Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa...
22 Reactions
465 Replies
65K Views
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amewaapisha Mahakimu Wakazi wapya 20 na kuwapa angalizo kuhusu matumizi ya mitandao na marafiki wanaowazunguka Prof. Juma ametoa wito huo leo Jumamosi...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Binafsi naamini JF ndio jukwaa pekee la kupata mawazo na fikra huru katika jambo lolote Hivyo namshauri Profesa Mkandala na Zitto Kabwe wafungue thread maalumu Hapa JF ili wapokee michango ya...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Katika ziara ya waziri wa nishati mh.Makamba amekutana na kuzungumza na aliyekua waziri wa nishati medard kalemani. Kalemani amempingeza waziri wetu Makamba kwa kazi nzuri, na Makamba amempingeza...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Salaam kwa jina la jamhuri ya muungano Mama Samia Suluhu Hassan! INGILIA KATI KWENYE HILI WAKULIMA WANATAKA KUKIBOMOA KIWANDA CHA SUKARI MBIGIRI. Kiwanda cha sukari Mbigiri ambacho haijulikani...
17 Reactions
123 Replies
12K Views
Nauli ya kwenda Ganzhou, China imefikia Million 11 . Hiyo Ni kwenda tu. Kuhusu malazi , matumizi na nauli ya kurudia bado ni juu yako. Naona Rais amefungua nchi kwa wageni tu , Ila si kwa wa-TZ ...
9 Reactions
41 Replies
14K Views
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa (UN) Michelle Bachelet ameshukuru na kupongeza namna Tanzania inavyotekeleza masuala ya haki za binadamu. Michelle alitoa pongezi hizo...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Ningependa kujua wasifu mdogo wa Jenerali Ulimwengu kwani nimefurahia uzalendo aliouonesha kuwa pale Mahakamani katika kesi ya Katiba. Kitaaluma nilikuwa namtambua Jenerali kama mwandishi sio...
23 Reactions
282 Replies
82K Views
Siku imepita lakini fikra hazikomi kunyukana baada ya kusoma gazeti la Mwanachi lenye kichwa cha habari “KUNI ZINAVYOKATISHA UHAI KWA KASI, JANUARY ASHTUKA”. Baadae, mikono nayo inanituma kutia...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Tunataka serikali tatu si kwa sababu Zanzibar ina serikali yake! Mbunge mashuhuri kutoka Bukoba, Sebastian Kinyondo, maarufu kama Mzee Mitemba, akipenda kuvuta kiko, naye alikuwa mmoja wa...
11 Reactions
12 Replies
5K Views
Hebu angalia kwa makini video hizi kisha ufikirie Uchaguzi ujao wa 2025 katika angle ya Upinzani kupata hata jimbo moja tu, Huyu ndio Crde Kenani Kihongosi Mkt wa UVCCM taifa huko Mkoani Geita,
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Kumekuwa na mfululizo wa threads za kumpondea Makamba kila uchao! Akijikwaa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake; Akikohoa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake; Akisalimia basi...
6 Reactions
144 Replies
7K Views
Je wajua serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeanza utekelezaji wa Kongani ya viwanda(Industrial Park) ya Kwala? Awamu ya kwanza inatarajiwa kukamilika ifikapo 2024. Ujenzi huu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tanzania na China zimekuwa na mahusiano ya muda mrefu, toka enzi zile za kufuata misingi mikuu ya Ujamaa chini ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Baba wa Taifa la China Mao Ze Dong. Kwa miaka 61...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwamba CCM ikubaliane na vyama vyenye wabunge ili viweze kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa CCM, Chadema, ACT wazalendo na CUF vina jumla ya wabunge 25 wanaounda kambi ya wachache bungeni?
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Sifa ya asali ni utamu, Ila katika Serikali ya Rais Samia Suluhu ni faida wanazopata wananchi kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita. Katika moja ya hotuba zake Rais...
0 Reactions
5 Replies
789 Views
Baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumfutia kesi ya uhujumu uchumi aloyekuwa bosi wa Golden Tulip, Serikali imemkatia rufaa Mahakama Kuu ikitaka kesi hiyo irejeshwe, ikidai kuwa Mahakama ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waziri wa Zamani, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo agosti 17 akiwa anapatiwa matibabu regency hospital. Mramba alilazwa wiki mbili zilizopita kwa maradhi ya COVID-19. Kifo chake...
18 Reactions
224 Replies
30K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT.. CAG Mstaafu Ludovick Utouh na Mkurugenzi wa Taasisi ya Wajibu Tanzania ameitaka Serikali kufanya uchunguzi na kuwatafuta wote waliotafuna pesa kiasi cha Trail.1.23...
8 Reactions
94 Replies
6K Views
Kuna baadhi ya wana-CCM wana tabia kama za Madereva na Makondakta wa Daladala wanaovaa sare kwa kuogopa askari na si kwa kuipenda kazi yao. Kanuni zinasema ni lazima kuvaa sare wakati u...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom