Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameifukuza Kampuni ya Ujenzi ya Associated Investment Service Ltd ya Dar es Salaam kufanya kazi Zanzibar kwa kile alichodai haina uwezo.
Pia, alisitisha...
Wafanyakazi 247 wa kiwanda cha METL kinachojishughulisha na mazao ya mkonge wameandikiwa barua rasmi za kusimamishwa kazi huku wakimwangukia Rais Samia awasaidie maana hali ya maisha yao inaenda...
Moshi. Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne imeahirishwa hadi Julai 4, 2022 kutokana na upelelezi...
Meneja wa TRA mkoa wa Kigoma bwana Gabriel Mwangosi amesimamishwa kazi na kamishina mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata baada ya kupandisha ushuru wa forodha mkoani humo kutoka millioni 15 kwa mwezi...
Salaam,
Hivi majuzi kulitokea taharuki ya ugonjwa uliosababisha sintofahamu kwa wakazi wa Lindi baada ya kusababisha vifo vya watu kadhaa.
Dalili zilizoonekana kwa wagonjwa ilikua ni pamoja na...
Nchi hii inakabiliwa na hali mbaya sana ya uharibifu mkubwa mno wa mazingira unaotokana na kukata miti kwa ajili ya biashara mbaya ya mkaa na kuni. Kulima kwenye vyanzo vya maji nitazungumzia...
Alikamatwa kabla ya uchaguzi Mkuu wa 2020 , na kubambikiwa kesi ya uongo ya mauaji ili Mgombea udiwani wa ccm apite bila kupingwa .
Kwa wasiofahamu , Diwani ni mwakilishi wa Kata tu , tena...
Wataalam mtanipa elimu kidogo kama nipo tofauti. Hivi hii mikataba ya kuingia mkopo na mabenki makubwa ni nani anaepitisha?
Je, ni kweli bunge tulilonalo linaridhia hivi vitu? Mimi naona hapana...
WADAU wa sekta za biashara na usafirishaji wameitaka serikali kutoipa kampuni ya TICTS mkataba mpya wa kuendesha eneo la kontena la bandari ya Dar es Salaam kwa kuwa limeshindwa kufikia lengo la...
DKT SAMIZI AENDELEA NA ZIARA YAKE JIMBONI, ATEMBELEA HOSPITALI YA KIBONDO. AHIMIZA UWAJIBAJI.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi na ziara Jimboni.
"Ziara...
Mwanzoni tuliambiwa ni kwa ajili ya kuondokana na athari za covid 19, na sasa tunaambiwa ni kwa ajili ya kuondokana na athari za vita ya urusi na ukraine!
Tanzania has reached an agreement with...
Kwa miaka michache ya hivi karibuni,naanza kuona zimwi la ukabila likifufuka na ipo siku litakunywa damu za watu wengi sana.
Ni kiongozi gani ataweza kuzuia hali hii isiendelee na kuua kabisa...
Miezi minne tangu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel aagize wanawake, vijana na wenye ulemavu waliotokomea na Shilingi bilioni 4.9 za mikopo ya halmashauri kuzirejesha tayari shiingi bilioni...
Kwa kipindi kirefu sasa, nchi yetu imekuwa ikitumia mabavu ili kuwafanya wananchi walipe kodi hasa wafanyabiashara wakubwa. Wazungu wanasema ili kupata "compliance" linapokuja suala la kukusanya...
Rais Samia Hassan amesema kuna maradhi ambayo hayakuwepo siku za nyuma lakini yanajitokeza siku za karibuni kwa kuwa uharibifu wa misitu unasababisha Viumbe wa Msituni wasambae kwa Wanadamu...
1. Kuisadia Serikali kupata taarifa za msingi zitakazosaidia mchakato wa utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya mwaka 2025, mageuzi ya masuala ya afya na jamii, pamoja na ufuatiliaji wa ajenda za...
Imezuka taharuki kwa baadhi ya wakazi wa Mabwepande Wilaya na Kinondoni wanaodaiwa kujenga eneo lisiloruhusiwa, baada ya nyumba zao kubomolewa huku wakiwa hawajui la kufanya na familia zao...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama Mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa.
Pia, Serikali ilimuambia...
Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, Ni wazi kwamba wananchi hawana tena imani chini ya uongozi wa awamu hii ya sita. Kila unapoenda ni lawama na hali ya kutoridhika na utendaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.