Bikirajohola
JF-Expert Member
- Jun 11, 2022
- 356
- 632
Wafanyakazi 247 wa kiwanda cha METL kinachojishughulisha na mazao ya mkonge wameandikiwa barua rasmi za kusimamishwa kazi huku wakimwangukia Rais Samia awasaidie maana hali ya maisha yao inaenda kuwa mbaya.
Baadhi ya sababu zilizotolewa na wamiliki wa kiwanda hicho kukifunga ni pamoja na ushindani mkali unaotokana na kuruhusiwa kuingia kwa nyavu bandia za nailoni kutoka nje ya nchi baada ya nchi kufunguliwa.