George Sanga Diwani wa zamani wa Njombe kupitia CHADEMA atimiza siku 636 Gerezani kwa kesi ya kubambikiwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,628
218,059
Alikamatwa kabla ya uchaguzi Mkuu wa 2020 , na kubambikiwa kesi ya uongo ya mauaji ili Mgombea udiwani wa ccm apite bila kupingwa .

Kwa wasiofahamu , Diwani ni mwakilishi wa Kata tu , tena uwakilishi wake ni kwenye vikao vya Halmashauri pekee , Cheo cha Juu kabisa ambacho Diwani anaweza kukipata ni Umeya , baaasi ! Kumsingizia mtu kesi ya mauaji kwa sababu za kugombea uongozi wa kata , tena kata yenyewe ni ya Njombe , ni jambo la kutia aibu na kufedhehesha sana !

Natoa Wito kwa Viongozi wa Kitaifa wa Chadema , wanapokutana na ccm kwenye vikao vinavyoitwa vya maridhiano , baada suala ya Katiba mpya , lingine linalopaswa kujadiliwa ni hili la hizi kesi za uongo walizobambikwa wanachadema Nchi nzima na UTAWALA WA KIKATILI WA AWAMU YA 5 ULIOSHINDWA HOJA NA KUAMUA KUTUMIA MABAVU YA KIJINGA .
 
Acha uongo.Huyo jamaa alikamatwa na wenzake kukiwa na ushahid kabisa ,wa kuhusika na mauaji .Yaan unazusha uongo wakati ,ushahid upo.Subiri ajitetee mahakamani.Kesi yeyote ya mahuhaji inachukua muda mrefu.
 
Niliwahi kuandika hapa kuhusu haya mauwaji maana kipindi tukio linatokea nilikuepo Njombe, ni uongo na uzushi! Mbwa Wakubwa nyie mashetani, mtakufa kwa taabu sana maana hata ziraili Mtoa roho atawakataa
 
Alikamatwa kabla ya uchaguzi Mkuu wa 2020 , na kubambikiwa kesi ya uongo ya mauaji ili Mgombea udiwani wa ccm apite bila kupingwa .

Kwa wasiofahamu , Diwani ni mwakilishi wa Kata tu , tena uwakilishi wake ni kwenye vikao vya Halmashauri pekee , Cheo cha Juu kabisa ambacho Diwani anaweza kukipata ni Umeya , baaasi ! Kumsingizia mtu kesi ya mauaji kwa sababu za kugombea uongozi wa kata , tena kata yenyewe ni ya Njombe , ni jambo la kutia aibu na kufedhehesha sana !

Natoa Wito kwa Viongozi wa Kitaifa wa Chadema , wanapokutana na ccm kwenye vikao vinavyoitwa vya maridhiano , baada suala ya Katiba mpya , lingine linalopaswa kujadiliwa ni hili la hizi kesi za uongo walizobambikwa wanachadema Nchi nzima na UTAWALA WA KIKATILI WA AWAMU YA 5 ULIOSHINDWA HOJA NA KUAMUA KUTUMIA MABAVU YA KIJINGA .
Mungu ampe uvumilivu
 
Kama kweli alihusika na kuuondoa uhai wa binadamu mwenzake....laana na adhabu ya Mungu viwe juu yake....kama ni ghiriba na hila za kibinadamu basi viwe kwa watesi wake.....AMEN....
 
Niliwahi kuandika hapa kuhusu haya mauwaji maana kipindi tukio linatokea nilikuepo Njombe, ni uongo na uzushi! Mbwa Wakubwa nyie mashetani, mtakufa kwa taabu sana maana hata ziraili Mtoa roho atawakataanjoo

Roho ya kishetani haitakufikisha popote , muangalie jiwe alikoishia
Njoo utoe ushahid mahakamani,sio unaongelea mitandaoni.Unajipa umaarufu kumbe muoga Kama kuku.Halafu nyie cdm mnajifanya ,watakatifu,kumbe mashetani wakubwa.
 
Back
Top Bottom