Kwanini mkopo wa IMF kwa TZ wa Trilioni 2.4 umebadilishiwa sababu?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
10,759
12,003
Mwanzoni tuliambiwa ni kwa ajili ya kuondokana na athari za covid 19, na sasa tunaambiwa ni kwa ajili ya kuondokana na athari za vita ya urusi na ukraine!

Tanzania has reached an agreement with International Monetary Fund (IMF) in a medium term program to secure Sh2.4 trillion, the lender has announced.

In a statement released by IMF, it was revealed that the finalization of this agreement came from meetings between Tanzanian authorities and IMF that were held from May to June 2022 in Dodoma, Dar es Salaam and Zanzibar.

According to the IMF’s statement, this program is set to develop Tanzania’s economy.

“Tanzania’s economy is gradually recovering from the negative effects of COVID-19 pandemic but spillovers from the war in Ukraine are stalling the recovery. IMF emergency assistance under the Rapid Credit Facility (RCF), and additional support from other development partners, supported the authorities’ efforts to step-up the pandemic response, address fiscal pressures engendered by the pandemic response, and close financing needs,” the statement details.

Kwa sasa tunaambiwa:
The International Monetary Fund said Monday it has granted Tanzania a $1.046-billion loan over 40 months, primarily to help the country cope with the consequences of the war in Ukraine.

"Spillovers from the war in Ukraine are stalling the Tanzanian economy's gradual recovery from the Covid-19 pandemic, exacerbating the country's development and reform challenges to unleash its economic potential," the IMF said in a statement.

Ujue hizo $1.046 bilion ndio hizo Tsh 2.4 trilion.
Tujiulize kwa nini sababu ya mkopo tuliyoambiwa mwanzo ni tofauti na tunayoambiwa sasa?
 
Equitable

JF-Expert Member
Dec 24, 2021
1,119
2,589
Kuna muda utafika watoto wetu watadai uhuru kwa bunduki maana nchi itakuwa imeuzwa na baba na mama zao.

Watayaponda makaburi yetu.

Mungu tusaidie utufanyie wepesi kama jana.
 
mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
10,759
12,003
Kuna muda utafika watoto wetu watadai uhuru kwa bunduki maana nchi itakuwa imeuzwa na baba na mama zao.

Watayaponda makaburi yetu.

Mungu tusaidie utufanyie wepesi kama jana.
Yaani kizazi kijacho tumeshakiuza utumwani wakati kikiwa hapa hapa nchini. Watakuwa wanafanya kazi miaka nenda rudi kwa ajili ya kulipa madeni, na wao watalazimika kukopa tena na mzunguko wa utumwa utaendelea!! Namkumbuka NDUGAI!! Uko wapi Ndugai? Tanganyika inakulilia Ndugai!! Ndugai umeitelekeza Tanganyika kwa kukimbia mapambano!! Hatimaye mama angekuelewa tu wala mama hana shida kihivyo ila kuna watu wanampotosha!!
 
mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
10,759
12,003
Huu mtindo wa kukopeshwa halafu unapewa kuduchu kiduchu kiasi ambacho hakikidhi kufanya hata kitu kimoja cha maana haufai kabisa! Basi tu hatuna jinsi maana tuliowapa dhamana wameshaamua tayari!!
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
13,426
14,444
Mwanzoni tuliambiwa ni kwa ajili ya kuondokana na athari za covid 19, na sasa tunaambiwa ni kwa ajili ya kuondokana na athari za vita ya urusi na ukraine!

Tanzania has reached an agreement with International Monetary Fund (IMF) in a medium term program to secure Sh2.4 trillion, the lender has announced.

In a statement released by IMF, it was revealed that the finalization of this agreement came from meetings between Tanzanian authorities and IMF that were held from May to June 2022 in Dodoma, Dar es Salaam and Zanzibar.

According to the IMF’s statement, this program is set to develop Tanzania’s economy.

“Tanzania’s economy is gradually recovering from the negative effects of COVID-19 pandemic but spillovers from the war in Ukraine are stalling the recovery. IMF emergency assistance under the Rapid Credit Facility (RCF), and additional support from other development partners, supported the authorities’ efforts to step-up the pandemic response, address fiscal pressures engendered by the pandemic response, and close financing needs,” the statement details.

Kwa sasa tunaambiwa:
The International Monetary Fund said Monday it has granted Tanzania a $1.046-billion loan over 40 months, primarily to help the country cope with the consequences of the war in Ukraine.

"Spillovers from the war in Ukraine are stalling the Tanzanian economy's gradual recovery from the Covid-19 pandemic, exacerbating the country's development and reform challenges to unleash its economic potential," the IMF said in a statement.

Ujue hizo $1.046 bilion ndio hizo Tsh 2.4 trilion.
Tujiulize kwa nini sababu ya mkopo tuliyoambiwa mwanzo ni tofauti na tunayoambiwa sasa?
Mswahili ni mgulugulu usimuamini hata siku moja, mswahili alisema hakuna cha mama yake wala shangazi yake, aliponeshwa nduluku akasema harakaharaka ipo nyingi na kila siku tutatoa takwimu, alipozionja akasahau kutoa takwimu.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
12,189
46,459
Viongozi wa hii nchi huwa wanakopa tu, haijalishi pawe na Covid au isiwepo, iwepo vita Ukraine au isiwepo, wao wanachojua miaka yote ni kukopa tu.

