Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo hapa jijini kunafanyika kongamano la miaka 100 tangia kuzaliwa kwa Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere, 1922 huko Butiama mkoani Mara Vijana wengi wa sasa hatukubahatika...
35 Reactions
144 Replies
8K Views
Mzee Sirro amekaribia kustaafu, kwa nidhamu na maendeleo ya Jeshi la Polisi sisi tunaofuatilia utendaji wa Ma RPC tunaweza kusema Muliro atachukua nafasi ya Sirro. Kwa namna alivyotuliza Mwanza...
10 Reactions
118 Replies
21K Views
Ndani ya kipindi kifupi gharama ya bando/bundle ya internet imepanda kwa zaidi ya 45%. Sisi watumiaji wa Vodacom tulikua tunanunua kifurushi cha Mwezi kwa shilingi elfu 50 na kupata GB 50...
18 Reactions
68 Replies
6K Views
Ndege moja ya Air Tanzania "Dodoma" Hapa kazi tu, iliyowahi kuzuiliwa Afrika kusini inaonyesha kuwa imepark kwenye uwanja wa ndege wa Maastricht. Huu ni utaratibu wa kawaida au tunadaiwa tena?
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa ameviagiza vyuo vikuu vyote nchini, kufanya mapitio ya mitaala yao, ili iweze kuendana na mahitaji halisi ya sasa ya soko la ajira.
1 Reactions
32 Replies
2K Views
DKT. SAMIZI ACHANJA MBUGA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI NA KUHAMASISHA SENSA JIMBONI. Leo imekuwa mwendelezo wa ziara ya Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe Dkt. Florence George Samizi...
0 Reactions
1 Replies
599 Views
Nimepitia mitandao mingi ya kijamii hasa hasa youtube nimekuta clip za General Ulimwengu anasema Magufuli hakuwa Rais mzuri. Kati ya komeenti 5876 ni comment 43 tu ndizo zimemsapoti. Ila comment...
16 Reactions
60 Replies
4K Views
Heshima sana, Mimi Ngongo Balozi wa kumi natarajia kufika mbele ya kikosi kazi kutoa maoni yangu kuhusu Katiba. Mosi,naunga mkono katiba mpya kwakuwa hii ya sasa imepitwa na wakati. Natarajia...
9 Reactions
27 Replies
4K Views
Kuna hii habari nimeikuta kwenye vuombo vyetu vya habari Nchini, ni kuhusu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa taarifa ya kutoa maagizo kwa vyombo vyenye mamlaka ya kusimamia sheria ikiwemo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Imeamua kwa makusudi kutuacha watanzania na kuangali maslai yao. Hali ni mbaya sana mtaani vyakula bei hazishikiki. Vyakula vinavushwa mipakani na kwenda nje...
21 Reactions
191 Replies
10K Views
Raisi Samia sasa ndiyo anaamka usingizini na kugundua Sirro sio IGP mzuri. Sirro aliwekwa kwa ajili la kuwapiga na kuwanyanyasa wapinzani wakati wa Rais Magufuli lakini hakuwa na uwezo wala busara...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Mikopo hii imekopwa na serikali katika awamu ya sita pamoja na ukopwaji wa mikopo hiyo pesa nyingi haijulikani imepelekwa wapi, kitu pekee nachokifahamu katika mikopo hiyo ni: Ujenzi wa vyoo vya...
21 Reactions
131 Replies
7K Views
Rais Samia afanya teuzi mbili: 1. Rais Samia amemteua Meja Jenerali (Mstaafu) Hamis R. Semfuko kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya usimamizi ya Wanyamapori Tanzania (TAWA) 2...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nawasalimu sana wanajamvi, Chondechonde kazi ya Uwaziri sio lelemama na hasa kwa nafasi yake. HUKU mikoani umeme hakuna, nchi ipo gizani lakini yeye yupo busy kugawa mitungi midogo ya gesi badala...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa? Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka? Kuna wapambe wasio na vichwa...
9 Reactions
89 Replies
5K Views
Kipindi cha utawala wa marehemu Magufuli watu walikuwa waoga wa kupitiliza. Wengi walishindwa kujieleza hata kama walikuwa na point za maana. Wengine wateuliwa walishindwa hata kuapa mbele ya...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Kiukweli hayati Magufuli aliwapenda Wananchi wote bila kujali itikadi za kisiasa. Ukiangalia Maendeleo ya Miundombinu katika Majimbo ya Kawe, Ubungo na Kibamba huwezi kuamini kuwa halikuwa chini...
2 Reactions
5 Replies
763 Views
Nchi ni moja na rais ni mmoja kwa nini madiwani wa Zanzibar walipwe mishahara huku hawa wa bara hawalipwi? Huu ni ubaguzi usiofaa. Bajeti Zanzibar Sh2.59 trilioni. ======= Madiwani Z’bar...
5 Reactions
20 Replies
5K Views
Salaam Wakuu, Mkuu wa Wilaya Godwin Gondwe alipokuwa Mkuu wa Wilaya Temeke, kulikuwa na Mgogoro Hospitali ya Dar Group. Gondwe akaitembelea, na kuwaambia Wafanyakazi na Madaktari wafunguke...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa Sh69.44 trilioni ikilinganishwa na Sh60.72 trilioni kwa kipindi kama hicho mwaka 2021...
6 Reactions
87 Replies
5K Views
Back
Top Bottom