
138 Replies
22K Views
Wabunge wa upinzani wamewasilisha kwa spika wa bunge hoja ya kumng'oa naibu spika , Dr Tulia Ackson kwa kutokuwa na imani naye . Mbunge wa simanjiro James Ole Millya ndiye aliyebeba jukumu hilo...
8 Reactions
96 Replies
12K Views
Back
Top Bottom