Hiyo Covid na vita ya Ukraine kwao imekuwa kisingizio kizuri sana.
 
The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
17,406
12,171
Mwanzoni tuliambiwa ni kwa ajili ya kuondokana na athari za covid 19, na sasa tunaambiwa ni kwa ajili ya kuondokana na athari za vita ya urusi na ukraine!

Tanzania has reached an agreement with International Monetary Fund (IMF) in a medium term program to secure Sh2.4 trillion, the lender has announced.

In a statement released by IMF, it was revealed that the finalization of this agreement came from meetings between Tanzanian authorities and IMF that were held from May to June 2022 in Dodoma, Dar es Salaam and Zanzibar.

According to the IMF’s statement, this program is set to develop Tanzania’s economy.

“Tanzania’s economy is gradually recovering from the negative effects of COVID-19 pandemic but spillovers from the war in Ukraine are stalling the recovery. IMF emergency assistance under the Rapid Credit Facility (RCF), and additional support from other development partners, supported the authorities’ efforts to step-up the pandemic response, address fiscal pressures engendered by the pandemic response, and close financing needs,” the statement details.

Kwa sasa tunaambiwa:
The International Monetary Fund said Monday it has granted Tanzania a $1.046-billion loan over 40 months, primarily to help the country cope with the consequences of the war in Ukraine.

"Spillovers from the war in Ukraine are stalling the Tanzanian economy's gradual recovery from the Covid-19 pandemic, exacerbating the country's development and reform challenges to unleash its economic potential," the IMF said in a statement.

Ujue hizo $1.046 bilion ndio hizo Tsh 2.4 trilion.
Tujiulize kwa nini sababu ya mkopo tuliyoambiwa mwanzo ni tofauti na tunayoambiwa sasa?
Wewe ni mpumbavu,uliambiwa na nani?
 
mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
10,759
12,003
Wewe ni mpumbavu,uliambiwa na nani?
Sawa lakini nimenukuu taarifa za IMF kwanza wakati wanakubali kutoa mkopo na pili wakati wameidhinisha mkopo. Nimezinukuu lakini pia unaweza kuingia kwenye tovuti yao ukajisomea! Pole kwa kuwa mtukanaji na bila shaka ulijifunza matusi utotoni kwenye familia yenu!! Pole sana, sikulaumu ila nakupa pole maana wewe ni mhanga wa mazingira uliyokulia toka utotoni kwa hiyo unastahili kusamehewa bure!! Bila shaka na wewe ulitukanwa sana na ukajifunza kutukana pia!! Pole sana!!
 
Kuna watu mnachosha Sana kiukweli.Sasa wewe huoni hizi ni scenario tofauti?

Umesema mwanzoni ilikuwa covid sasa covid haikuleta hasara hadi karibia uchumi u collapse?

Saizi ni athari za vita ya Ukraine kwani ninuongo? Dunia nzima inalia kwa sababu za athari za vita wewe sijui ni WA wapi? Ruzuku ya bil.100 inayotolewa kwenye mafuta huioni? Gharama za kupanda Kwa vitu huoni?

Angalia taarifa ya mwezi wa 5 ya BOT uone jinsi import bill ilivyokuwa kubwa na kutishia kula forex zote na uwezo wa Nchi kuagiza bidhaa muhimu kwa sababu ya gharama kubwa ya bidhaa huko Duniani..

Inawezekana tusielewane maana mimi naongea kwa perspective ya kiuchumi wewe unaleta blaa blaa zisizo na msingi.

Sielewi hata hoja yako hasa ni ipi.
 
Kama una hoja za msingi kwani huwezi kuziainisha mpaka uweke matusi? Hoja yangu ni kwamba mkopo ni huo huo na ulishaombwa na kukubalika na sababu zake tukaambiwa, haiwezekani tena kupandikiza sababu zingine wakati mkopo unaidhinishwa!
 
The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
17,406
12,171
Kama una hoja za msingi kwani huwezi kuziainisha mpaka uweke matusi? Hoja yangu ni kwamba mkopo ni huo huo na ulishaombwa na kukubalika na sababu zake tukaambiwa, haiwezekani tena kupandikiza sababu zingine wakati mkopo unaidhinishwa!
Nimekuuliza huo mkopo uliobwa lini na kukubalika? Sijaona hayo maelezo badala yake kuna maelezo clear kabisa kwamba maofisa wa IMF walikuja Dom,Dar na Zanz kujadili mkopo kwa scenario ya vita..

Niwekee hayo maelezo yako hapa
 
sengobad

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
5,551
4,495
Hawa jamaa huwa hawana sababu kamili za kuchukua mikopo hata tozo, waulize sasaivi hela ya tozo wanafanyia nini uone kama bado zitakuwa ni sababu zilezile walizozitaja mwanzoni. Walisema madarasa na mikopo ya wanachuo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Top Bottom