Dkt Samizi aendelea na ziara yake jimboni, atembelea hospitali ya Kibondo. Ahimiza uwajibikaji

BWANKU M BWANKU

Senior Member
Jan 12, 2019
197
293
DKT SAMIZI AENDELEA NA ZIARA YAKE JIMBONI, ATEMBELEA HOSPITALI YA KIBONDO. AHIMIZA UWAJIBAJI.

Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi na ziara Jimboni.

"Ziara yangu siku hii, ni hapa Hospitali...🚑yetu ya wilaya kibondo nimetembelea wa gonjwa mbali mbali, nimeguswa na hali zao na nime wakumbusha kumtegemea Mungu,... na kuwakumbusha kuwa ni awamu tu! itapita".

Tunahitaji kuamini kua kilakitu kitakua sawa tukimtegemea Mungu🙏 tuna waombea Mungu wapone haraka nduguzetu hawa...nipende kutoa rai kwa wana kibondo na waTanzania wote tujenge utamaduni wakutembelea wagonjwa ili kuguswa na shuhuda za macho yetu...🩺-🛌

Pia nilikagua jengo la dharura na kuongea na mganga mkuu wa HOSPITAL ndugu @Henrychinyuka.

#SENSAkwamaendeleojiandaeKUHESABIWA
#KaziInandele...🇹🇿

FB_IMG_1658238614145.jpg
FB_IMG_1658238602656.jpg
FB_IMG_1658238590938.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom