mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,307
- 6,514
Hali ya kutafuta maridhiano imezidi kwenda kombo, baada ya asubuhi hii NS kuwakemea wabunge wa upinzani watoke haraka bungeni kwa kuwa wanapoteza muda.
Namnukuu " Tokeni haraka mnapoteza muda wetu"
Hekima na busara iko wapi?
Katiba ilivyotamka kuwa mkuu wa nchi ni kuanzia miaka 40, ingeaply hata na kwenye nafasi nyeti kama Spika/ N Spika.
Inakuaje wawakilishi wa wananchi waliohangaika kuchaguliwa majimboni kukemewa na mtu aliyeteuliwa tu.
Inaudhi.