Wanachezewa masharubu, hawana ule mvuto wa mwanzo sasa ni waunga juhudi wakubwa wa CCM, kinachoonekana ni michezo ya kitoto tu wenye akili wanafahamu.
Naamini siasa za Tanzania ni chukua chako...
Menejimenti ya Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha Chini ya Engineer Justin Rujomba imetumia Milioni Mia Mbili na Kumi na Sita ( 216 Milion) kwenda Mwanza kwenye Semina na Kutalii...
David Kafulila ambaye ni mkuu wa mkoa wa Manyara kwa sasa akihojiwa na Wasafi TV Katika kipindi cha msumari wa moto ameulizwa swali :
Kwanini ccm bado ipo madarakani wakati vyama vingine vikongwe...
Katiba yetu inampa nguvu kubwa sana Mh Rais, kiasi kwamba watu wengine hujikuta wanamuunga mkono kwa hofu ya kuharibiwa maisha.
Mimi nikipata hii nafasi ntatumia hiyo nguvu kuvunja muungano kwa...
Sekta ya gesi imekuwa na maneno, conspiracies na minong'ono mingi sana isiyoisha na ikiacha mkanganyiko wa kujua upi ni ukweli na upi ni uongo au pumba tu.
Kwa sababu Makamba anaonekana ni mtu...
Dunia nzima inaona yanayotokea huko Sri Lanka, nasi pia kama sehemu ya dunia tunayaona.
Yaliyotokea Sri Lanka kama kudorora uchumi, kupanda bei kwa bidhaa kwa kutisha, mikopo mikubwa isiyolipika...
Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.
Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali...
Mwaka 2025 siyo mbali kama Mwenyezi Mungu anakuweka hai,ni mwaka wa uchaguzi mkuu wa kumpata Rais, wabunge na madiwani na kuna majimbo ya uchaguzi ambayo hakika makada watatoana jasho kweli kweli...
Mradi wa Uzalishaji wa Sukari Mbigiri ambao unamilikiwa na kampuni tanzu ya Mkulazi uliyopo Wilayani Kilosa, Mkoani Morogoro una lengo la kuzalisha sukari tani 50,000 kwa...
TARATIBU,UZEE NA NADHIFU;RUBANI WA NDEGE YA JET NA RUBANI MKONGWE WA AIRBUS.
Leo 11:05hrs 17/07/2022
Ndege ya Airbus 380 ikiambaa juu ya bahari ya Atlantic,Ndege ya kivita Jet inatokea,rubani wa...
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na wadhifa wake mkubwa alionao kwa Taifa letu anaheshimu mawazo ya Wabunge na kusema atafanyia kazi miongozo na ushauri wa Wabunge.
Hongera SSH kwa spirit hii ya...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji katika Kata ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ambapo ametoa pongezi nyingi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira...
Neno ushiriki wa kisiasa kwa ujumla katika maana ni tabia yoyote ya kibinadamu au ushiriki ambao unachangia au unashawishi mchakato wowote wa kisiasa au matokeo.
Ushiriki wa kisiasa unaweza kuwa...
Wakuu poleni na majukumu.
Kuna ndugu yangu ameomba kufanya Usajili wa kuwa mhandisi. Amewasilisha report zake katika bodi ya maengineer yaani ERB. Kila akiulizia Usajili umefikia wapi, anaambiwa...
Namuuliza tu Jaji Mkuu, kulikoni mpaka Leo ana majaji wamestaafu wanapewa mkataba waendelee kuhudumu? Hawa si ndio watakuwa na utii kwa mtu anayewaongezea mkataba?
Waende kupumzika SSH ateue...
Malasusa: Magufuli alikuwa kiongozi, si mwanasiasa
Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa amesema kuwa uongozi wa Hayati...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb) amesema kuwa anayo mengi ya kujivunia kwa timu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ya Golf ya Wanawake (TPDF...
Amani kwako.
Tayari tumeanza kuliona jua la alfajiri kama bado umelala sikiliza sauti za ndege bila kuamka utafaham kuwa jua linachomoza
Twende kwenye mada; ndugu zangu Watanzania hasa wa kanda...
Taifa letu linahitaji watu wenye Kariba ya ANTONY MTAKA yule mkuu wa Dodoma wengi zaidi kama 1000 hivi ili washike nyazifa na vitengo mbalimbali serikalini.
Kwanza nikili sijawahi kumuona na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.