Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Kilimo Bashe amewataka Wabunge na wananchi wote kwa ujumla kuacha kuingiza siasa kwenye kilimo. Bashe amesema tuache soko liamue kwenye bei za mazao ili tusirudie makosa ya 2017...
11 Reactions
81 Replies
5K Views
Lango la kuingia nchini linapokosa mtu makini lawama na kudumaa Kwa huduma lazima kuwepo; Kwa kipindi kifupi toka kuzinduliwa Kwa terminal 3 madhaifu yafuatayo yapo wazi na Kila msafiri makini...
22 Reactions
74 Replies
5K Views
Ndugu zangu naandika hii taarifa nikiwa mnyonge kama kinda la ndege lililonyeshewa na mvua ya mawe baada ya kutelekezwa na mama yake. Sitaki kuwachosha na maneno mengi ngoja niende kwenye mada...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Leo tarehe 02 April 2022 Mwenge wa Uhuru unawasha Mjini Njombe. Makamu wa Rais Dr Philip Mpango (PhD) na Waziri mwenye dhamana Prof Ndalichako (PhD) wanatoa hotuba zilizojaa Elimu, Hekima na...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu, najua ni mapema sana kuanza kulizungumzia hili jambo kufuatia ajali ya leo ya ndege huko Bukoba bila kuwa na majibu kamili lakini ni wazi kama taifa kuna mahali tunakosea na tunahitaji...
1 Reactions
2 Replies
546 Views
ATCL Imekosa Aibu basi Iwe na Huruma Ndani ya miezi miwili nikisafiri na ndege za ATCL nimeona haya: 1. Nilishindwa kuhudhuria mazishi ya ndugu na kukaa airport siku nzima 2. Nilishinda...
49 Reactions
174 Replies
15K Views
Habarini wakuu? Poleni na majukumu mengi. Prof Makame Mbarawa nimemsikia, kumuona kitambo sana! Simuoni kwenye harakati, hafla, warsha, zinduzi za miradi mbalimbali hasa ile ya kwenye Wizara...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wetu Mh. John Pombe Magufuli anaposema Tanzania ni nchi tajiri ila kuna watu wachache walituchezea inawezekana wachache ndio wanamuelewa. Tanzania ni nchi iliyojaliwa vyanzo vingi vya uvuvi...
10 Reactions
51 Replies
5K Views
Hivi watumishi wa umma wa taifa hili mnajitambua kweli, nyinyi na vyama vyenu vya wafanyakazi? Nyinyi ndio mnaokuwa wa kwanza kudai mboreshewe maslahi na Serikali kila mwaka, mnadhani hizo pesa za...
4 Reactions
9 Replies
946 Views
Wakati wawakilishi wetu wanapambana kule bungeni wakikemea na kuwaweka kati mafisadi ,sisi kama raia tunapaswa kuwaunga mkono katika jambo hili. Jambo hili ni letu sote, pesa ni za wavuja jasho...
1 Reactions
12 Replies
909 Views
Mbunge Luhaga Mpina amehoji ni kwa nini kampuni ya Symbion ililipwa pesa zaidi ya bilioni Mia tatu bila kutozwa kodi ya Serikali? Amehoji pia ni kwa nini mkataba wa symbion uliokuwa unakoma 2015...
35 Reactions
133 Replies
9K Views
Hii ni habari njema kwa Wakazi wa Mwananyamala na Kinondoni Kisimani Maji ni mengi na Kisima hiki ni mkombozi kwa wakazi wa maeneo husika Source ITV habari
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Dar es Salaam KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya kwa...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakati wa awamu ya 5 kila mbunge akisimama ilikuwa ni lazima amsifie Hayati Magufuli kwamba, hakopi fedha na miradi mikubwa yote unatumia fedha za ndani. Leo kila mbunge aliyesimama amempongeza...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Kwa sasa nchi nyingi za Afrika zisizo na uwezo wa kudhibiti ubora wa bidhaa au nchi ambazo zina mifumo ya hovyo ya kudhibiti ubora wa bidhaa, kama ilivyo Tanzania, wananchi wake wanaingia hasara...
13 Reactions
54 Replies
3K Views
Nimeshangaa Halotel wamepandisha gharama za vifurushi vyao paspo taarifa yoyote Waziri wa habari upo kwa ajili ya Nini hapo? Kkwa Nini mnatugeuza watanzania mindondocha hisiyo na Akili Timamu?
1 Reactions
5 Replies
439 Views
Ikiwa tutaacha siasa na kuingia kwenye biashara kweli, tukaruhusu ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kwa Afrika, Tanzania ndiyo nchi itakayokuwa na uchumi mkubwa miaka 15 ijayo. China mwaka 1979...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kuweka bei elekezi katika huduma na bidhaa inazonunua. "Kwanini nchi nyingine za jirani na...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwema Wakuu! Tathmini yangu inaniambia katika mapambano yanayoendelea Jeshi la wapiganaji limepigwa vibaya mno na Kama Hali itaendelea hivi basi wapiganaji watamuachia Adui Yao mgongo. Kuna...
1 Reactions
1 Replies
709 Views
Sasa ni zamu ya Mwigulu Nchemba na anatarajia kutangaza nia kuanzia saa 9 mchana wa leo na atafanya hivyo live kupitia star tv akiwa Chuo cha Mipango, Dodoma. Muda: saa 9 Alasiri hadi Saa 12...
16 Reactions
1K Replies
153K Views
Back
Top Bottom