Kwa miaka yote tangu ateuliwe kuwa IGP, Mtukufu Sirro amejipambanua kuwa upande wa CCM, huyu ndio chanzo cha vurugu kwenye harakati zote za kisiasa za vyama vya upinzani, ameshiriki kuvuruga...
IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu.
Kuongeza imani kwa Watanzania ni...
Mbunge wa Mbogwe Mh Nicodemas Maganga wakati akichangia bajeti kuu ya serikali ametoa tahadhari kuwa taifa letu limeanza kurudi nyuma baada ya viongozi wengi hasa mawaziri kwenye hii awamu ya sita...
Kwa rekodi za kipolisi IGP wa kwanza kurekodiwa ni Harun Mahundi ambayo alishika wadhifa huo miaka ya 1990s. Mwaka 1996 hadi mwaka 2006 wadhifa huo ulishikiriwa na Omary Mahita.
Kuanzia 2006 hadi...
Jana niliiangalia mdaharo wa wagombea wenza kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya, kati ya Martha Karua wa vyama vya muungano wa Azimio unaoongozwa Raila Odinga na Gachagua wa muungano wa vyama vya...
Bodi ya Shirika la Fedha Duniain (IMF) hapo jana iliidhinisha mkopo wa dola za Kimarekani Bilioni 1.046 ambazo ni sawa na shiliingi Trilini 2.4/- za kitanzania katika kipindi cha miezi 40 ili...
Wale msiopenda muungano wa nchi tatu. Tunaweza kuwa na majimbo mawili yanayotengeza serikali moja. Jimbo moja la Tanganyika na lingine la Zanzibar. Kila jimbo linakusanya kodi zake na linakuwa na...
Katika gazeti la Raia Mwema la leo tarehe 18 Julai 2022, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amechambua uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan akisema yeye anampa asilimia...
Tangu Waziri wa Nishati, Januari Makamba alivyoanza ziara yake ya mikoa 14 ya kugawa majiko ya gesi katika Mkoa wa Mara amekuwa akiandikwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanchi peke yake
Kama...
Kama kuliundwa mpaka Bunge la Katiba na "Katiba pendekezwa" ikatolewa, leo Kikosi kazi kilichoundwa kinafanya kazi gani tena?
CCM inajua sana kufuja fedha za Watanzania.
Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi.
Nakipenda sana...
Baada ya Serikali ya Kuongeza bajeti ya Kilimo kutoka Bil.294 hadi Bil.964 kuanzia mwaka 2022/2023..
Kwa hili naona Mama kaupiga mwingi.
Naona kutatokea mapinduzi makubwa ya Kilimo hasa Kwa...
Nawasalimu kwa jina la JMT..Kasi iendelee..
Ukweli usemwe tuu,kiufupi ni kwamba hadi sasa Rais Samia amefanikiwa kukata ngebe,Vilimi na wasiwasi wa wapinzani wake hasa Sukuma gang na Chadomo...
Rais hufanya teuzi kwa kuangalia vigezo mbalimbali na kuhusisha taasisi muhimu za kitaarifa
Itoshe tu kusema Rais huteua mtu sahihi kwa wakati husika
Siyo kila jambo ni siasa!
Hili jambo CCM wanapaswa wasilisahau wala kujisahaulisha
Tulipowachagua hayati Magufuli na mama Samia tulichagua Maendeleo
Hivyo jitihada zozote za mafisadi kulihujumu Taifa letu tusizikubali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.