Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukioanga misafara ta hawa watawala unaweza fikria nchi imekamilika kila nyanja kumbe sio hivyo, Fikiria dhana za uokoaji zenyewe ni mtihani sana, but V8 ni kama zote tena wana brand new kwa sasa...
13 Reactions
33 Replies
2K Views
Serikali mpya ya Kenya chini ya waiziri wa Uchukuzi ili ahisi kuwrka wazi kwa umma mkataba wa ujenzi wa reli ya SGR kati ya China na Kenya ili raia wajue kikichopo ndani ya mkataba huo. Na jana...
0 Reactions
4 Replies
748 Views
Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Kama MSD ikipokea ODA ya Halmashauri na kujikuta haina Dawa ijibu ndani ya Saa 24 ili DED akanunue Sekta binafsi Na kama Dawa zipo basi zifike kwenye...
0 Reactions
12 Replies
967 Views
Hii chi sio siri watawala wanawekeza sana kwenye wizi na kwenye anasa, hizo sehemu mbili ndio uwekezzaji unafanyika ila sio kwa mambo ya msingi. Na raia nao ni full mizaha ukipitia socila media...
2 Reactions
4 Replies
490 Views
Wakuu, Jana usiku kasri la malkia wa Uingereza wametangaza kifo cha Malkia Elizabeth wa Pili. Hakika ni msiba mkubwa sana na inatarajiwa msiba huu utafuatiliwa na mamilioni ya watu ulimwengu...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Watanganyika nawasalimu. Naomba ufafanuzi wenu juu ya utendaji kazi wa TAKUKURU. TAKUKURU wapo wilaya na mikoa yote ya Tanzania na miradi hii inafanyika huko huko walipo TAKUKURU. Nimekuwa...
2 Reactions
8 Replies
837 Views
"....wanaoiba hizi mali za Umma si wadogo kama tunavyofikiri ni watu wazito na ndiyo maana jeuri yao si kwa Bunge pekee bali ni jeuri hadi kwa Rais." Tarimba. NB: Mtanikumbuka si kwa mabaya...
21 Reactions
39 Replies
3K Views
Viongozi watanzania huwa hawajali. Hata mfe mamia au maelfu kwenye ajali moja hawawezi katisha safari zao, sembuse makumi. Shida huwa hakuna uwajibishaji. Utawasikia wapiga tarumbeta wao...
2 Reactions
6 Replies
542 Views
Majuzi hapa tumemsikia katibu wa propaganda wa CCM akijimwambafy kuhusu uimarishwaji wa kila sekta nchini kupitia serikali ya CCM. Ameenda mbali zaidi kutuita sisi wakosoaji kama.maadui wa mama na...
6 Reactions
10 Replies
716 Views
CCM IWEKE KUMBUKUMBU YA JPM NA SIO TAIFA!!! Kuna wito unatolewa na wabunge na makada wa ccm kuwa Rais mwendazake John P. Magufuli atengewe sikukuu ya kitaifa kuenzi mchango wake kwa taifa,hoja...
22 Reactions
128 Replies
5K Views
Sasa hapo ndio utashuhudia badala ya kwenda Wawuvi waliofanya uokoaji wanapelekwa UVCCM tena wa Dodoma Utamkuta na yule alifunikwa mwamvuli wakati wenzake wanaokoa wahanga yumo safarini...
3 Reactions
8 Replies
663 Views
Siku moja baada ya Bunge kuazimia watumishi wa Wizara ya Nishati, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wizara ya Fedha na Mipango na TANESCO walioshiriki katika mchakato mzima wa uingiaji...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimefikiria sana baada ya kuona picha ya kiongozi mmoja kashikiwa mwamvuli asilowanishwe na matone ya maji huku roho za wananchi wake zikiangamia kwa maji! Bado nawaza sana, huyu nae ni muAFRIKA...
1 Reactions
5 Replies
505 Views
Wana JF Kwanza nitoe salama zangu za pole kwa wahanga wote wa Ajali ya precisionairtz.com iliyotokea Bukoba. Nimejaribu tu kuwaza kama hii ingekuwa ni ajali ya basi , tungeona haya tuliyoyaona...
2 Reactions
6 Replies
792 Views
BUNGE limepitisha azimio la kuitaka Serikali iharakishe utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bandarii ya Bagamoyo. Azimio la Bunge hili la Bunge kuhusu Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanabodi, Makali ya Uchumi wa Magufuli, yanazidi kukaza, leo shirika la ndege la Precision Air, limepunguza wafanyakazi 136 wakiwemo cabin crew 10!. Najua wengi humu mtasema hali hii imechangiwa...
70 Reactions
286 Replies
32K Views
Wanabodi, Utangulizi Kwanza niungane na Watanzania wenzangu kutoa pole kwa Watanzania wenzetu waliopoteza maisha katika tetemeko hili, kuwatakia uponaji wa haraka wa majeruhi na kuunganisha nguvu...
19 Reactions
90 Replies
12K Views
WALIOONYESHA UBOVU WA BARABARA NGORONGORO MATATANI… Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameagiza polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua watu waliotumia Mitandao ya amii kuonesha ubovu wa...
7 Reactions
140 Replies
19K Views
Back
Top Bottom