Rais Samia mfute kazi Naibu DPP Kweka, anachafua utawala wako

Bikirajohola

JF-Expert Member
Jun 11, 2022
356
632
Moshi. Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne imeahirishwa hadi Julai 4, 2022 kutokana na upelelezi kutokamilika.

Sabaya na wenzake wanne walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi leo Juni 20,2022 kwa ajili ya kesi yao kutajwa.

Akiomba kuahirishwa kwa kesi hiyo wakili upande wa mashtaka, Verediana Mlenza ameieleza mahakama hiyo kuwa upelelezi bado haujakamilika na kwamba kibali kutoka ofisi ya DPP na hati ya kuipa mahakama hiyo mamlaka ya kuendelea na kesi hiyo bado hakijatolewa.

Kabla ya kuombwa kwa ahirisho hilo wakili wa upande wa utetezi, Hellen Mahuna aliutaka upande wa mashtaka kuwa makini kwa sababu mara ya kwanza washtakiwa hao walipofikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka yao walieleza mahakama hiyo kuwa upelelezi umeshakamilika.

"Hatuna pingazmizi na ahirisho, upande wa mashitaka mara ya kwanza kesi ilipoletwa katika mahakama hii walieleza kuwa upelelezi umeshakamlika, mara ya pili wakaja hapa na kutuambia upelelezi bado haujakamilika sasa ni mwezi, tunaomba upande wa jamhuri wawe "serious", kwa sababu washtakiwa wanateseka," amesema.

Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama hiyo, Salome Mshasha ameiahirisha kesi hiyo kwa muda wa siku 14 na kuutaka upande wa jamhuri kuja na hitimisho wakati kesi itakapokuja tena Julai 4, 2022.
 
Idugunde na mahangaiko yake kama kawa ya kutetea Jambazi lenzie..
Mara zote shetani hutetea ibilisi mwenzake, haitokea hata siku moja ilibilisi amtetee Malaika wa Mungu.
 
HAMNA LOLOTE Naibu DPP Kweka anatejekeza Vizuri Majukumu yake kwa kuwa KAMSHAKI Jambazi mwenzenu SABAYA ndio mmeanza Majungu yenu MAMA yetu SAMIA USIWASIKILIZE Hawa WAHUNI Tume uliunda wewe na ikakupa MAJIBU na UKAMTUMBUA Huyo JAMBAZI SABAYA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Hivi kweli kuna vijibwa vinalitetea jambazi sabaya? Jambazi huyu aliyekata wenzake masikio na kuwapigilia misumari hana hisia za mateso wala maumivu huyu.
 
Gaidi aliponea mbeleko ya Dpp
Nimecheka sana Jenerali Sabaya anavyolia kwamba Magereza sio Picknic ni sehemu ya matesona kweli Jela ni mateso maana kwa jinsi alivyokuwa anakula raha sehemu mbalimbali za starehe Arusha akiwa na misafara ya vijana wake halafu leo saa 9:45 mchana huu umwambie aingie Selo kulala daaah
 
Ndiyo maana mbowe alipotoka tu akakimbilia kupiga magoti ikulu
 
Moshi. Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne imeahirishwa hadi Julai 4, 2022 kutokana na upelelezi kutokamilika...
Bila shaka wewe ni chawa wa Mbowe ,mbona hujalalamika kufutwa kwa kesi ya ugaidi ya Mbowe.
 
Moshi. Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne imeahirishwa hadi Julai 4, 2022 kutokana na upelelezi kutokamilika.

Sabaya na wenzake wanne walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi leo Juni 20,2022 kwa ajili ya kesi yao kutajwa.

Akiomba kuahirishwa kwa kesi hiyo wakili upande wa mashtaka, Verediana Mlenza ameieleza mahakama hiyo kuwa upelelezi bado haujakamilika na kwamba kibali kutoka ofisi ya DPP na hati ya kuipa mahakama hiyo mamlaka ya kuendelea na kesi hiyo bado hakijatolewa.

Kabla ya kuombwa kwa ahirisho hilo wakili wa upande wa utetezi, Hellen Mahuna aliutaka upande wa mashtaka kuwa makini kwa sababu mara ya kwanza washtakiwa hao walipofikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka yao walieleza mahakama hiyo kuwa upelelezi umeshakamilika.

"Hatuna pingazmizi na ahirisho, upande wa mashitaka mara ya kwanza kesi ilipoletwa katika mahakama hii walieleza kuwa upelelezi umeshakamlika ,mara ya pili wakaja hapa na kutuambia upelelezi bado haujakamilika sasa ni mwezi, tunaomba upande wa jamhuri wawe "serious",kwa sababu washtakiwa wanateseka," amesema.

Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama hiyo, Salome Mshasha ameiahirisha kesi hiyo kwa muda wa siku 14 na kuutaka upande wa jamhuri kuja na hitimisho wakati kesi itakapokuja tena Julai 4, 2022.
Kwani upelekezi kutokamilika ni kwa sabaya pekee?
Watu wamekaa ndani miaka zaidi ya miliwi kina kitilya mbona hukunyanyua domo
 
Majambawazi ya Hai yanahangaika kumtesa Sabaya sababu aliingilia na kuivuruga mifumo yao yote ya Ujambazi.

Tuliona viwanda feki vya konyagi.

Tuliona Magenge ya kutengeneza Pesa bandia.

Tuliona waporaji wa viwanja kutoka kwa vikongwe na taasisi za kidini.

Tuliona wakwepa kodi wakijaza bidhaa kwenye godowns na kusuply usiku.

Hata hii Q-Net inayosumbua sasa hivi kwa utapeli.
Tuliiona kwa mara ya kwanza Hai.
Pale Sabaya alipoipiga marufuku kuingia na kutapeli watu wilayani kwake.

Tatizo la Kweka ni kutaka kumridhisha MBOWE baba mkwe wake.
 
Back
Top Bottom